adobe

Adobe ( (listen); Spanish pronunciation: [aˈðoβe]) (Arabic: الطوب‎, romanized: aṭ-ṭūb) is a building material made from earth and organic materials. Adobe is Spanish for mudbrick, but in some English-speaking regions of Spanish heritage, the term is used to refer to any kind of earth construction. Most adobe buildings are similar in appearance to cob and rammed earth buildings. Adobe is among the earliest building materials, and is used throughout the world.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Adobe yasitisha manunuzi ya Figma kwa dola bilioni 20

    Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma. Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
  2. poposindege

    Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

    Habari Wakuu Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa. Mwenye kujua naomba anisaidie.
  3. J

    Adobe photoshop (macos)with cracks

    Nani aweza nisaidia Adobe Photoshop (Macos) with cracks au link naona za torrent zinanigomea wadau
  4. Programu za PC

    Jipatie Adobe Apps zote 2021, 2022, 2023

    Jipatie programu za Adobe zote 2021, 2022, 2023, pia Master collection 2022 - 25,000 Tshs, 2023 - 30,000 Tshs. *Kama unahitaji huduma za IT au ufundi wa PC 0763 84 84 32, Dar es salaam,Ubungo
  5. Programu za PC

    Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  6. Kibirizi

    ADOBE ACROBAT DC PRO

    Habari Wakuu. Naomba mwenye Adobe Acrobat DC au sehemu ambayo naweza dowload sihitaji Adobe Acrobat X Pro
  7. Superfly

    Ni android App zipi zinaweza kuedit PSD, EPS file format? kama adobe Photoshop na illustrator?

    Habari wakuu? Hivi Ni android App zipi zinaweza kuedit .psd, .eps file format?? kama adobe Photoshop na illustrator? Nahitaji msaada Wakuu NIMEKWAMA.
  8. Nafaka

    Siku yangu ya kwanza katika kujifunza kutengeneza Ui/Ux kwa Adobe XD

    Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu. Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za...
  9. mathsjery

    Kazi kweli kweli hizi partnership hizi! Adobe na Microsoft why?

    Mimi ni mtumiaji wa VS code na Brackets editor, lakini huwa naona Brackets ni nzuri sana, yaani kuna mguso flani nikiwa naitumia especially napocheza na UI dah! kutoisupport hii kitu ni mawazo mabovu, hizi partnership hizi!, aiseh adobe umeharibu sana hapa...
Back
Top Bottom