dogo janja

Abdulaaziz Chande, (born September 15 1994), known professionally as Dogo Janja, is a Tanzanian singer-songwriter rapper, based in Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. Samatime Magari

    🚨 Mazda Verisa aka Dogo Janja

    Verisa amekua kwenye uzalishaji 2004-2015 na ni moja ya gari ndogo ya kitofauti. Huko Japan wanakiita master of deception yani kukiwa na wageni hakikombi ukoko wa uji kwenye sufuria ila wageni wakiondoka kinalamba kabisa, ka vizuri twende pamoja utanielewa tu.. . Verisa kimuonekana amekaa...
  2. VUTA-NKUVUTE

    Anapoingia 'Dogo Janja' kuna ujanjaujanja

    Nimejiridhisha na sasa nawafahamisha. Namzungumzia kiongozi wetu hapa nchini, kiongozi mkubwa lakini kwa kubebwa bila kukabwa wala ubwabwa. Kiongozi kutokea jimboni hadi Bungeni na Serikalini. Watu wa mfumo wanamuita 'Dogo Janja'. Ameshakuwa mzoefu na maarufu. Amekwepa mishale mingi na vigingi...
  3. H

    Mtoto wa Arachuga Dogo Janja yuko wapi simsikii hewani?

    Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni. Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu. Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn sasa simsikii hewani na kwa jinsi sasa hivi kulivyo na radio nyingi kila wilaya lkn huyo dogo...
  4. Miss Zomboko

    Dogo Janja ahojiwa na Polisi Uwanja wa Ndege akidaiwa kuhamasisha abiria kutokupima Corona

    Dar es Salaam. Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19. Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji...
  5. S

    #COVID19 Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

    Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19. Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Serikali, wenyeji wanaorejea na...
Back
Top Bottom