http://bongostaz.blogspot.co.uk/2012...-rage.html?m=1
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
http://bongostaz.blogspot.co.uk/2012...-rage.html?m=1
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kuna taarifa za Simba kumsajili mu ivory coast na mkenya pascal ochieng na imemuacha Danny mrwanda na Kanu Mbiyavanga leo.Je TFF ilisogeza mbele siku kwa ku favour Yanga peke yao?Simba waangalie vizur ndan ya club yao ndo kuna mchawi!mliambiwa Okwi amefuzu majaribio mtapata tsh 3 billion wakat hata uwanjan hakukanyaga.
simba msilalamike haya mambo hata ulaya yapo..duh ila mzee wenu anajua kulia.!!
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Get informed Bro kwa kumsajili Ochieng na Okuffor siju takataka gani tayari mmeshatimiza wachezaji wa'5 wa kigeni jumlishia na Felix Sunzu,Emanuel Okwi na Mussa Mudde sasa hilo jina la Twite mtapeleka la ngapi?,kwa taarifa yako unayekataa ni wewe "Kajamba nani" huku mtaani,viongozi wako wameshakubali kitambo ndo maana hata Mwenyekiti wenu alilia.
Najua mtapeleka jina la Yondani,potelea mbali Yanga sasa ina viongozi waelewa kila kitu kimefanywa kwa kufata utaratibu kwahiyo sheria itachukua mkondo wake lkn hata kama atawekewa zengwe Canavaro na Twite it's more solid than Canavaro na Yondani,poleni.
Bado nasema chungeni Rage
Brave_Hearts
Mwenye CV yake kwanza. Kama kuna mtu ameshtukia kuna aina fulani ya majibizano Shaffih na Bin Zubery Na beef kubwa sana kati ya Maestro na Bin Zubery. Hii yote ni chuki kwa kuwa yeye tuko chini sana narudia tena sana ya watu haya. Nadhani elimu yake na kiwango chake ni cha kuripoti habari 2 uchambuzi awaachie wengine. Mfano Mzuri Shaffih aliripoti kocha wa Yanga kuomba kibarua Harambee Stars akaibuka yeye ni habari za uongo za 'vizabinazabina' wasiotaka maendeleo ya yanga inayoonekana kuimarika kila siku na kuleta vurugu. Mungu si athumani juzi juzi katibu wa Kff akataja jina la Tom ndani ya majina kumi ya makocha walioomba kandarasi pale. KIKO WAPI?? AIBUUUU KWA BIN ZUBERY. Juzi uliona pale taifa mashabiki wa Simba walivyokuzodoa ktk Simba Day. Na kujitia kimbelembele ukajifanya eti na wewe ukaenda Mwananyamala Hosp pamoja na Simba. JIANGALIE WEWE!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Brave_Hearts
kwanza naona kabisa hapa kuna mgogoro wa kimtazamo kuhusu hoja ya twite. Sababu ya mgongano huu ni namna ambayo Mwandishi ametaka ujumbe huu iuwafikie watu. Ameuleta ujumbe wake kishabiki sana. Nadhani yeye asingeandika mtazamo wake ila angeweka facts zilizopo kuhusiana na suala husika. Kama ni mfuatiliaji wa mambo yaliyotokea na yanayotokea angejifunza namna waandishi wa habari walivyochangia mauaji ya halaiki kule Rwanda mwanzoni mwa miaka ya 1990. Wa TZ inatubidi tujipange sana na ndo maana wenzetu wa nchi jirani wanatupiga chini mara nyingi katika soko la ajira kutokana na namna walivyo na uwezo wa kujenga hoja zao (ingawa mara nyingine huwa hawana uwezo wa kuzifanya kazi wanazopewa)
Badala kujadili hoja watu wanamjadili bin zuberi. Rage hana usafi wowote wa kumtosha kuwachafu wengine.ile kutiwa hatiani tu kwa kosa la wizi tayari imemtia doa hata kama alishinda rufaa.halafu kesi nyingine ya kutiwa hatiani kwa kupanda jukwaani na bastola kule igunga ambapo alitozwa faini tu ingawa kosa lenyewe adhabu yake ni faini na/au kifungo.ni mtu huyuhuyu aliwahi kufunguliwa kesi na jamhuri baada ya kukamatwa na kadi feki za simba yeye na jumanne hassan masimenti na kesi hiyo iliisha kimyakimya.
Follow Us Here