Hope itakuwa mechi nzuri sana leo, binafsi nawashukukuru ZFA kutuletea Burudani Dar
Hope itakuwa mechi nzuri sana leo, binafsi nawashukukuru ZFA kutuletea Burudani Dar
ZFA wanajua hapa kuna faranga ya kutosha....Leo ndio leo lazima mnyama apakatwe....hahaha !! saa nzuri sana tutakuwa tumerejea kibaruani....na tutakuwepo...!!
Wakuu naomba mnisaidie hima muda wa game ya fainali ya kombe la urafiki kati ya SIMBA na AZAM coz magazeti yamenichanganya mengine saa 12 jioni mengine saa 10 jioni
Nataka kwenda Taifa so naomba mnijuze hima wadau
wadau y mpo cool, ka nanyi hamjui c muungane na mimi kumtafuta ajuae atujuze
game saa moja usiku
"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
nAELEKEA GROUND!
It's time for money to work for me.
Azam Timu piga hao wazee wa Sudan 5 bila warudi wakalale reception
Vp wameanza kupiga jaramba hapo au ? Tunasubiri kusikia leo hao lamba-lamba watalambwa ngapi ! Naamini itakuwa game zuri maana hao sio kama JKT Ruvu. Pia game litakuwa zoezi zuri sana kwa timu zote ktk maandalizi ya mwisho ya upcoming Kagame Cup !
Update tafadhali kwa mlioko uwanjani
Grrrr.....mitu inasema ipo njiani kwenda uwanjani then kimyaaaa !! au juu ya miti au mapaa ya nyumba nn ???
wadau mliopo uwanjani tupeni taarifa za matokeo
Mechi kama hii wangefanya bure.
Half Time ni 1 - 1
Nasikia 1-1 half time sasa !!
chandimu hahahahahhhahahh
tune to kiss fm upate mechi kama upo tz..
" kuendelea kwa tanzania ni mara baada ya sisi kuacha ubinafsi!.. ''
**Maisha kama ndala yatakatika anytime. Mpoki**
Follow Us Here