wakuu habari za leo! Fixtures zinaonesha mechi leo. Kama kweli mwenye updates aweke hapa.
wakuu habari za leo! Fixtures zinaonesha mechi leo. Kama kweli mwenye updates aweke hapa.
dk 64 bado 1-0
yericko asante kwa updates.. Endelea kutupa kinachijiri huko
ina maana vijana walibeteka kwa ushindi ule wa juzi? Ama.. Kwa nini tunaruhusugi magoli ya fasta fasta?
bado tu.....natamani tusawazishe may be matuta yatafaa
"Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni Woga"-Mh.Godbless J.Lema.
Dk ya 71
Msumbiji 1 - 0 Tanzania
"Want to come see my HARD DRIVE ?"
Wadau updates kuhusu Starz v Mozambique
Dakika ya 76 bado tumelala tu, mungu saidia!
dk 78 bado 1-0
SuperSport Football
Zimbabwe 0 v Burundi 0 - latest
Mozambique 3 v Tanzania 1 - latest
du inauma sana..
dk 84 bado 1-0
90dk
Tanz 0-1 Moz
zimb 1-0 burund
Haya basi..kama tumeshindwa turudi tujipange. Lakini sijui kuwa ni kwanini tunafungwa magoli ya mapema sana..
Mozambique 3 vs Tanzania 1
Naona mawenge hivi nikweli au ahaaaaaaaa haapanaa! Haiwezekani!
dk 87 bado 1-0
Wengine bana mbna tunapelekana mitima kasi
Follow Us Here