JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

  Report Post
  Page 1 of 5 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 92
  1. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Home » Unlabelled » BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA
   Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya


  2. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya


   Kitu cha maana
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  3. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya


   Kila siti ina TV
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  4. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya


   Kuna friji
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  5. Kibunango's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2006
   Location : Tampere
   Posts : 7,521
   Rep Power : 44639
   Likes Received
   929
   Likes Given
   2871

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Limekaa kitanzania zaidi, angalia madirisha yake..
   Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
   But, if you think again, neither does milk."
   Vituko Vya Zenj


  6. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya


   Kuna choo
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  7. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Quote By Kibunango View Post
   Limekaa kitanzania zaidi, angalia madirisha yake..
   unamaanisha kukwepa vibaka?
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  8. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   aliyetumnia wa mwisho nahisi hakuona pa kubofya ili kuflash uchafu wake
   Quote By Amavubi View Post

   Kuna choo
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  9. Bujibuji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2009
   Location : NYUMBANI PANONO
   Posts : 23,631
   Rep Power : 51528095
   Likes Received
   12921
   Likes Given
   10024

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Unaingiaje chooni??
   KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

  10. Likwanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th June 2011
   Location : Dar Es Salaam
   Posts : 3,821
   Rep Power : 1297
   Likes Received
   929
   Likes Given
   97

   Default

   Quote By Kibunango View Post
   Limekaa kitanzania zaidi, angalia madirisha yake..
   Mkuu, basi kama hilo ni full kipupwe hivyo hayo madilisha ni kama kuonea tu nje.

  11. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   tafuta kopo lako na maji uje nikuelekeze Bujibuji
   Quote By Bujibuji View Post
   Unaingiaje chooni??
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  12. Amavubi's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 9th December 2010
   Location : Mabwe Pande
   Posts : 21,653
   Rep Power : 240966305
   Likes Received
   7441
   Likes Given
   6955

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Quote By Likwanda View Post
   Mkuu, basi kama hilo ni full kipupwe hivyo hayo madilisha ni kama kuonea tu nje.
   you said it Likwanda wa Likwanda
   Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya

  13. Makoye Matale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2011
   Location : Uwandani, Kondeni
   Posts : 5,893
   Rep Power : 16370
   Likes Received
   1600
   Likes Given
   752

   Default

   Quote By Likwanda View Post
   Mkuu, basi kama hilo ni full kipupwe hivyo hayo madilisha ni kama kuonea tu nje.
   Lina 'stone proof'? Kuna wahuni wa MCC FC na Coastal Union, wakiliona salamu ya kwanza ni kulitwanga mawe bila huruma! Salamu ya pili ni waliomo kila mmoja kupigwa jiwe lake.

  14. kavale's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 1st December 2013
   Posts : 228
   Rep Power : 449
   Likes Received
   30
   Likes Given
   19

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Maendeleo

  15. #15
   zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11296
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Washachafua choo.
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  16. Chimunguru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2009
   Posts : 9,636
   Rep Power : 2648
   Likes Received
   1917
   Likes Given
   1001

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Big up sana azam fc

  17. Piere. Fm's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2011
   Location : Popote - TZ.
   Posts : 2,161
   Rep Power : 85902089
   Likes Received
   1104
   Likes Given
   1488

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Litaweza kweli kuhimili mikimiki ya barabara zetu za Tz??

  18. Makoye Matale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2011
   Location : Uwandani, Kondeni
   Posts : 5,893
   Rep Power : 16370
   Likes Received
   1600
   Likes Given
   752

   Default

   Quote By Amavubi View Post
   tafuta kopo lako na maji uje nikuelekeze Bujibuji
   Aah, kopo tena? Majanga!

  19. #19
   dav22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,914
   Rep Power : 879
   Likes Received
   251
   Likes Given
   129

   Default Re: Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

   Du sawa bana

  20. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 15,932
   Rep Power : 840916
   Likes Received
   5660
   Likes Given
   614

   Default Picha YANGA na SIMBA Amkeni: HILI BASI JIPYA LA AZAM NI KIBOKO...KILA KITI KINA TV, CHOO NDANI, FRIJ


   Monday, December 30, 2013

   HILI BASI JIPYA LA AZAM NI KIBOKO...KILA KITI KINA TV, CHOO NDANI, FRIJI.

   Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.
   Kitu cha maana
   Kila siti ina TV
   Kuna friji


   Posted by aman ngoma at 10:58 AM
  Page 1 of 5 123 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Azam Tv kama Ulaya tu.!!!
   By idawa in forum Sports
   Replies: 40
   Last Post: 24th September 2013, 20:37
  2. basi la azam fc
   By figganigga in forum Jamii Photos
   Replies: 55
   Last Post: 15th July 2013, 14:55
  3. Replies: 7
   Last Post: 4th May 2012, 19:43
  4. Serikali ilihusika kusababisha ajali ya basi la TAQWA na lori la AZAM
   By Crucifix in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 6
   Last Post: 22nd November 2011, 13:37
  5. Jengo jipya la Bunge la Tanzania
   By Nyamgluu in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 4
   Last Post: 20th November 2010, 23:54

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...