Dah Kidosho cha Georgia ni kikali kweli kweli.........hebu ngoja tuone matokeo..........
Dah Kidosho cha Georgia ni kikali kweli kweli.........hebu ngoja tuone matokeo..........
eewwwww
Hii kitu lazima achukue Maryland aisee...........
Duuh ila haka kabinti ka Rhode Island kailijibu swali gumu sana kwa kweli...ukizingatia majibu ya yule binti kutoka California mwaka ule.....
wewe wewee, Ogah wewe ushazeeka sasa bro... maana hata kwa umri-wa-kiJF masafa yameenda mbali (kama ni radio basi hiyo inakamata frequency za MW tu)... lol! Yaani huyo ndo' umemzimikia kihivyo??!!
daah..... Steve Dii naona unaua aisee......lol...........aisee kile kitu Georgia ni kikali....basi tu!.......wewe vipi maoni yako?.......!
kula kwa macho.
Follow Us Here