JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

  Report Post
  Page 46 of 113 FirstFirst ... 364445464748 56 ... LastLast
  Results 901 to 920 of 2258
  1. Balantanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2008
   Location : Kusadikika
   Posts : 11,440
   Rep Power : 7770
   Likes Received
   3168
   Likes Given
   2228

   Default CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates   FIXTURES

   Sat. 14th July 1 APR vs WAU SALAAM Uwanja wa Taifa 2pm

   2 YANGA vs ATLETICO Uwanja wa Taifa 4pm   Sun. 15th July 3 AZAM vs MAFUNZO Chamazi 4pm
   4 SIMBA vs URA Uwanja wa Taifa 4pm

   Mon. 16th July 5VITA CLUB vs PORTS Uwanja wa Taifa 2pm
   Tue. 17th July 6 ATLETICO vs APR Uwanja wa Taifa 2pm
   7 WAU SALAAM vs YANGA Uwanja wa Taifa 4pm   Wed. 18th July 8 VITA CLUB vs URA Uwanja wa Taifa 2pm
   9 PORTS vs SIMBA Uwanja wa Taifa 4pm   Thu. 19th July 10 ATLETICO vs WAU SALAAM Uwanja wa Taifa 2pm
   11 MAFUNZO vs TUSKER Uwanja wa Taifa 4pm   Fri. 20th July 12 PORTS vs URA Uwanja wa Taifa 2pm
   13 YANGA vs APR Uwanja wa Taifa 4pm   Sat. 21st July 14 AZAM vs TUSKER Uwanja wa Taifa 2pm
   15 SIMBA vs VITA CLUB Uwanja wa Taifa 4pm   Sun. 22nd July REST DAY

   QUARTER FINALS
   Mon. 23rd July 16 B2 vs C2
   17 A1 vs C3

   Tue. 24th July 18 C1 vs A2
   19 B1 vs A3

   Wed. 25th July REST DAY

   SEMI FINALS
   Thu. 26th July 20 Winner 16 vs Winner 17

   Thu. 26th July 21 Winner 18 vs Winner 19

   Fri. 27th July REST DAY

   FINALS AND 3rd PLACE PLAY OFFS
   Sat. 28th July 22 Loser 20 vs Loser 21
   23 Winner 20 vs Winner 21
   Last edited by Balantanda; 14th July 2012 at 16:47.
   "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

  2. bemg's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2010
   Posts : 2,675
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   512
   Likes Given
   602

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   sunzu goaaaaaaaaaaaaaaaaaaal lo
   Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja

  3. nngu007's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2010
   Posts : 15,932
   Rep Power : 840916
   Likes Received
   5660
   Likes Given
   614

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   mnaona game wapi?

  4. Dp800's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Posts : 47
   Rep Power : 500
   Likes Received
   10
   Likes Given
   7

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Penati Anakosaaaaaaaaaa

  5. PrN-kazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 2,843
   Rep Power : 5617
   Likes Received
   398
   Likes Given
   6

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Sunzuuuuuuuuuuuu jamani!!!!!!!

  6. Balantanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2008
   Location : Kusadikika
   Posts : 11,440
   Rep Power : 7770
   Likes Received
   3168
   Likes Given
   2228

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Huyu Sunzu hovyo kabisa.......

   Full Time

   Simba 1-1 AS Vita Club
   "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

  7. ndetichia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Mwime - Buswangili
   Posts : 27,406
   Rep Power : 98146806
   Likes Received
   4352
   Likes Given
   383

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   sunzu kauza timu hadi raha.. kakosaaaaaaaa.....

  8. Balantanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2008
   Location : Kusadikika
   Posts : 11,440
   Rep Power : 7770
   Likes Received
   3168
   Likes Given
   2228

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Quote By nngu007 View Post
   mnaona game wapi?
   Game imeisha mjomba.....Ilikuwa inaoneshwa Super Sport 9 na Star TV
   "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

  9. bemg's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2010
   Posts : 2,675
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   512
   Likes Given
   602

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   sunzu ametukosesha ushindi
   Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja

  10. PrN-kazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 2,843
   Rep Power : 5617
   Likes Received
   398
   Likes Given
   6

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Haya Robo Fainali Simba uso kwa uso na Azam

  11. ndetichia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Mwime - Buswangili
   Posts : 27,406
   Rep Power : 98146806
   Likes Received
   4352
   Likes Given
   383

   Default

   Quote By Balantanda View Post
   Huyu Sunzu hovyo kabisa.......

