Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 36 of 36
    1. #1
      Anselm's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Dar-es-salaam
      Posts : 1,471
      Rep Power : 726
      Likes Received
      181
      Likes Given
      138

      Default Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Makipa: Yaw Berko na Aly Mustapha "Barthez"
      Mabeki: Juma Abdul, Godfrey Taita,David Luhende,Oscar Joshua,Nadir Haroub "Canavaro" Ladislaus Mbogo na
      Kelvin Yondani "Vidic" sijui Rage atawaambiaje tena watu wa Simba kuhusiana na huyu "Vidic"
      Viungo: Athuman Idd "Chuji", Juma Seif "Kijiko", Haruna Niyonzima "Febregas", Rashid Gumbo "Fundi" Nizar Khalfani
      "Mtaalamu", Shamte Ally "Engineer" na Idrissa Rashid "Messi wa Yanga"
      Washambuliaji: Back in the form Jerrison Tegete,Khamis Kiiza "Diego" na Said Bahanuzi.

      Makocha: Head Coach Tom Saintfiet "Uncle Tom"
      Assistant Coach Fred Felix Katalaiya Minziro "Baba Isaya"
      Ulimakafu likes this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Dar-es-salaam
      Posts : 1,471
      Rep Power : 726
      Likes Received
      181
      Likes Given
      138

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Quote By Ukweli mtupu
      Naipenda sana yanga, kunawatu wameanzisha mkakati ua yanga ila wao watakufa make walikuja kina sigara,kajumulo,moro untd wote wamepotea yanga yupo na atazidi kuwepo,. Wanapangiana skuizi eti we ukiwa bingwa mi wapili,. Ujinga mtupu kwa mwendo huo pamoja na investment kubwa iliofanya azam naamin haina muda mrefu itapotea tu kwasababu ya kwendekeza undugu na simba
      Well said Mkuu,
      Mikakati ya kupangiana wewe chukua nafasi fulani mimi nitachukua nafasi fulani haitaendeleza mchezo huu hata iweje soka letu litadumaa hapahapa tulipo,tutabadilisha makocha sana hata tuwateremshe hapa akina Guardiola,Fergie na wengineo kwa style hizi hatutavuna kitu katika level za kimataifa.

    4. #22
      ndomyana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 1,819
      Rep Power : 733
      Likes Received
      179
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Anselm

      tunataka mabadiliko ya soka atleast yatainua viwango vyetu tusiwe washiriki tunataka tue mabingwa, azam niliwategea sn kuiwakilisha tz na kuitangaza ila shaona hawana jipya,. Huu mfumo lazma uwangamize

    5. #23
      Masuke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 1010
      Likes Received
      383
      Likes Given
      81

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Kweli watu wa Yanga mmeshaanza kuchanganyikiwa, hivi kwenye ligi kuu ziko timu mbili hadi wapangiane nafasi kwamba wewe ukiwa wa kwanza mimi wa pili? Hata nyie mnakuwa na akili kama yule mzee wenu sijui mnamuita akili mali. Ligi ni ya timu nyingi na mpira unachezwa hadharani kwa nini msifanye jitihada uwanjani mkavuruga mipango yao kama kweli wanapanga kitu ambacho siamini kwa sababu kama wanapanga na mipango yao inafanikiwa wakati hawachezi wawili basi na timu zingine zitakuwa zimeshiriki kwenye huo mpango otherwise mseme timu zingine hazina uwezo wa kucheza soka kitu ambacho hata kama wasingepanga(kama ni kweli mnachosema) bado wangechukua nafasi hizo hizo.

      Kuhusu issue ya Kaseja kudaka mechi nyingi ndo timu kubwa zilivyo duniani kote , huwezi kumweka benchi mchezaji unayemwamini wakati timu inataka ushindi hasa kwenye mechi za Mashindano, huyo Nsajigwa kuachwa yawezekana hata sio mpango wa kocha ni zile tano tu bado kina Mwesigwa wanaweseseka maana takribani goli nne zilitoka upande wake,

      Mechi tatu za kirafiki Kaseja hakudaka hata moja ile ya Toto na ile ya Express ya Shinyanga alidaka Waziri Hamad na ya hapa Dar alidaka Wiliam Mweta.

