Habari za wakati huu wadau!
Natambua uwepo wa watu wenye asili ya kabila maarufu pale mkoani mbeya yaani Wanyakyusa.
Kutokana na mihangaiko ya maisha wengi wetu tumejikuta tumekosa fursa ya kuishi mkoa wa mbeya au katika mazingira ambayo pengine yametufanya kushindwa kuweza kuizungumza lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.