Ndugu wana JF ambao ni wapenzi wa timu ya Yanga mnaombwa kujitokeza katika kusaidia kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya mchakato mzima wa kuanzisha tovuti ya klabu yetu ya Yanga..Wazo la kuanzisha Tovuti hii limeanzia kule kwenye blog ya Yanga Yanga ambapo baadhi ya wapenzi wenye nia njema walishauri ianzishwe Tovuti ambayo itakuwa ni chanzo kizuri cha habari ya klabu yetu kwa kushirikiana na blog yetu hiyo.....So ni matumaini ya walio wengi kwamba mtajitokeza na kutoa maoni yenu ya nini kifanyike katika kuianzisha Tovuti hiyo...Yanga Daima mbele,Nyuma mwiko
Tuko wanne so far, na nadhani inabidi kazi ianze rasmi. Tayari tulianza discussion kidogo na Jimmy kuhusu hii kazi, na nadhani ni wakati sasa wa wajumbe wote kuanza kuchangia mawazo. Hapa chini naweka mawazo niliyonayo kuhusu hii kazi, na naomba na wengine mchangie kusudi kazi iendelee. tafadhali ipitieni na mtoe mawazo yenu, irekebishwe ili ije kuwa mwongozo wa hii kazi:
This task force has been by members and fans of Young Africans Sports Club (aka Yanga) Tanzania for the purpose of developing a website for the club. Members of the task force agreed to volunteer their time, expertise and other resources to ensure the task is completed on time and with high level of quality.
Below is the proposed design overview and organization of the team to accomplish the task:
2. Contents of the site
It is envisioned that the site will initially start with two main sections, namely the official section of the site where official information will be shown and the fans zone section for fans and members to interact and share views as follows:
a. Official Site for the club
This will be the main part of the site and will contain official information of the club. This information will be authorized by the leadership of the club and mechanisms will be devised to ensure timely update of such information. The main components of this part of the site will be:
aa. Club Information (The Club)
This shall include such important information of the club as Mission and Vision of the club, History and Award the team(s) have had over the past many years. This information shall be made available by the club officials and shall be updated regularly by authorized officials.
bb. News and Events
This section shall contain current and up-to-date news and events foe the club in particular and sports in general. Such news and events shall be updated regularly, including possibility of many writers contributing their stories. News articles shall be editable by writers / editors with little or no knowledge of website design.
cc. Fixtures and Results
The fixtures and results section shall contain up-to-date information of the teams' fixtures and results for national and international tournaments. The results section shall have a facility for live reporting of matches results on real time (during the match). The official results and match statistics shall be posted to the website regularly.
dd. Players and Staff
Information on and about players of all teams shall be posted on this section of the site. Public reports and statistics shall be posted by team managers and officials and updated regularly. Information about club Officials and teams' staff shall be displayed.
ee. Membership
This section shall allow authenticated members to login and conduct business with club like paying membership fees, communicating with leaders or applying for membership.
ff. Sponsors
this section shall list with appreciation all the club sponsors.
gg. Online store
This section shall be developed at a later stage to sell club merchandize online.
b. Fans Zone site
This section shall be a Fans zone section with members' blogs and facilities to interact and share stories.
3. Work organization structure
From the above site content proposal, it is proposed that the site be developed with feature and tools to allow interaction and real-time update of content.
It is proposed there that the site should have a database backend and interactive feature on the web front end. The database shall be designed to be a cool repository of information requiring minimal administration. The front end shall have light forms to allow update of the database via portable devices and under limited bandwidth.
With the above design concerns in mind, the following are proposed to constitute a taskforce team:
a. Project Manager
b. Lead/Senior developer
c. Graphics Developer
d. Content Manager/ Analyst
e. Database Developer
The above team composition proposal takes into account the fact that team members will be working voluntary bases, and since there may be more or less than the proposed five team members, the available members shall be encouraged to take more than one role.
Descriptions of team roles include the Project Manager (PM) who shall manage the entire project including communications with club members, fans, and club leadership. The PM shall also manage work schedules although team members shall be required to manage their own schedules. Once completed, the PM shall coordinate the launch of the site with club officials.
The Lead or senior developer (LD) shall take charge of all design, development and deployment of the site. The LD shall work closely with the Graphics Designer (GD) and Database Developer (DD) to ensure seamless integration of the site. The GD shall take lead of Graphics and user interface design and development; and the DD shall take charge of Data and database design and development.
The Content Manager / Analyst (CM) shall involve organization of all contents, collection of contents, data entry and collection of photographs into an archive. The CM shall also take lead of documentation of the entire development process and manuals.
4. Work Schedule
It is estimated that such a task could take between 4 – 6 month depending on the commitment of the team members and support from other members, fans and leaders. Details of the Work breakdown shall be discussed and finalized by team members.
5. Others
Any other issues that may be skipped in this initial thoughts document
Mie ni Yanga na Chelsea damu damu........wazo zuri!! Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na naona wanafanya kweli huko Ivory Coast, ama kweli Yanga ni umoja wa mataifa! LOL
Last edited by YournameisMINE; 28th February 2009 at 17:30.
...Ebana Balantanda, mie nilikuwa natafuta sana lile dude la Pepe Kalle linaitwa "Yanga Afrika" nadhani unajua jinsi linavyo flow....lakini halipatikani kwenye youtube, ukilipata liweke hapa hahahahaha nitafurahi sana chamaa! Obligado.
