kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. GoldDhahabu

    Kazi yako inapokuwa burudani yako!

    Haitakuchosha! Hautahitaji kusimamiwa! Matokeo yanaweza kuwa kama ya huyu Mchina!
  2. Tlaatlaah

    Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
  3. Stephano Mgendanyi

    Rais wetu, fahari yetu, kazi iendelee

    Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan. Ni mwenye kusikia kama Jina lake linavyosadifu, amesikia kero za wananchi wake na amezitatua kwa kiwango kikubwa na bado anaendelelea amehakikisha kero za Elimu, afya na Lishe, maji, miundo mbinu, biashara na viwanda, Utunzajiwa...
  4. K

    SPECIAL THREAD: Ushauri, Mapendekezo kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN! April 8, 2024 Arusha ⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na fisadi kukandamiza haki zenu, nitakuwa sauti yenu mpaka ukamilifu wa dahali ⦁ Nawashukuru kwa...
  5. M

    Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
  6. Mhaya

    Dullah Planet aliyeacha kazi EATV sasa rasmi ahamia CROWN FM ya Ali Kiba

    Aliyekuwa mtangazaji nguli wa EATV na East Africa Radio, Dullah Planet, Mjukuu wa Wambua rasmi ametambulishwa na kukaribishwa kwenye Radio ya Ali Kiba, Crown Radio. Ambapo tayari accounts za instagram zimepost kuonesha kumkaribisha nguli huyo wa vipindi vya TV na Radio. Wiki chache zilizopita...
  7. HIMARS

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Jordan imefunga matumizi ya anga lake kwa ndege za kiraia baada ya mfumo wa GPS kutokuwa sahihi. Nchi zingine ni Kuwait, Iraq, Syria, Bahrain
  8. Mhaya

    Mungu anafanya kazi kwa wanaojitoa kwa ajili ya wengine na kwa wanaomshukuru

    Tuendelee kufundishana. Wakati mwingine ninaumia ninapoona watu wanaomba na hawapokei kama wanavyotakiwa kupokea, si kwamba Mungu hajakusikia, amekusikia, na atakujibu, ila kuna vitu ambavyo nawe unatakiwa kufanya. Kuna dhambi ambayo Mungu anaichukia sana. Ngoja nitumie Mungu manake mtanielewa...
  9. plus_ix

    Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa kazi sababu ya wizi mara alikuwa jeuri sana mambo mengi mabaya tunawazungumzia bila kujari upande wake...
  10. Janeth Thomson Mwambije

    Tazama kazi za Rais Samia

    Unaweza Ukawa Mgeni CCM Ila Usishindwe Kufahamu Kuwa Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. SSH, Ameitekeleza Ilani, Kwani; 1. Kaimarisha Demokrasia 2. Kazingatia Usawa wa Kijinsia 3. Kainua Sekta Ya Utalii 4. Ushirikiano Wake Kwenye Michezo Leo Hii Tuna Timu Za Ndani Zinazofanya Vizuri...
  11. BonnyM9

    Civil Technician/Civil Engineer works

    Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa: 1)Ngazi ya DIPLOMA in Civil Engineering mwaka 2018 2)Ngazi ya BACHELOR in Civil Engineering mwaka 2022 ✓chuo cha MUST. ✓ Uzoefu wa miaka 3+ NATAFUTA NAFASI YA KAZI KATIKA KAMPUNI AMA USIMAMIZI WA MIRADI(SITE) KAMA CIVIL ENGINEER/TECHNICIAN...
  12. matunduizi

    Kwanini Mungu na shetani wote hawataki kufanya kazi na mtu mvivu asiye mbunifu?

    Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe. Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
  13. C

    Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

    Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani. Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo. Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa. Kazi ni Kuingiza...
  14. N

    Natafuta kazi ya Usafi, House Boy

    Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
  15. Joanne Joel

    Natafuta kazi

    Habari wapendwa,heri ya sikukuu ya pasaka na Eid Wakubwa shikamoni Dada yenu,mdogo wenu NATAFUTA KAZI, Elimu yangu kidato cha 4 tu pia ninao ujuzi wa uhudumu wa afya ngazi ya cheti, Ninaweza kukaa pharmacy/Duka la dawa/Ninaweza kuhudumu dispensary/kituo cha afya, Ninaweza kufanya kazi as mtoa...
  16. Candela

    Napendekeza kwa mazingira mengine Polisi wafanye kazi kwa kuzingatia muktadha tukio kuliko kufuata protokali

    Linapotokea tukio mtu kauwawa mara nyingi tunaita polisi wachukue mwili, lakini pia inapotokea mtu kajiua tunawaita polisi. Kuna ile mtu kajiua kwa sumu au kujinyonga ndani kwake, nitolee mfano tukio lililotokea mtaani. Polisi walijulishwa kuwa kuna mtu kanywa sumu, wakafika eneo la tukio na...
  17. Zero Conscious_

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  18. covid 19

    Nahitaji developer nitayefanya naye kazi zangu

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji developer anayejua kudesign website nitayefanya nae kazi zangu tafadhali nicheki inbox chap
  19. idaz

    Kwanini Vyama vya Wafanyakazi havipigi kelele suala la Kikokotoo?

    Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi". Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae! Kila mtu analalamikia chumbani kwake...
  20. Mkemia kay

    Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Habari ndugu zangu, Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa 1. Kiwango cha mshahara ni bei gani? 2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama...
Back
Top Bottom