    6. #24
      Anselm's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Dar-es-salaam
      Posts : 1,471
      Rep Power : 726
      Likes Received
      181
      Likes Given
      138

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Quote By Masuke

      Masuke kama hujui politiki za soka la bongo mimi nakuomba ukae kimya,kwa taarifa yako soka la Tanzania hasa Ligi kuu ni zaidi ya linavyochezwa uwanjani,ukitaka undani wa hili keep in touch with me ligi ikianza nitakuwa katika nafasi ya kukuthibitishia hilo,this I can assure U.
      Usicheze na wadau wa fitina za soka Kaka,kila kitu kinawezekanaga nje ya dk 90 za mwamuzi kwenye mchezo wowote wa soka hasa kwa hapa Tz...ukiingia deep hasa kwenye hii ligi iliyomalizika unaweza usiamini kile ambacho kilikuwa kinafanyika na wa'tathmini wa Ligi kuu walishaeleza kuwa Ligi kuu hii iliyomalizika inaweza kuwa iliongoza kwa ubabaishaji mwingi sana ukilinganisha na Ligi kuu nyingine zilizopita, kwa mantiki hiyo basi hoja yako ya kuwa Ligi huchezwa na team zaidi ya hizi team 3 kubwa haina mashiko kabisa.

    7. #25

      MdogoX2 saa 8 hii naanza kuelekea Uwanja wa Taifa,naomba nitoe angalizo wale wote watakaokuwa wana'report mambo yatakayokuwa yanafanyika pale uwanjani wa'report kwa usahihi mimi langu litakuwa ni moja tu ku'concetrate na vitu vitakavyokuwa vinfanywa na kina David Luhende,Juma Abdul,Canavaro,Kiiza,Bahanuzi, Tegete na wengineo.
      Leo kazi ni moja kuushangaza uma wa watanzania kwa soka la ajabu.
      Till hapo baadaye, kwaherini.

    8. Miaka 50

    9. #26
      PrN-kazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 2,212
      Rep Power : 5359
      Likes Received
      292
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Anselm
      MdogoX2 saa 8 hii naanza kuelekea Uwanja wa Taifa,naomba nitoe angalizo wale wote watakaokuwa wana'report mambo yatakayokuwa yanafanyika pale uwanjani wa'report kwa usahihi mimi langu litakuwa ni moja tu ku'concetrate na vitu vitakavyokuwa vinfanywa na kina David Luhende,Juma Abdul,Canavaro,Kiiza,Bahanuzi, Tegete na wengineo.
      Leo kazi ni moja kuushangaza uma wa watanzania kwa soka la ajabu.
      Till hapo baadaye, kwaherini.
      mbona beki mliokua mna-mlilia Kelvin Yondani humtaji au ndo hivyo tena kibuyu kimelia????

    10. #27
      Masuke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 1010
      Likes Received
      383
      Likes Given
      81

      Default

      Quote By Anselm
      Masuke kama hujui politiki za soka la bongo mimi nakuomba ukae kimya,kwa taarifa yako soka la Tanzania hasa Ligi kuu ni zaidi ya linavyochezwa uwanjani,ukitaka undani wa hili keep in touch with me ligi ikianza nitakuwa katika nafasi ya kukuthibitishia hilo,this I can assure U.
      Usicheze na wadau wa fitina za soka Kaka,kila kitu kinawezekanaga nje ya dk 90 za mwamuzi kwenye mchezo wowote wa soka hasa kwa hapa Tz...ukiingia deep hasa kwenye hii ligi iliyomalizika unaweza usiamini kile ambacho kilikuwa kinafanyika na wa'tathmini wa Ligi kuu walishaeleza kuwa Ligi kuu hii iliyomalizika inaweza kuwa iliongoza kwa ubabaishaji mwingi sana ukilinganisha na Ligi kuu nyingine zilizopita, kwa mantiki hiyo basi hoja yako ya kuwa Ligi huchezwa na team zaidi ya hizi team 3 kubwa haina mashiko kabisa.
      Mkuu Anselm, maadam Yanga ingeshika nafasi ya kwanza haya unayoyasema sidhani kama ungeyasema hii ni kwa sababu wengi wetu tuko obsessed na timu tunazozishabikia, ligi ilikuwa ya timu 14 hakuna kitu timu mbili zitapanga kama hazina uwezo wa kucheza soka, kwa sababu kama la kupanga lipo basi mimi nasema kuanzia tff hadi vilabu wote wanashiriki kupanga, huwezi kuniambia eti kwa sababu Simba imekuwa ya kwanza na Azam ya pili basi wamepanga halafu unaniambia nikae kimya kama sijui siasa za mpira, lete utetezi wa kutosha nitakuelewa sio kuniambia nikae kimya.

