The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
Last edited by Game Theory; 5th December 2006 at 02:43.
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
ina maana niko peke yangu humu ndani? ina maana ulikuwa hujui?
Haupo peke yako...
Leta issue tuongee!
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
listi ya kesho vipi?
huyo Adebayor sijamkubali au unasemaje?
Adebayor.... sometime anachemsha sana! kuna wakati najiuliza ni kwanini alinunuliwa!
Wapenzi wengi wa Asenali bado hatujamkubali kijana huyu!
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
....Mpaka dakika hii mechi inakwenda vizuri, Tunahitaji draw kusonga mbele!
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
Leo 1-1 na Chelsea, licha ya kucheza bila ya wachezaji wazoefu!
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
Ahaa Wewe Mashabiki Wa Arsenal Tupo Wa Kumwaga 2 Si Unaona Jinsi Chelsea Alivyopelekwa Mperampera?
Abedayor Bado Kijana Mdogo Anayo Nafasi Ya Kujifunza Toka Kwa Wakongwe Kama Mtu Mzima Henry Na Van Persie Kwa Hiyo Tumpe 2 Nafasi
Hongera kwa jana, nami ni arsenal, Wigan 0- 1 Arsenal, inatia moyo.
Baadaye.
waungwana mambo vipiiiii?leo tunakipiga na portsmouth ndani ya dimba la kisasa zaidi,vipi wazee tutatoka?mahali pa kujinyakulia pointi ndi hapaaaaa
Mtakalia tu leo! Hahaha, kazi mnayo! Shangilieni sana, David njoo The Blues bana, achana na hawa wakamata mitutu!
Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' |Click HERE for Details
Matokeo ni draw, 2-2. Upepo bado sio mzuri licha ya kutawala game kwa muda mrefu baada ya kusawazisha.
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
dah kweli chama letu lina hali mbaya ila ni mambo ya mpito bado nina imani na chama letu litafanya mambo makubwa siku za usoni hususani bwana magoli henry.
worm chelsea hawana chochote usajili mkubwa timu hamna,msiombe tukutane raundi ya pili emirates tutawachakaza vibaya sana,
Duh,
Hahaha lisemwalo lipo... na kama halipooooooo ujue linakuja yakhe! Niliwambieni tu. Kwa woga kabisa DrWHO akaamua kukimbia hii forum. Alijua kaanzisha thread yenye kumbana. Mnashabikia timu legelege zinawaumiza roho sana.
Wewe david, acha kujiumiza babake, njoo mwana. Chelsea si uliuona mziki wetu? Yani mida ile ile nikamkumbuka swahiba wangu DrWHO, nadhani aliko yuko hoi kwa u-goigoi wenu washika magobole.
Yakheeeee, raha ya mechi bao ati...
Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' |Click HERE for Details
Asenali itabaunsi baki, cheki speed yake by mwezi wa pili next year!
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
kwanza leo liverpool anachezea kichapo kwa kuwa yule ni mteja wetu kama alivyokuwa chelsea
timu bora ni ile inayofungwa kila mara,naamini kabisa the gunner kuanzia januari hatutakamatika ni mwendo wa kichapo kwa kila timu itakayokumbana na sisi
mpaka sasa tuna pointi 9 kutoka kwa man utd, chelsea na wateja liverpool hizo tukijumlisha na ambazo tutazikusanya toka kwa vibonde wengine km bolton na wenzake naamini kabisa taji litatua EMIRATES kwa mara ya kwanza
mataji madogo kama vile fa,carling cup hayo sina nayo wasiwasi kwani tumeingia nayo ubiaaaaaaaaaaaa
Baaaaaab Kubwa
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
Hahaha, mnajipa moyo bado? Mna bahati nyieeeeee... Yani jana yenyewe niliamua kuisogeza Tv mbele yangu kabisa kuhakikisha mabao yanaingia na naya-copy na kuja ku-paste hapa. Am in Nairobi on the way to Kampala, najua mnamshukuru Mungu kwa ukungu ule!
DrWHO harudi tena hapa amewakimbia kwa kujua Arsenal kimeo.... Kibunango, wajanja tupo Chelsea, niunge mkono mwana... si unaona alone alone nakomaa nao? Hahaha...
X-mas njema kwa nyote na iwe ya furaha sana kwenu. Sidhani kama nitakuwa online sana, basi Heri ya Mwaka mpya 2007 (kama nitafika).
See you all...
Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' |Click HERE for Details
usijihisi mnyonge arsenal inapita katika mabadiliko makubwa ya uchezaji ndani yatimu,pili wachezaji wengi ni wageni katika kuhimili mikiki ya ligi ya ulaya hata uingereza omba tuingie robo fainali ya ulaya utaona jinsi timu itakavyo anza kijiamini mabadiliko utayaona tatu majeruhi mengi ni kwa wakongwe ambao tulitegemea ndio wangeweza kuwapa ujasiri wegeni vuta subira mambo yanakuja baada ya majeruhi kusimama sawa huku wageni kama unvyo ona wanaanza kutulia katika uchezaji mambo mazuri hayataki haraka
Follow Us Here