Manchester City: FA Cup Champions 2011
Manchester City: FA Cup Champions 2011
Last edited by Ab-Titchaz; 18th September 2009 at 18:45.
'Belief in myths allows the comfort of opinions without the discomfort of thought.' - JFK
hongereni sana ila jamaa wamewapa shughuli .. ndugu zangu bwawa la maini wakikutana na hawa sijui itakuwaje
“Not only am I better looking….I’m just plain better.”Arsenal My heart Juventus My soul
This is the best game so far. Hawa Southampton kama wakiendelei hivi watatusumbua watu wazima.
TANESCO hawashindwi kununua mitambo yao Kama kweli Dowans siyo ya JK ataifishe mitambo hiyo kwa sheria ya uhujumu awafilisi RA, EL vile vile awachukulie hatua waliokwapua fedha BOT
Sie tutasua sua hivyo hivyo tukiwemo kwenye top 10 tutajidai halafu msimu ukisha tutaendelea kupoteza wacheza wengine kama ilivyo kawaida yetu hivyo kuzidi kupunguza kiwango cha ushindani wa timu yetu hatimaye tutashuka daraja.
Kuna haja ya kuanza kampeni kali sana za kuwashinikiza wale Wamarekani waondoke Gunners vinginevyo wataendelea kuididimiza timu.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Mkuu chichi hatubembelezi wachezaji hata wakitaka kuondoka wote Wacha waende, watupe mpunga tu tutabaki na wachezaji wanaopenda kuchezea timu yetu sio wanaopenda pesa, wakishapata uzoefu wanaanza kudai mambo ambayo Gunners hawawezi kuwalipa. Huko Spain wanaishia kukaa bila kulipwa kwa miezi kadhaa, subiri utaona matokeo ya hizi timu zinazotegemea ma-sugar daddies. Fukuto la RVP litamwondoa Fungie very soon .... ..... .... ...
BAK usiwe na shaka mwaka jana walisema tutashuka daraja then wenzetu wanategemea kubebwa lakini kila uchwao hawaishi kutuonea Wivu. Prof anaondoa bad apples.
Kumbe leo ni Eid .. ..... .... .. wala chikujua walah ... .. umefaidi pilau Eh! majukumu mkuu.
TANESCO hawashindwi kununua mitambo yao Kama kweli Dowans siyo ya JK ataifishe mitambo hiyo kwa sheria ya uhujumu awafilisi RA, EL vile vile awachukulie hatua waliokwapua fedha BOT
Je man city ataweza vunja historia yake kuwa hajawahi mfunga liverpool katika uwanja wa ANFIELD kwa season 9 mpaka sasa!? Na bado itabakia historia
leo katika gemu
LIVERPOOLv CITY
" kuendelea kwa tanzania ni mara baada ya sisi kuacha ubinafsi!.. ''
**Maisha kama ndala yatakatika anytime. Mpoki**
pic of the week
" kuendelea kwa tanzania ni mara baada ya sisi kuacha ubinafsi!.. ''
**Maisha kama ndala yatakatika anytime. Mpoki**
gemu ishaanza 17'
duu unaweza kufa..
Hii game tamu sana...dah!!!!
l'pool 1 MANC 0
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Follow Us Here