JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kisa cha Bin Zubery kuichukia Simba ni kugombea mwanamke na nyota Simba!

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 23 of 23
  1. Mdakuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th April 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,465
   Rep Power : 976
   Likes Received
   1690
   Likes Given
   2185

   Default Kisa cha Bin Zubery kuichukia Simba ni kugombea mwanamke na nyota wa Simba!

   Kwa bahati njema nafahamiana vizuri sana na huyu mtu anayejiita Bin Zubery, lakini jina lake halisi ni Mahmoud Zubery aliyekuwa kujihusisha na mchezo wa ndondi siku za nyuma lakini hakuweza kufika mbali kutokana na uwezo mdogo.

   Huyu jamaa ameshafanya kazi kwenye magazeti ya Tanzania Daima, Sayari, Bingwa na Dimba kwa sasa anaandika habari za soka zaidi, na kwenye miaka ya 2005 hivi alikuwa akiandika zaidi habari za urembo na muziki, hasa Bongo Flava.

   Sababu kubwa ya huyu jamaa kuichukia sana klabu ya Simba kwa kiwango kikubwa namna hii kiasi cha kufanya magazeti anayofanyia kazi kuwa zaidi na habari za kuiponda Simba ni tukio la kugombea na mwanamke na aliyekuwa mchezaji wa Simba, Boniface Pawasa.

   Mvutano huu uliodumu kwa kipindi kirefu ulitokana na wawili hawa kumgombea mwandishi wa kike aliyekuwa akifanya kazi pamoja na Bin Zubery aitwaye Dina Ismail. Pawasa alifanikiwa kusafiri mara kadhaa na mwandishi huyo wakiwa na klabu ya Simba nje ya nchi, akiwa kama ripota.

   Jambo lililofanya Zubery kuanza kuishambulia klabu ya Simba hata kwa habari zisizo na ukweli wowote ilimradi kufurahisha nafsi yake, huku akiamini kwamba anamkomoa Pawasa na mara nyingi zaidi alikuwa kimuandika vibaya Pawasa.

   Mwisho wa siku Dina akafanikiwa kuzaa na Pawasa mtoto mmoja, jambo liliongeza vita kwa wawili hawa na baadaye Zubery akaamua kumuoa kabisa Dina kwa kuendeleza mapambano, na kufanya Dina aanze kutumia jina la Dina Zubery akiwa na gazeti la Tanzania Daima.

   Kwa wakati huu mara kadhaa Zubery akawa akipigana sana Pawasa, kila lipokwenda kukutana na Dina kwa ajili ya kutoa huduma za mtoto wake, na nakumbuka ugomvi wao mkubwa zaidi ulifanyika nje ya jengo la Bilicanas ambako ndiko iliko ofisi ya gazeti la Tanzania Daima.

   Lakini kwa kuwa ndoa yao haikuwa ya mapenzi na badala ikawa ya mashindano zaidi, haikudumu ikavunjika miaka michache tu baadaye.

   Hiyo ndio historia ya kweli ya Mahmoud Zubery kuichukua klabu ya Simba.
   Last edited by Mdakuzi; 12th August 2012 at 22:55.

  2. Bujibuji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2009
   Location : NYUMBANI PANONO
   Posts : 23,182
   Rep Power : 51527997
   Likes Received
   12682
   Likes Given
   9895

   Default Re: Kisa cha Bin Zubery kuichukia Simba ni kugombea mwanamke na nyota Simba!

   Ntawaandalia pambano Dar Live, wakaonyeshane ugangwe

  3. pilau's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2012
   Posts : 1,447
   Rep Power : 753
   Likes Received
   342
   Likes Given
   96

   Default Re: Kisa cha Bin Zubery kuichukia Simba ni kugombea mwanamke na nyota Simba!

   huyo zuberi mwenyewe ni mwandishi "kanjanja" wala shule ya uandishi wa habari hana ni darasa la 7 Div. 0 alianza kwa ubabaishaji, na anaendelea na ubabaishaji mkizidi kumjadili mnampandisha chati ambayo haiistahili

  4. boby v's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th July 2012
   Posts : 31
   Rep Power : 473
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   [QUOTE=Mdakuzi;4419440][SIZE=4]Kwa bahati njema nafahamiana vizuri sana na huyu mtu anayejiita Bin Zubery, lakini jina lake halisi ni Mahmoud Zubery aliyekuwa kujihusisha na mchezo wa ndondi siku za nyuma lakini hakuweza kufika mbali kutokana na uwezo mdogo.

   Huyu jamaa ameshafanya kazi kwenye magazeti ya Tanzania Daima, Sayari, Bingwa na Dimba kwa sasa anaandika habari za soka zaidi, na kwenye miaka ya 2005 hivi alikuwa akiandika zaidi habari za urembo na muziki, hasa Bongo Flava.

   Sababu kubwa ya huyu jamaa kuichukia sana klabu ya Simba kwa kiwango kikubwa namna hii kiasi cha kufanya magazeti anayofanyia kazi kuwa zaidi na habari za kuiponda Simba ni tukio la kugombea na mwanamke na aliyekuwa mchezaji wa Simba, Boniface Pawasa.

   Mvutano huu uliodumu kwa kipindi kirefu ulitokana na wawili hawa kumgombea mwandishi wa kike aliyekuwa akifanya kazi pamoja na Bin Zubery aitwaye Dina Ismail. Pawasa alifanikiwa kusafiri mara kadhaa na mwandishi huyo wakiwa na klabu ya Simba nje ya nch. Huyo bin zubeir mbona anaf*r*a cku nyingi tu na alikuwa anamtaka sana bon amf*r* sasa akaona wivu kwanini bon anatembea na msichana tena anaefanya kazi nae.


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...