Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi. Tuendelee kuzibua vizibo.
Kanyaga twende.
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi. Tuendelee kuzibua vizibo.
Kanyaga twende.
Last edited by Idimi; 24th April 2013 at 08:55.
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
[email protected]
Yeah Man U tuko juu sana
thanx to Wayne rooney n Cristiano Ronaldo,we are still on top....
If someone knocks you down- its their faulty, but if you stay down its your faulty.
ya thats wat i was talkin abt..gd i meant goal difference ila tu nilikosea idadi..goli sita nazo nyingi..kwanini na nyie msingekua na samsing better ziaid?
lets be wapole na kuzidi fuatilia ligi ya mwaka huu maana nadhani itakua tamu zaidi as chelsea,man utd na arsenal watafukuzana kwa speed ya ajabu..ila mwisho wa siku bingwa atakua man utg
If someone knocks you down- its their faulty, but if you stay down its your faulty.
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
[email protected]
Arsenal Tutabanana na MU hapo hapo kileleni... hadi kieleweke!
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!
arsenal msisahau mna watu wanawakimbiza nyuma...na pia mna mechi nao tena kwao waitwao chelsea..halafu mna mechi tena na man utd ugenini...yaani mwaka huu
Mna taarifa za kichapo cha AL hilal jana huko Saudia? Al hilal 3 Man U 2. Mtaalam, Arsnl na Man ziko sawa kwa points so timu yoyote inayoifukuza Arsnl inaifukuza Man U pia. Trafford vijana watakuja na kufanya kile walichokifanya last season and mind you we were not at our best.
If someone knocks you down- its their faulty, but if you stay down its your faulty.
Nguvu za soda za Asernal zimeshaisha... hakuna kubanana si ajabu akapitwa na chelsi. Man U moto mkubwa ule.
jamani jamani huyu mtoto Ronaldo walaahi hana adabu..dohhh yaani ameturudisha tena juu aka on top hata hajawapa nafasi mdebwedo arsenal wakae on top kwa siku kadhaaa wasahau machungu ya kupigwa tano....
mhh?? iwe bojo! chijui nicheme? ata leo mi chichemi umu!!
If someone knocks you down- its their faulty, but if you stay down its your faulty.
Naona Arsenal watachonga sana leo!
Hongereni sana vijana kwa kukalia ligi.
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
[email protected]
MU wamejikwaa leo na mechi ingine wakicheza kama leo watafungwa! Na ndo Arsenal hututashikika tena!
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!
KUjikwaa si kuanguka..madogo wa spurs walibana sana game na hii inatokana na hasira zakutolewa nao(MAN U) kwenye FA cup..walikuwa kama wanataka kulipa kisasi..ila mkubwa ni mkubwa tu..Gooners wapo kwa muda pale juu km wiki mbili tu!!
If someone knocks you down- its their faulty, but if you stay down its your faulty.
hivi ni wewe kweli ulie shabiki wa arsenal wadhubutu kuchonga hivyo ukasahau kuwa madogo hao hao spurs waliwakunguta bao tano hadi michezaji yenu ikaanza kupigana uwanjani??alafu wadiriki kusema eti man utd wakicheza tena hivyo watafungwa..jus know that spurs hao ni timu nzuri on top of that walikuja wakiwa wamekamia game due kupigwa na manutd fa cup...wallahi ingekua ni arsenal pale siku hiyo mngekunya kumi kama sikosei...
abt kuongoza ligi ndugu zanguni kumukeni tuu kutangulia sio kufika..
ila msimu wa mwaka huu utakua moto kweli kweli as hata chelsea nyuma huko anaweza akaja kuwa bingwa
--------------------------------------------------------------------------------
Sunday, 10 February 2008
Chelsea v Liverpool, 16:00 Liver naona kama watadondokea Pua hapa darajani Chelsea hajapotea ila atakujapoteza April 26 kwa mashetani wekundu
Man Utd v Man City, 13:30 Hapa kuna mziki mzuri ila Mashetani watakandamiza tu hawajabikiriwa nyumbani na kamwe haitatokea msimu huu
Monday, 11 February 2008
Arsenal v Blackburn, 20:00 Hapa nadhan itakuwa draw mechi manUtd wanaweza kulevel gap
--------------------------------------------------------------------------------
Saturday, 23 February 2008
Birmingham v Arsenal, 12:45Nadhani hamtasahau mechi iliyopita so ss mpo nyumbani kwao sijui nisemeje hapo namwoma kama ferguson atakuwa na tabasamu mchana huo!!! hahahaha
Newcastle v Man Utd, 17:15Tumeingia nao Ubia hawa na bIA YAO ni mwendo wa sherehe tu pale kwa mtakatifu James park
Follow Us Here