Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na viongozi wa timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars akiwemo Coach alie bwaga manyanga kuifundisha timu hiyo mara baada ya kushindwa kufuzu na hivyo kufuta ndoto za kucheza mashindano ya dunia, zinasema kwamba moja kati ya sababu kubwa inayo kwamisha ufanisi wa timu hiyo ni wachezaji kujishughulisha na vitendo vya kifedhuli ikiwemo mapenzi ya jinsia moja (Usagaji) hata wakiwa kambini!

Reply With Quote

Follow Us Here