The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
Last edited by Game Theory; 5th December 2006 at 02:43.
Hayo hapo juu sio maneno yangu..ni ya ARSENAL LEGEND and my idiol IAN WRIGHT. Sasa kama legend wa arsenal anasema ukweli na anajua kwa nini wachezaji wanakimbia arsenal kwanini nyie washabiki wa juzi juzi hapa mnaukataa ukweli?
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Mkuu, hio "article" si ya kwanza kwa Ian Wright kuandika na amekuwa akiandika mara nyingi kuhusu timu yake ya zamani lakini hakuna "impact" yoyote na Arsenal imeendela kucheza mpira wake wa kawaida.
Yeye anatoa maoni yake kama mawazo yako wewe unayoyatoa hapa kwahio hakuna cha ajabu.
Halafu je unamfahamu vizuri Ian Wright au unasema tu kwamba huyo ndio "idol" wako?
Sisi wapenzi wa Arsenal tunaomfahamu hatupi taabu sana ya hizo "comments" zake.
When thinking about my risk assessment, I always remember:
HAZARD and the RISK .
ehhh ndio hivyo
Jaribu kuwa mkweli, sio issue ya SWP. Ukweli ni kwamba hakuna cha kusifia toka hiyo 2005 unayosema, huo ndio mwaka wa mwisho mmepata kombe la FA. Wright sio mnafiki kama washabiki wengi wa Arsenal, anasema kitu kilivyo. Wewe unaweza sema mmefanya nini tangu 2005 mbali na kuhamia hapo Library?
"Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it" - Malcolm X
Breaking News: Roman Abramovich will make a bid to buy Emirates stadium. A source close to a selling club, Arsenal said the club will consider the offer if the selling price is met. Once a selling club, always a selling club.
"Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it" - Malcolm X
Kama nilivyosema mwanzoni, Wenger amekereka na attitude ya Song na amemruhusu anaweza kwenda Barca. Deal imekua finalized na inaweza kutangazwa this weekend.
One more time. Most of you non-arsenal fans mkifungwa mechi mbili tatu mnakimbia thread but that's is different for us here. We love the club, we lose together and we win together. So no matter how many times you will leave your threads (because they are boring) and come here to abuse us you should know it is just waste of space.
Arsenal have won nothing over 7 years and players are leaving. Most of these players blame almost everything at the club except themselves. We don't anybody else to win us games other than the 11 players on the pitch. THEY SHOULD FIGHT NOT MOAN.
Oh. Wait, most people want Arsenal to spend more billions to lure every word-class players like the Sugar daddies with oil money. Unfortunately that won't happen at Arsenal. Come financial fair play in 2013-14 and things will change for good.
WTF with Arsenal... Song naye nasikia kashatimua hadi nakwenda mitamboni..... kila msimu ni tearing down and rebuilding.. hii nyumba haitafika katika lenchi. Tujitayarishe mwakani Vermealen, Koscielny, Szczseny nao watatimua.
Song isn't expected to play tomorrow as his deal is being finalized with Barca. In the meantime Nuri Sahin anakuja kwa mkopo, deal inategemewa kukamilika next week.
I think Wenger atanunua permanent DM. Kuna habari kuwa timu toka London imetuma bid kumchukua M'villa (who wants CL football). Tusubiri habari zaidi.
Na hilo ndio tatizo la Wenger. Hataki kuwalipa wachezaji mishahara mizuri lakini yeye analipwa mshahara mkubwa sana kuliko wachezaji wake wote(alikuwa kocha anayelipwa vizuri kuliko wote kabla Mancini hajasign mkataba mpya few weeks ago). Sasa wachezaji wametia akili, kinachoendelea ni kuitumia Arsenal kama daraja, wakishakuwa wazuri wanatokomea.
Board ya Arsenal pia wanaonekana ni wepesi wa kuuza wanapoonyeshwa top dollar, hawafikirii kuhusu timu itafanya vipi. Mwisho wa siku washabiki ndio wanaumizwa kwa kulipia ticket ghali kabisa kuona timu ya average players ikicheza.
"Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it" - Malcolm X
Huu mwaka nadhani utakuwa kama miaka mingine tu ya kushindwa kwetu, Huyu babu conservative hajifunzi hata kidogo kutokana na makosa yake ya kila msimu!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Song ni mchezaji mzuri lakini nina wasiwasi kama atacheza pale Barca yasije mkuta ya HLEB bora RVP amekwenda kuanza 1st eleven
kuna jambo hapa Kumpoteza RVP ni big loss ila not Song kwani he is easily replacable kama watamleta Typical Defensive Mildfielder kama "TIOTE" ambae anaweza ku tacke na kuwin 50-50 balls
Last season Tuliruhusu Magoli 49 na kosa ilikuwa ni Defensive mildfielder kuexpose defence kwa kupanda sana ku assist mashambulizi
Kwa mtizamo wangu tukimpata mchezaji ambae ni Good tackler,defensive minded, little dribbler, na Mwenye nguvu kama alivyo Lass Diarra,Makelele,flamini,Ambros sini,Davids au Tiote mfano wa hawa Itakuwa Poa sana!
To me song is overatted player, he is good but not even like Scott Parker in defensive Duties.
NOTE: he should be replaced, they shouldn't rely on Coquellin nor Frimpong
Kuna issue moja pale Arsenal wala si suala la mshahara Maana hata Timu yako mishahara iko kama Arsenal wanaopata mlungula mkubwa ni Terry,Torres na Lampad wengine kawaida kwenye £60,70,80 ni tofauti saana na Man city karibu wachezaji wote wa 1st wana £laki moja na zaidi except Joe hart,richards na Zabaleta...timu nyingine ni Anzhi Makachkala ya Urusi na PSG..hata United Nao ni kama watu 4 tu wengine uko Moderate
Peasant elewa Kuna jambo moja Barca na Madrid players wengi wanaziota kuzichezea then ikija offa wanakuwa Flattered kwenda kumbuka Gudjonson alikataa kusign mkataba mpya akakimbilia Catalunya yaliyomkuta unayajua, the same to Hleb,petit, Zlatan
Emergence ya Abramovich na Later Sheikh mansoor wamei weaken timu yetu,Aston villa hao ndo hawana hali kabisa
Kwa mpango huu Financial Fair play itasaidia sana next season kwani wachezaji kukimbilia mishahara mikubwa litatoweka litabaki la Club status na Ambition
Mtani thread yenu imedorola umegandamana humu chukua kadi bathi Lol
Follow Us Here