The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
Last edited by Game Theory; 5th December 2006 at 02:43.
babu hamtaki kaka ila real madrid wanataka kutusakizia tumchukue on loan maana modric akienda madrid kaka ndio asahau hata bench atakua hapati nafasi...he's a talented player lakini ni injury prone na sasa hivi meza yetu ya majeruhi inakaribia first team nzima tukimleta na kaka sana sana tutaongeza idadi ya wachezaji walio juu ya mawe
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Rvp looked 2 his right no Walcot, looked 2 his left no Gervinho, 2 his back no Song, then the little boy inside him screamed "YOU ARE FINISHED"!!!
Suala la Nuri Sahin -Big Update.
Mchezai wa kiungo Nuri Sahin usiku huu ameichagua Arsenal na kusajiliwa kwa mkopo na timu hiyo lakini kukiwa kumewekwa rehani ya paundi milioni 14 endapo Arsenal watataka kumnunua mchezaji huyo moja kwa moja baada ya msimu wa 2012/13 kwisha.
Nuri Sahin
Wawakilishi wa Real Madrid ya Spain na Arsenal walikuwa wamejifungia katika ofisi wakijadili usajili huo uliokuwa ukingojewa kwa hamu na wapenzi wa timu hio hasa baada ya kusikia mchezaji huyo pia alikuwa akihitajika na timu ya Liverpool na Real Madrid walikuwa wakisita kukubali Arsenal imnunue Sahin pale muda wa mkopo utakapoisha.
Arsenal inatajia kutangaza rasmi mchezaji huyo Jumatano mchana na baadae atajiunga na wachezaji wenzake kujiandaaa na mechi ya jumapili dhidi ya Stoke City kwenye uwanja wa Britannia.
Pia habari zaidi za ndani kabisa kwenye duru za michezo zinasema kwamba pia Arsenal kabla ya msimu wa usajili kwa mwaka huu inaweza kuwasajili au kumsajili mchezaji wa kiungo au wa sehemu ya ulinzi na meneja Wenger mwenyewe amethibitisha wakati akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumanne.
Mchezaji kati ya Yann M'vila wa Rennes ya France, Cheikh Tiote wa Newcastle United wanatajwa kusajiliwa kwa kiasi cha paundi milioni 15.
M'vila amekuwa akitafutwa na Wenger kwa muda mrefu na baadae akatolewa kwenye orodha ya manunuzi, wakati jina la Tiote limeibuka siku ya Jumanne mchana kwamba mmiliki wa Newcastle Mike Ashley anaweza kushawishika kumuuza mchezaji huyo ambae nae anatamani kucheza ligi ya klabu bingwa ya Ulaya.
Kiungo mshahara, Yann M'vila atagharimu paundi milioni 15 na ushei hivi.
Lakini usajili wa M'vila ambae pia anahitajiwa na timu zingine kama Spurs ambao ni mahasimu wa Arsenal unaweza usifanikiwe kutokana na kuwepo kwa wachezaji Aaron Ramsey na Francis Coquelin ambao itabidi wapelekwe kucheza kwa mkopo kwenye timu zingine jambo linaloonekana kwamba haliwezekani.
Pia wachezaji Andrey Arshavin na Nicklas Bendtner wanaweza kuondoka kabla ya muda wa usajili kwisha kutokana na timu za Zenit St Petersburg ya Russia na AC Milan ya Italy, kuwahitaji kuwasajili na AC Milan imeonyesha azma yake ya kutaka kubalishana na mchezaji mlinzi Phillipe Mexes.
Ila Arsenal imebakiza mchezaji mmoja wa kusajili!
Last edited by Richard; 22nd August 2012 at 03:31.
When thinking about my risk assessment, I always remember:
HAZARD and the RISK .
Mie naomba Cheikh Tiote ndio aje, jamaa ni jembe na ligi anaijua.
