Arsenal ya Argentina Imeshinda Kombe lao la Kwanza la Ligi Huko Argentina baada kumfunga Belgrano 1-0 katika Kombe la Clausura. Tehtehteh Wacha1 sio Arsenal yako bwana.

Wee mzee mbona unanikata moto!!? mimi nilifikiri ni ile ya Wenger! Haya banaa!
Mashabiki wa Arsenal bwana mna mambo.
Follow Us Here