Ajali za barabarani zimekuwa zikileta kilio kwenye familia zetu nyingi hapa Tanzania na kupoteza wapendwa wetu wengi.
Huu mwaka tuu nimepoteza marafiki na ndugu watatu kwa ajali tuu za barabarani na wote wameacha watoto na familia zinazowaangalia. Hii ni kwangu na ninajua kwa wastani wa nchi...
Wakuu,
Ukiwa unatumia barabara unatakiwa uchukue tahadhari hata ukiwa kwenye sehemu ya kuvukia (zebra crossing).
Kuna watu wameshajiwekea nikipita kwenye zebra lazima chombo kisimame, kwahiyo yeye hajali chochote akifika kwenye zebra ni kuvuka tu. Anasahau kwamba mambo mengi yanaweza kwenda...
Habari wakuu,
Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele si mpya, naamini watu wengi mmekutana nayo hii hasa kwa wakazi wa Mbezi ya Kimara. Hili ni jambo hatari ambalo linaweza kusababisha majanga muda wowote, hasa ukizingatia madereva wengi wa bajaji walivyo rafu barabarani.
Kubwa zaidi...
Katika kipindi kifupi cha Uhudumu wa huyu IGP mpya, pengine changamoto kubwa aliyokumbana nayo katika utendaji wake ni kukithiri kwa matukio ya ajali za barabarani.
Matukio haya yamekwenda sambamba na upotevu wa roho za watanzania, nguvu kazi ya Taifa. Inasikitisha sana.
Licha ya ajali...
Haya ndiyo mambo muhimu sana kwenye kudhibiti ajali za barabarani;
~ Iwekwe sheria ambayo itahakikisha kabla ya anayetaka leseni ya udereva pamoja na mafunzo anapimwa macho na dakitari wa polisi au wa hosipitali ya serikali, madereva wengi wana tatizo la mtoto wa jicho ambalo husababisha uono...
Wahenga walisema hujafa hujaumbika. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Supa Ngussi aliyepata changamoto katika sehemu ya kutolea haja kubwa na ndogo, baada ya kupata ajali ambayo ilikwenda kubadili kabisa mwelekeo wa maisha yake.
Ngussi (21) ni baba wa mtoto mmoja, alipata changamoto hiyo katika...
Hapa nakaribisha michango ya namna ya kupunguza/kumaliza ajali barabarani. Nategemea kupata mawazo mapya na yanayotekelezeka. Angalizo, faini kubwa haiwezi kuzuia ajali!
1. Kuhusu mwendo kasi hasa wa mabasi ya abiria, nafikiria kuangaliwe utaratibu wa kupunguza mabasi mengi ya njia moja...
Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa...
Ajali barabarani ni janga kubwa lenye kuhitaji ufumbuzi sahihi.
Ajali zinaleta vifo, majeruhi, umasikini, hasara, na vyote vyenye kuambatana na hayo.
Ni ukweli usiopingika kuwa ajali zinasababishwa na haya:
1) ujinga - mwendo kasi wa kizembe, ulevi, fujo, utoto, nk barabarani yakiwamo...
Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya hiace lenye namba za usajili T 249 BWT inayotumika kubeba magazeti iliyokuwa ikitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Jijini Mbeya.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa ACP...
Habarini ndugu,
Siku za hivi karibuni kumekua na ajali nyingi sana za barabarani, ambazo kwa kiasi kikubwa zinasababishwa na uzembe wa madereva. Lakini, askari wa barabarani wamejisahau sana na kupelekea kuongezeka kwa ajali hizo.
Naomba mama samia liangalie swala hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.