KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo .
Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na...
Nanukuu
"Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk.
Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk alipotembelea hapa.
Sasa ninaishi katika umaskini uliokithiri licha ya baba yangu kuwa bilionea wa...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi.
Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo.
‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
Haya as if Kenya hakuna gangs, US funded and trained Kenyan troops zitatumwa Haiti eti kuzuia uhalifu, ikumbukwe tangia raisi wa watu wa Haiti auliwe Ikulu na so called gangs Haiti haijatulia na inashutumu CIA kuhusika, sasa US an fund Kenyan forces to be deployed in Haiti, Haitian are blacks...
IDADI YA VYUO VIKUU KWA NCHI KUSINI MWA SAHARA
1.Nigeria -262
2.Kenya -129
3.Afrika Kusini - 123
4.Ethiopia -73
5.Ghana - 70
6.Uganda - 69
9.Tanzania - 52
Hakuna ubishi kama elimu ni muhimu katika maisha ya watu.
Taifa ni ngumu kujinasua kiuchumi kama haija jipambanunua kielimu.
Hizo takwimu...
SGR yetu ya kwanza toka kuumbwa kwa dunia ilijaribiwa kwa mbwembwe pamoja na wadau kuhoji vipi umeme ukikatika itakuwaje?
Mkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alijibu kwa mbwembwe tuna backups transformers na diesel engine za dharula, pamoja na majibu hayo umbali uliotumika haukuweza kutoa...
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.
Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.
Wazimbabwe na...
KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya kuhudhuria Mazishi.
Mahakama imetoa uamuzi huo kupitia Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari...
Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%.
Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
Taasisi ya Moody's inayohusika kutoa muono kwenye soko la mikopo na madeni imebadilisha maoni yake kuhusu hali ya mabenki ya Kenya kutoka imara mpaka hasi ikitoa tahadhari juu ya kiwango kikubwa cha mikopo chechefu na isiyofanya vizuri pamoja na faida kubwa na mtaji imara ambacho mabenki ya...
"Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike...
Mamlaka ya Mapato Kenya (KRA) ilikusanya jumla ya Ksh 1.27 trilioni katika nusu ya kwanza ya mwaka wa kifedha 2023/24 ulioisha mwezi wa Desemba 2023.
Data mpya kutoka Hazina ya Kitaifa inaonyesha kuwa ukusanyaji wa nusu mwaka ulikuwa chini ya lengo kwa Ksh 182.4 bilioni hasa kutokana na...
Mwanachama wa ujumbe wa Kenya uliokuwa ukitembelea Washington alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli mapema wiki hii, maafisa wa Marekani na vyombo vya sheria walithibitisha Alhamisi.
Afisa huyo alikuwa afisa wa polisi wa ngazi ya juu ambaye alikuwa amesafiri kwenda Marekani...
Magwiji wa Afrika walikuwa wengi tu wa aina ya Kinjekitile Ngwale...
Soma historia ya huyu mama anaitwa Mama Onema ambaye aliishi Congo na ndio alikuwa akiwakinga na Risasi waasi wa kundi la SIMBA MULELE wakipigania ardhi yao dhidi ya wavamizi Marekani na kibaraka wao Mobutu.
Mama Onema...
Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu za Kenya, Uganda na Tanzania kuhusu hali ya Madeni ya Taifa kwa Nchi hizo, inaonesha madeni kwa pamoja yamefikia takriban Tsh. Trilioni 339.93. Kenya inaongoza ikiwa na deni la Tsh. Trilioni 176.81 huku utawala wa Rais William Ruto ukitajwa kuchangia deni la...
Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala.
Makubaliano hayo yatawezesha Toyota kuanzisha kiwanda cha kutengeneza magari nchini. kampuni imefanya uwekezaji wa awali wa Kshs 800...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.