The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
Last edited by Game Theory; 5th December 2006 at 02:43.
Ni mapema mno kukata tamaa...
Tena kufungwe kabisa haka ka timu mpaka kakashuke daraja. Kanatuchezeshea timu ya watoto kanadhani hii ni Under 24 world cup?! This EPL, Wenger. YNWA
Arsenal humu tunawapenda ila Wacha anawaharibia tehtehteh, Wacha naona unajibu kwa ubishi kama Wenger anavyokuwa mbishi anabaki kusema Arsenal wadogo kwani kasikia EPL kumeandikwa Under 16 team no wanaandika Arsenal.. akifanya mchezo Arsenal itakuwa Academy ya watoto timu kubwa kujinunulia kama zilivyo Lyon na timu za france huko.... itabaki kombe la CL kulifukuzia tu. Wacha kama anavyosema Kheeeeeeeeeeee! Kheeeeeeeeeeeeeeeee! Kheeeeeeeeeeeeee.
Kidume
Wazee wa kijiji cha matumaini
“Mwaka jana tulikutana na ‘single’ yaani waliandika mashairi kwa uchache, lakini mwaka huu tumepata albamu nzima…” :- Dk Ndalichako

Magoli ya kuotea hayo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeee
Watu na furaha zao
“Mwaka jana tulikutana na ‘single’ yaani waliandika mashairi kwa uchache, lakini mwaka huu tumepata albamu nzima…” :- Dk Ndalichako
Polen sana washabik wa arsenal,hongeren liverpool,
“Mwaka jana tulikutana na ‘single’ yaani waliandika mashairi kwa uchache, lakini mwaka huu tumepata albamu nzima…” :- Dk Ndalichako
wenger hii ndio his last season
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Leo imekula kwetu . Anyway tumeaozea miaka mingi tunaanza vizuri tunamalizia vibaya . Ni mapema mno kwa matokeo ya leo watu kuhitimisha na ku collcude msimu wa wa timu hii bora ya the gunners utakvyokuwa. .
Anyway tujipe pole
Tazama michezo live katika gym nayotumia kukuzia misuli ya IT- http://teknohama.x10.mx/live-sports/
Wenger hafai atimuliwe.
Follow Us Here