      Ligi iliyopita timu yenu ilikuwa mbovu na wala hakuna fitina yoyote mliyofanyiwa, Kagame mlitufunga kibahati tu ingawa timu yetu wakati wa Kagame nayo haikuwa nzuri sana, ukitaka kuamini hilo angalia baada ya Kagame mlicheza mechi kama tatu za kirafiki zote mlifungwa na mechi ngao ya hisani pia mlifungwa mechi hata mechi yenu ya kwanza na Jkt ruvu pia mlifungwa kwa hiyo mlifungwa mechi mfululizo kama tano.

      Mfano washabiki wengi wa ligi ya uingereza hasa wasiokuwa washabiki wa man U wanaamini man U inabebwa lakini kwa sababu man C walikuwa na uwezo ndo waliochukua ubingwa na nyie mngekuwa na uwezo mngeweza chukua ubingwa, mbona ligi ya mwaka juzi mlipokuwa mabingwa sie wa pili hamkusema tulipanga tena kwa tofauti ya magoli sasa.

      Tuweni tu waungwana timu isipofanya vizuri tusitafute wachawi nje ya timu maana ingekuwa ni kupanga bila shaka Yanga ndo ingefaidika na huo mchezo maana TFF wamejaa wanazi wa Yanga, m/kiti halina ubishi, katibu hadi nafasi yake kama mjumbe wa kamati ya uchaguzi kaiacha juzi juzi tu hapa, yule Lyatu na Saad wote ni Yanga wale.

    11. #28

      umesahau ulimboka wa simba alivokamatwa amenda kumuonga kado alivokua mtibwa, umesahau kabulu alivokamatwa amenda kumuhonga foward wa yanga, umesahau gemu karibu 4 za azam marefa walitwangwa, umesahau gem ya zam na mtibwa ilivorudiwa, umesahau simba walicheza na vila redcard2 na penert1 bado wakafungwa1, naushahid mwingi

    12. #29
      Masuke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 1010
      Likes Received
      383
      Likes Given
      81

      Default

      Quote By Ukweli mtupu
      umesahau ulimboka wa simba alivokamatwa amenda kumuonga kado alivokua mtibwa, umesahau kabulu alivokamatwa amenda kumuhonga foward wa yanga, umesahau gemu karibu 4 za azam marefa walitwangwa, umesahau gem ya zam na mtibwa ilivorudiwa, umesahau simba walicheza na vila redcard2 na penert1 bado wakafungwa1, naushahid mwingi
      Nitaelezea kuhusu ya Ulimboka na Azam, hizi zingine mimi sikumbuki, Habari za Ulimboka kweli zilienea na Takukuru waliingilia kati lakini hapakuwa na ushahidi maana hata Kado mwenyewe alikanusha na kama ni kweli sheria ya rushwa inasemaje mtoaji na mpokeaji wote wana makosa sasa ilikuwaje ikawa one sided na Kado hakuwa indicted, na wakati ule Ulimboka hakuwa mchezaji wala Kiongozi wa Simba kwa hiyo hata motive ya yeye kufanya hivyo haikuwepo ndo maana ile kesi ilikufa inawezekana ni maadui zake walimchomea.

