Wadau mlio uwanjani au mnaoskiliza mpira, wengine tupo mbali tunaomba updates za fainali ya super8
Wadau mlio uwanjani au mnaoskiliza mpira, wengine tupo mbali tunaomba updates za fainali ya super8
SIMBA 2(yote Eddo) mtibwa 2(yote kissiga) Dk ya 60 sasa
"Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni Woga"-Mh.Godbless J.Lema.
Dk ya 69,simba 3 Haroon Athumani.....mtibwa 2
"Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni Woga"-Mh.Godbless J.Lema.
vipi mkubwa had xaxa mambo yaendaje huko?
Wadau matokeo jaman vp tena
3 kwa 3
Hongera Matola, hongera Simba kwa ushindi wa 4:3. Namshauri Rage awaachie hizo zawadi M40 hawa watoto wajipongeze. Soka wanaliweza.
Follow Us Here