   Full Time

   Simba 1-1 AS Vita Club
   kwa sisi tusiopenda simba na swaaaaaafiiiiiii hadi raha...

  12. bemg's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2010
   Posts : 2,675
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   512
   Likes Given
   602

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Quote By Balantanda View Post
   Huyu Sunzu hovyo kabisa.......

   Full Time

   Simba 1-1 AS Vita Club
   siku zote penati muhimu forward huwa wanakosa
   Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja

  13. Masuke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2008
   Posts : 4,536
   Rep Power : 17509
   Likes Received
   1031
   Likes Given
   241

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Hapa sasa naweza nikaenda uwanjani kuwaona mechi ya robo fainali, Vijana wa Simba mmecheza vizuri sana, Sunzu usihuzunike wala usifadhaike hiyo yote ni mipango ya Mungu tusikutane na Atletico robo fainali.
   Buli ng'wene olonja hang'wakwe-M/kiti wa kijiji chetu.

  14. CHAI CHUNGU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2012
   Posts : 7,156
   Rep Power : 11253
   Likes Received
   768
   Likes Given
   248

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   robot final timetable.
   YANGA V/S MAFUNZO.
   SIMBA V/S AZAM

  15. nkyalomkonza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th June 2012
   Posts : 1,175
   Rep Power : 814
   Likes Received
   422
   Likes Given
   147

   Default

   Quote By bemg View Post
   siku zote penati muhimu forward huwa wanakosa
   Sio siku zote bali vilaza wote hukosa

  16. Balantanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2008
   Location : Kusadikika
   Posts : 11,440
   Rep Power : 7770
   Likes Received
   3168
   Likes Given
   2228

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Quote By bemg View Post
   siku zote penati muhimu forward huwa wanakosa
   Ukweli ni kwamba Sunzu ni garasa mtani(sory to say that......)...........
   "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

  17. Aleyn's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2011
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 5,317
   Rep Power : 1675
   Likes Received
   1624
   Likes Given
   73

   Default

   Quote By Masuke View Post
   Hapa sasa naweza nikaenda uwanjani kuwaona mechi ya robo fainali, Vijana wa Simba mmecheza vizuri sana, Sunzu usihuzunike wala usifadhaike hiyo yote ni mipango ya Mungu tusikutane na Atletico robo fainali.
   ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

  18. bemg's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2010
   Posts : 2,675
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   512
   Likes Given
   602

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   linatosha kwa kuwa kocha bado anampa nafasi ya kucheza na kupigaa penati
   Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja

  19. PrN-kazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 2,843
   Rep Power : 5617
   Likes Received
   398
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By Masuke View Post
   Hapa sasa naweza nikaenda uwanjani kuwaona mechi ya robo fainali, Vijana wa Simba mmecheza vizuri sana, Sunzu usihuzunike wala usifadhaike hiyo yote ni mipango ya Mungu tusikutane na Atletico robo fainali.
   Mshindi wa nafasi ya tatu kundi A (ambaye ni Simba)anakutana na mshindi wa kundi B ambaye ni kati ya Mafunzo na Azam lkn kwa utaratibu jinsi ulivyo Simba lazima akutane na Azam.

  20. Masuke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2008
   Posts : 4,536
   Rep Power : 17509
   Likes Received
   1031
   Likes Given
   241

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Quote By Balantanda View Post
   Ukweli ni kwamba Sunzu ni garasa mtani(sory to say that......)...........
   Mkuu Sunzu sio Garasa ni upepo tu utapita, mtatamani kumsajili huko tuendako.
   Buli ng'wene olonja hang'wakwe-M/kiti wa kijiji chetu.

  21. Masuke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2008
   Posts : 4,536
   Rep Power : 17509
   Likes Received
   1031
   Likes Given
   241

   Default Re: CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

   Quote By PrN-kazi View Post
   Mshindi wa nafasi ya tatu kundi A anakutana na mshindi wa kundi B ambaye ni kati ya Mafunzo na Azam lkn kwa utaratibu jinsi ulivyo Simba lazima akutane na Azam.
   Azam tunawamudu lakini hata ikitokea wametufunga tutawashangilia nusu fainali.
   Buli ng'wene olonja hang'wakwe-M/kiti wa kijiji chetu.

  Page 46 of 113 FirstFirst ... 364445464748 56 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...