"...Abasi Gulamali raisi wa yanga....Yanga Afrika, Yanga Afrika mabingwa wa soka Afrika Mashariki na kati eeeeh heeee!!"
Hiyo ni sehemu tu ya lile dude....kuna mjinga mmoja wakati wa high school ilikuwa Yanga ikishinda lazima bweni likeshe, yeye Pepe Kale mie Bileku Mpasi tunawatumbuiza na "Yanga Afrika"!! Hahahahaha....
...Ebana Balantanda, mie nilikuwa natafuta sana lile dude la Pepe Kalle linaitwa "Yanga Afrika" nadhani unajua jinsi linavyo flow....lakini halipatikani kwenye youtube, ukilipata liweke hapa hahahahaha nitafurahi sana chamaa! Obligado.
Shaka ondoa mpwa,ntajitahidi nilipate na kukuwekea ngoja nitafute kwenye ka music library kangu may be ninao
Shaka ondoa mpwa,ntajitahidi nilipate na kukuwekea ngoja nitafute kwenye ka music library kangu may be ninao
Asante sana!! Nimepata hii kwenye youtube, unakumbuka worldcup mwaka 1990?? Mungu amlaze pema peponi Kabasele Yampanya a.k.a Pepe Kalle.....ila hizo bukta za Cameron ni noma, sijui rangi gani na wao aaaagh!
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=0xgbuspxWbI]YouTube - Pepe Kalle - Roger Milla[/ame]
Nilimpenda sana huyu jamaa na mapaka kesho nampenda hasa nyimbo zake za Yanga Afrika,Ibetibi,Kanda ya nini,Mama Leki ndaya,Hidaya,Pomon mpaka buzhee(maidoda),papiy/mamiye,mama mapasa..lol...Jamaa alikuwa anatisha mpaka basi ...Huku Papi Tex,huku Bileku Mpasi,huku Lofombo(kwenye bas),bila kuwasahau Jolie Bebe na mwenziye Emollo...Ilikuwa inapendeza kimbwaaaaaaaaaaa
Nilimpenda sana huyu jamaa na mapaka kesho nampenda hasa nyimbo zake za Yanga Afrika,Ibetibi,Kanda ya nini,Mama Leki ndaya,Hidaya,Pomon mpaka buzhee(maidoda),papiy/mamiye,mama mapasa..lol...Jamaa alikuwa anatisha mpaka basi ...Huku Papi Tex,huku Bileku Mpasi,huku Lofombo(kwenye bas0,bila kuwasahau Jolie Bebe na mwenziye Emollo...Ilikuwa inapendeza kimbwaaaaaaaaaaa
Wewe ndio mwenyewe...Yo-yo hajui mambo haya!! LOL....umenikumbusha mbali sana! Shukrani!
Wewe ndio mwenyewe...Yo-yo hajui mambo haya!! LOL....umenikumbusha mbali sana! Shukrani!
Au nikushukie verse...
mkuu mie ndio songs zangu nilikuwa natafsiri hizo kwa kiswahili najirekodi unaikumbuka Zaire Vol 61? sema NN hajui mambo haya sio za ki weezey hizi...
Wakuu YNIM na YoYo mnaweza kuingia hapa yangasc : Young Africans Sports Club kwa mawasiliano,maoni na ushauri juu ya uanzishwaji wa Tovuti hiyo...Yanga Daima mbele,Nyuma mwiko
Au nikushukie verse...
mkuu mie ndio songs zangu nilikuwa natafsiri hizo kwa kiswahili najirekodi unaikumbuka Zaire Vol 61? sema NN hajui mambo haya sio za ki weezey hizi...
Halafu Bileku Mpasi alikuwa na staili moja ya kucheza anakuwa kama anachuchumaa anaenda mbele huku akikimba taratibuu huku mkono wa kulia anakuwa kama anatoa baraka(kama mapadri vile)...ilikuwa bomba mbaya
Au nikushukie verse...
mkuu mie ndio songs zangu nilikuwa natafsiri hizo kwa kiswahili najirekodi unaikumbuka Zaire Vol 61? sema NN hajui mambo haya sio za ki weezey hizi...
Mambo ya ''Pepe Kalle eandi aaiyo pechikanda,panda nabina zakolinga nabina asa kwasakwasa,kwasa,e kwasakwasa,kwasa''.....lOL.... yani enzi hizo ilikuwa Rahaaaaaaaaaa mpaka basi
Ndugu wana JF ambao ni wapenzi wa timu ya Yanga mnaombwa kujitokeza katika kusaidia kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya mchakato mzima wa kuanzisha tovuti ya klabu yetu ya Yanga..
Nimeenda kwenye link uloweka ikanipeleka yahoo, nikajiunga na hiyo group lakini naona watu wanaongea kihindi sijui lugha gani!!! Hakuna cha yanga cha afirika wala nini.....ebu iweke sawa! LOL
Nimeenda kwenye link uloweka ikanipeleka yahoo, nikajiunga na hiyo group lakini naona watu wanaongea kihindi sijui lugha gani!!! Hakuna cha yanga cha afirika wala nini.....ebu iweke sawa! LOL
Follow Us Here