      Kuhusu Azam kutoa rushwa kwa marefa sidhani kama ni kweli, mfano mechi ya Azam na Yanga siku ile Azam walikuwa fiti kuliko nyie na walithibitisha hilo hata kwa timu zingine, lakini kwa sababu akili zenu zimetawaliwa na ushabiki mnaweza kusema lolote timu isipofanya vizuri

      Nashukuru mechi ya leo CECAFA na TFF kumruhusu Yondani maana ingekuwa ndo kisingizio, lakini kacheza na kipigo mmepata tuambieni matokeo ya leo mlipanga na Atletico au Berko na Canavaro wamechukua rushwa?

      Nimesema kwenye post zangu za awali mpira unachezwa hadharani na kila mtu anaona. Kocha wa The Express aliwapa ushauri wa bure kwamba timu yenu inakimbia kimbia tu haina malengo na akasisitiza inabidi irekebike na wachezaji wacheze kwa malengo lakini mkapuuza ushauri wake lakini baada ya kuona mmeshinda 2-1 kwa Express na 2-0 kwa Jkt ruvu na mazoezi ya Kaunda mkaona mmemaliza na magazeti yenu yanavyowavimbisha kichwa, Yondani na Cannavaro ukuta wa zege sasa leo sijui zege limeyeyuka limekutana na Bulldozer.

      Poleni lakini, Anselm njo uniambie leo Yanga na Atletco wamepanga matokeo?

    13. #30
      Ngarna's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 32
      Rep Power : 366
      Likes Received
      3
      Likes Given
      3

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Masuke jadili na Yanga wenye akili kama BALA achana na huyo mtoto ndio kwanza kamaliza sekondari ya kata.Reasoning
      yake na uwezo wa kujenga hoja sifuri. Kazi kusoma mwanaspoti na ushabiki wao wa wazi.Beki ya zege leo imeyeyushwa
      na vijana ambao wamesafiri kwa basi bila ya posho.

    14. #31
      ndomyana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 1,819
      Rep Power : 733
      Likes Received
      179
      Likes Given
      0

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Ondoa siasa zako hapa, kujenga hoja ndo nini

    15. #32
      Ngarna's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 32
      Rep Power : 366
      Likes Received
      3
      Likes Given
      3

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Na kweli leo tumeona soka la maajabu tulioahidiwa na mjinga fulani.Mmecheza hovyo kufungwa sio jambo la ajabu.Kazeni
      mkanda wa chupi APR wanapiga hodi.Zinaweza kuzidi za leo.Mpo online lakini kwa kucheza magazetini mnaona aibu
      ku comment.

    16. #33
      Anselm's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Dar-es-salaam
      Posts : 1,471
      Rep Power : 726
      Likes Received
      181
      Likes Given
      138

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Quote By Masuke
      Nitaelezea kuhusu ya Ulimboka na Azam, hizi zingine mimi sikumbuki, Habari za Ulimboka kweli zilienea na Takukuru waliingilia kati lakini hapakuwa na ushahidi maana hata Kado mwenyewe alikanusha na kama ni kweli sheria ya rushwa inasemaje mtoaji na mpokeaji wote wana makosa sasa ilikuwaje ikawa one sided na Kado hakuwa indicted, na wakati ule Ulimboka hakuwa mchezaji wala Kiongozi wa Simba kwa hiyo hata motive ya yeye kufanya hivyo haikuwepo ndo maana ile kesi ilikufa inawezekana ni maadui zake walimchomea.

      Kuhusu Azam kutoa rushwa kwa marefa sidhani kama ni kweli, mfano mechi ya Azam na Yanga siku ile Azam walikuwa fiti kuliko nyie na walithibitisha hilo hata kwa timu zingine, lakini kwa sababu akili zenu zimetawaliwa na ushabiki mnaweza kusema lolote timu isipofanya vizuri

      Nashukuru mechi ya leo CECAFA na TFF kumruhusu Yondani maana ingekuwa ndo kisingizio, lakini kacheza na kipigo mmepata tuambieni matokeo ya leo mlipanga na Atletico au Berko na Canavaro wamechukua rushwa?