"Nobody has enough talent to live on talent alone. Even when you have talent, a life without work goes nowhere". A. Wenger
1 )mkuu mbona watataftana msimu huu! alafu ile game ya kwanza wenger alikosea kikosi! ilitakiwa girold na podolski waanze kama ile pre season tulocheza ujerumani . podolski alikamata winger ile anayocheza gervinho... ! "alafu theo na gervinho wanagombea number ile"!
i can see diaby kukaa bench hadi dakika ya 75! kwani litaanza jembe sahin!...
walckot he doesnt deserve ule mshahara anang`ang`ania sitashangaa akiuzwa & that wont make any difference tuna wingers wazuri wote wanataka ile number
2) urefu wa girold hana tofauti na Fellani aim sure zile killer passes za sahin zitatulia kifuani kabla hajageuka na guu la kushoto..!
3) nimekubali wenger sana! yaani deal ilichelewa walikuwa wakihitaji hicho kipengele cha kumnunua moja kwa moja..
4) kwanini morinho hamfagilii wenger & arsenal .. ni artlcle nilisoma mahali kwamba morinho ali prefer dogo aende club nyingine kuliko kuisaidia goners! i think that is very unprofessional ..
5) Bring It on STOKE!!
“Not only am I better looking….I’m just plain better.”Arsenal My heart Juventus My soul
Ngoja tuone yajayo weekend hii.
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Naiona Arsenal mpya itakayoweka historia mpya imepatikana. Hongera Wenga!
Mjue Nuri Sahin.
Ni raia wa Uturuki na ana umri wa miaka 23.
Maskauti wa Arsenal walimgundua Sahin alipokuwa akichezea timu ya taifa ya vijana ya Uturuki mwaka 2005 kule nchini Peru, kwenye mashindano ya kombe la dunia la vijana chini ya miaka 17.
Ni mchezaji wa kwanza mdogo kucheza ligi kuu ya Germany Bundesliga akiwa na miaka 16 katika timu ya Borussia Dotrmund.
Akiwa Dortmund alicheza na Thomas Rosicky kwahio itakuwa rahisi kuonyeshwa mazingira ya Arsenal.
Sahin akiwa Borussia Dortmund katika msimu wa 2010/11 BD walitwaa ubingwa wa Bundesliga na Sahin akatangazwa mchezaji bora.
Msimu wa 2011/12 nchini Hispania ndipo Real Madrid walipomsajili ingawa hajacheza msimu mzima kutokana na kuumia.
When thinking about my risk assessment, I always remember:
HAZARD and the RISK .
"Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it" - Malcolm X
fact # 2 - si kweli kwanini usajili wake unasuasua sababu tunataka kumchukuwa permanetly na kuna uwezekano asije kabisa since madrid wanataka mkopo tu! habari nimetoa daily mail hii -
Sahin saga takes new twist with Liverpool set to beat Arsenal to loan of midfielderThe on-going transfer saga of Real Madrid's Nuri Sahin has taken another twist as Liverpool and not Arsenal look set to land the midfielder.The player's agent, Reza Fazeli, travelled to meet the Anfield club’s hierarchy and iron out the details of the deal.
On Monday it looked as if a deal had been done to take the player from the Bernabeu to Arsenal but Madrid changed the course of events when it told the playmaker that the Gunners were unwilling to accept a loan deal and were pushing for a permanent transfer.And neither Madrid nor Sahin himself were happy with this arrangement.And now Liverpool, who were the first club to show an interest in the player look to be back in the driving seat.
Arsenal ni zaid ya uijuavyo! mkuu! club makini hana nia ya kukaa baada ya loan mlango upo wazi ..
source Nuri Sahin set to join Liverpool and not Arsenal | Mail Online
Sahin saga takes new twist with Liverpool set to beat Arsenal to loan of midfielder
“Not only am I better looking….I’m just plain better.”Arsenal My heart Juventus My soul
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Arsenal wamesign wachezaji watatu hujasema. Ila wanamtaka mmoja kwa mkopo, eti club in decline. Arsenal hakuna shida wewe. We spend wisely.
Alafu, Sahin amesign Madrid last season na tangu afike ameandamwa na majeruhi. Sio rahisi kwa mtu kubreak kwenye 1st team kama amekua anaumia wakati wenzake wanapata a run of games. Ila kwa kuwa unataka kucriticise kila kitu cha Arsenal, endelea.
Follow Us Here