Mpaka baada ya mechi za jana msimamo ulikuwa hivi...
Mpaka baada ya mechi za jana msimamo ulikuwa hivi...
Last edited by Mphamvu; 15th April 2013 at 07:37.
Mechi zinazofuata:
Mtibwa Sugar 24/10/12
- Kagera Sugar
Young Africans 24/10/12
- Polisi Morogoro
Coastal Union 24/10/12
- African Lyon
Azam 24/10/12
- Ruvu Shooting
Mhhh Mphamvu why Pamoja??
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
naomba niulize baada ya mechi za jumamosi 27/10 mfano simba akadraw na azam na yanga akashinda kule arusha halafu akaongoza ligi japo kwa tofauti ya magoli,kati ya Simba au Yanga ipi itakuwa timu bora kwa mda huo mana simba itakuwa haijafungwa hata mechi na yanga iligongwa mechi mbili
Ndo tabu ya product ya shule za Lowasa(Shule za Kata)...Mkuu team bora ni ile itakayokuwa ina vigezo vya kuiweka juu,na issue ya msingingi ni how many points you have lost,team ikifungwa mechi 2 mana'ke ime'loose 6 points,team ikidroo mechi 4 mana'ke ime'loose 8 points wewe kwa taaluma yako hiyo ya shule ya sekondary ya Kata unafikiri who's the best looser between the 2 scenario?
ni kweli lkn kumbuka kwamba Yanga amedroo mechi mbili ina maana hapo amepoteza pointi 4 alafu kafungwa mechi mbili ina maana amepoteza pointi 6 jumla Yanga imeisha poteza pointi 10 na Simba kwa vile imetoka droo nne hivyo imeisha poteza pointi 8....then from the point of view; we can conclude that Simba SC is in safe hands to be the BEST.
Follow Us Here