      Nimesema kwenye post zangu za awali mpira unachezwa hadharani na kila mtu anaona. Kocha wa The Express aliwapa ushauri wa bure kwamba timu yenu inakimbia kimbia tu haina malengo na akasisitiza inabidi irekebike na wachezaji wacheze kwa malengo lakini mkapuuza ushauri wake lakini baada ya kuona mmeshinda 2-1 kwa Express na 2-0 kwa Jkt ruvu na mazoezi ya Kaunda mkaona mmemaliza na magazeti yenu yanavyowavimbisha kichwa, Yondani na Cannavaro ukuta wa zege sasa leo sijui zege limeyeyuka limekutana na Bulldozer.

      Poleni lakini, Anselm njo uniambie leo Yanga na Atletco wamepanga matokeo?
      Kwanza kabisa matokeo yana pande 3,kufunga/kufungwa na kutoka sare...kwa leo nimekubali tumefungwa Atraco walituzidi...tatizo nililoliona ni kuwa mfumo unaotumiwa na Yanga bado haujawakaa wachezaji na hata upangaji wa team umetuathiri kwa kiwango kikubwa Gumbo aliyekuwa ameshika dimba la kati mbele alikuwa out of the form just like Shamte Ally ambaye to my surprise alidumu kwa dakika 90 zote,kuumia kwa Juma Abdul na kwenyewe kuliidhoofisha team,aliyeingia Mbogo alikuwa na maamuzi ya kuchelewa sana jambo lililosababisha Jamaa watudondokee...Tegete hakuwa na madhara kama ilivyokuwa kwa Bahanuzi alipoingia,kwaujumla Yanga leo imecheza vibaya sana,wamenisikitisha sana kwakweli.
      Sasa coming back to hoja ya msingi Masuke najua wewe unalifahamu soka la bongo vizuri tukiacha unazi ligi iliyomalizika ilikuwa na zengwe sana hasa katika mechi zilizokuwa zinaihusu Azam..angalia mechi yao dhidi ya Yanga kadi nyekundu ya Niyonzima,kadi nyekundu ya Canavaro angalia matukio mazima yaliyosababisha Nkongo atwangwe, hlf angalia jinsi Kamati ya Ligi ilivyokutana fasterX2 usiku wa manane kutoa adhabu kwa wachezaji wa Yanga just ksbb ni wa Yanga walikuwa wanahitajika kuadhibiwa mapema ili kuidhoofisha team,angalia mechi ya Azam na Polisi iliyopelekea Polisi wampige refa,angalia jinsi adhabu za wachezaji wao zilivyochelewa kutolewa,angalia mechi ya Azam na Mtibwa refa alivyomaliza mechi katika hali ya utata na chapchap Azam wakapewa point 3 na magoli ma'3 mpk Jamaa walivyokuja kukata rufaa mechi ikarudiwa na wote tukashuhudia Azam akila kichapo na kupoteza nafasi ya ubingwa...kwa mfatiliaji yeyote wa soka atakubaliana na mimi kuwa mipango ya Azam ya nje ya uwanja ilikuwa waziwazi kabisa...kamati ya ligi kwa kiasi kikubwa ndo ilikuwa inahusika katika kutengeneza mazingira ya kumpata mshindi wa 1 na wa 2,wee mwenyewe fikiria kamati Mwenyekiti wake kiongozi wa Azam,Katibu nimemsahau jina lkn anajulikana ni mdau mkubwa wa Simba,wajumbe Nyange Kaburu,Kiongozi wa Coastal na wa African Lyon kuna nini tena hapo?
      Coming back to Ulimboka issue ya kutaka kumhonga Kado ilikuwa live na suala hilo lilireportiwa hadi TFF lkn TFF waliamua kilimaliza tu kiaina,issue ya Nyange Kaburu pia ilifikishwa Wazee wameimaliza kiaina ndo Tanzania ilivyo sasa tutafanyeje?

