Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 36 of 36
    1. #1
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 669
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Attachment 55731

      Mchezaji Kelvin Yondani akisaini mkataba wa usajili mbele ya kiongozi wa Yanga Seif Ahmed usiku huu, katika picha hii Yondani anaonekana akiwa amevaa fulana na timu ya taifa ambazo zimeanza kutumika mwezi mmoja uliopita baada ya stars kuingia mkataba na TBL KUPITIAKilimanjaro.

      Taarifa nilizozipata hivi punde Yondani amefuatwa kwenye kambi ya timu ya Taifa iliyopo kwenye Hotel ya Tansoma jijini Dar Es Salaam.


      Kauli ya Rage Ismail mbona inapishana na anachofanya Yondani kwenye picha hiyo..

      Source: Shafii Blog.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Pazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2011
      Posts : 854
      Rep Power : 586
      Likes Received
      176
      Likes Given
      305

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Naona zile siku za Ku Sign huku unawekewa Radio Mbao na Makabati na Vitanda imerudi tena Tanzania watu wanaenda mbele sie tunazidi kurudi nyuma sasa mtu kuwekewa hizo pesa mbele ndio aweke kwenye mfuko wa Rambo akitoka ? ndio UFISADI wenyewe huu.

    4. #22
      mandieta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th February 2012
      Posts : 2,831
      Rep Power : 909
      Likes Received
      291
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mafuluto
      ...photoshop? huyo pembeni mwenye jezi nyekundu mbona kafichwa..? Na Yondan si kashakanusha ??
      Yes Kakanusha kwamba haja sign simba,kasaini yanga.

    5. #23
      joramjason's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2011
      Posts : 254
      Rep Power : 447
      Likes Received
      49
      Likes Given
      4

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Nyie washbk wa yanga hb angaikieni uongozi kwnz hy ya usajil ni kampeni 2. Na mlivyo na akil fupi mtampa manji uenyekiti hapo ndipo mtajuta

    6. #24
      Anselm's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Dar-es-salaam
      Posts : 1,471
      Rep Power : 726
      Likes Received
      181
      Likes Given
      138

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Quote By SaidAlly
      Yaani hata mie nimechoka kabisa, miburungutu ya pesa hiyo wameiweka mezani eti kama uthibitisho. yaani hovyo kabisa hawa jamaa, hili ni tatizo la kujifunza na labda kuwa na elimu ya jinsi mambo ya kimichezo yanavyotakiwa kuenda na sio kukurupuka hovyohovyo namna hiyo.
      Sasa mshahara wenyewe aliokuwa analipwa Simba ni Tshs 400,000 Gross,yakipita makato 280,000-Laki 3 na kidogo,atafungua akaunti benki akaweke nini?,na kwakuwa yeye alitaka chake kabisa ndo aanguke,watu wakamfungashia hawakuwa na hiyana, sasa kama alibeba kwenye Rambo au bahasha ya khaki anajua yeye mwenyewe.

    7. #25
      Anselm's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Dar-es-salaam
      Posts : 1,471
      Rep Power : 726
      Likes Received
      181
      Likes Given
      138

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Quote By Masuke
      Wewe Anselm na Spika, kocha Minziro hamjamlipa mshahara wake wa miezi mitatu halafu mnaonyesha mabulungutu kwa Yondani namna hiyo akiyaona atajisikiaje?
      Ataelewa tu Mkuu,si watu wanamsukia kikosi...Yanga mwakani itakuwa kama TP Mazembe

    8. Miaka 50

    9. #26
      Mende0's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th February 2012
      Location : Magogoni
      Posts : 1,397
      Rep Power : 645
      Likes Received
      399
      Likes Given
      93

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Quote By Fidel80
      huyo anae msainisha anafahamu Yondani ana mkataba Simba?
      Anao sana
      Bajeti ya maskini tajiri haiwezi

    10. #27
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2720
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      1145

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Kumbe wamemtorosha kijana kambi ya Stars............Poulsen kawaka!
      A compliment is something like a kiss through a veil




    11. #28
      yahoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Location : Tanzania
      Posts : 627
      Rep Power : 393
      Likes Received
      107
      Likes Given
      23

      Default

      Quote By CAMARADERIE
      Kumbe wamemtorosha kijana kambi ya Stars............Poulsen kawaka!
      usifikir alivotoroshwaga dd yako,ndo kila mtu anatoroshwa!

    12. #29
      Masuke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 1010
      Likes Received
      383
      Likes Given
      81

      Default

      Quote By Anselm
      Ataelewa tu Mkuu,si watu wanamsukia kikosi...Yanga mwakani itakuwa kama TP Mazembe
      Mlishindwa kuwa TP Mazembe wakati wa Gulamali ndo mje muwe TP Mazembe sasa hivi kwa huyu fisadi papa?
      The Magnificent likes this.

    13. #30
      ALEYN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,010
      Rep Power : 582
      Likes Received
      122
      Likes Given
      17

      Default

      Quote By joramjason
      Nyie washbk wa yanga hb angaikieni uongozi kwnz hy ya usajil ni kampeni 2. Na mlivyo na akil fupi mtampa manji uenyekiti hapo ndipo mtajuta
      Uongozi ndio unaingia uwanjani?

    14. #31
      Masuke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 1010
      Likes Received
      383
      Likes Given
      81

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Yanga kwa kushirikiana na meneja Mukebezi wamehujumu timu ya Taifa, wamempotezea concentration Kelvin na nina wasi wasi kiwango chake jpili kitakuwa chini kama atapangwa.

    15. #32
      KakaJambazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2009
      Posts : 4,321
      Rep Power : 2743
      Likes Received
      1092
      Likes Given
      935

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Quote By Kifulambute
      na h izo pesa hapo mezani ndizo za usajiri? hana bank ama? TZN bwana ndio maana hatuendelei
      Ni sawa na huyu.
      ,,,,,,,,Jisachi

    16. #33
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 669
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Quote By ALEYN
      Uongozi ndio unaingia uwanjani?
      Machi anacheza namba ngapi kwenye 1st Eleven ya Yanga?

    17. #34
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2720
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      1145

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Quote By yahoo
      usifikir alivotoroshwaga dd yako,ndo kila mtu anatoroshwa!
      Duh mbona mimi nimezaliwa peke yangu huyo dada wa kutoroshwa katoka wapi?
      A compliment is something like a kiss through a veil




    18. #35
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,524
      Rep Power : 1797
      Likes Received
      654
      Likes Given
      0

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Ukiziangalia kwa makini hayo mabulungutu zinakaribia kufikia 18m Tsh!!

    19. #36
      Bigman 2012's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 62
      Rep Power : 372
      Likes Received
      6
      Likes Given
      12

      Default Re: Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

      Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kwishney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !1111

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...