    17. #34
      Ngarna's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 32
      Rep Power : 366
      Likes Received
      3
      Likes Given
      3

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Na kweli umechanganyikiwa mmecheza na Atletco ya Burundi sio Atraco ya Rwanda.Kamati ya ligi yupo Mwesigwa wa Yanga
      au nae alishiriki katika njama unazodai.Chezeni mpira na kufungwa ni sehemu ya matokeo.Tatizo mkifungwa lazima
      ziwepo hujuma na mkishinda mna timu nzuri.

    18. #35
      ndomyana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 1,819
      Rep Power : 733
      Likes Received
      179
      Likes Given
      0

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Tulikua vibaya leo tunao muda tujipange upya

    19. #36
      Masuke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 1010
      Likes Received
      383
      Likes Given
      81

      Default Re: Yanga waanika watakaolibakisha Kombe la Kagame mtaa wa Twiga na Jangwani

      Quote By Anselm
      Kwanza kabisa matokeo yana pande 3,kufunga/kufungwa na kutoka sare...kwa leo nimekubali tumefungwa Atraco walituzidi...tatizo nililoliona ni kuwa mfumo unaotumiwa na Yanga bado haujawakaa wachezaji na hata upangaji wa team umetuathiri kwa kiwango kikubwa Gumbo aliyekuwa ameshika dimba la kati mbele alikuwa out of the form just like Shamte Ally ambaye to my surprise alidumu kwa dakika 90 zote,kuumia kwa Juma Abdul na kwenyewe kuliidhoofisha team,aliyeingia Mbogo alikuwa na maamuzi ya kuchelewa sana jambo lililosababisha Jamaa watudondokee...Tegete hakuwa na madhara kama ilivyokuwa kwa Bahanuzi alipoingia,kwaujumla Yanga leo imecheza vibaya sana,wamenisikitisha sana kwakweli.
      Sasa coming back to hoja ya msingi Masuke najua wewe unalifahamu soka la bongo vizuri tukiacha unazi ligi iliyomalizika ilikuwa na zengwe sana hasa katika mechi zilizokuwa zinaihusu Azam..angalia mechi yao dhidi ya Yanga kadi nyekundu ya Niyonzima,kadi nyekundu ya Canavaro angalia matukio mazima yaliyosababisha Nkongo atwangwe, hlf angalia jinsi Kamati ya Ligi ilivyokutana fasterX2 usiku wa manane kutoa adhabu kwa wachezaji wa Yanga just ksbb ni wa Yanga walikuwa wanahitajika kuadhibiwa mapema ili kuidhoofisha team,angalia mechi ya Azam na Polisi iliyopelekea Polisi wampige refa,angalia jinsi adhabu za wachezaji wao zilivyochelewa kutolewa,angalia mechi ya Azam na Mtibwa refa alivyomaliza mechi katika hali ya utata na chapchap Azam wakapewa point 3 na magoli ma'3 mpk Jamaa walivyokuja kukata rufaa mechi ikarudiwa na wote tukashuhudia Azam akila kichapo na kupoteza nafasi ya ubingwa...kwa mfatiliaji yeyote wa soka atakubaliana na mimi kuwa mipango ya Azam ya nje ya uwanja ilikuwa waziwazi kabisa...kamati ya ligi kwa kiasi kikubwa ndo ilikuwa inahusika katika kutengeneza mazingira ya kumpata mshindi wa 1 na wa 2,wee mwenyewe fikiria kamati Mwenyekiti wake kiongozi wa Azam,Katibu nimemsahau jina lkn anajulikana ni mdau mkubwa wa Simba,wajumbe Nyange Kaburu,Kiongozi wa Coastal na wa African Lyon kuna nini tena hapo?
      Coming back to Ulimboka issue ya kutaka kumhonga Kado ilikuwa live na suala hilo lilireportiwa hadi TFF lkn TFF waliamua kilimaliza tu kiaina,issue ya Nyange Kaburu pia ilifikishwa Wazee wameimaliza kiaina ndo Tanzania ilivyo sasa tutafanyeje?
      Mkuu nikupe pole kwa kipigo na niwatakie kila la heri kwenye uchaguzi.
      Open your eyes, look within. Are you satisfied with the life you're living?-Bob Marley

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...