Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Website ya Dar Young Africans-Yanga

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 61
    1. #1
      Balantanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2008
      Location : Kusadikika
      Posts : 8,985
      Rep Power : 7148
      Likes Received
      1743
      Likes Given
      1409

      Default Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Ndugu wana JF ambao ni wapenzi wa timu ya Yanga mnaombwa kujitokeza katika kusaidia kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya mchakato mzima wa kuanzisha tovuti ya klabu yetu ya Yanga..Wazo la kuanzisha Tovuti hii limeanzia kule kwenye blog ya Yanga Yanga ambapo baadhi ya wapenzi wenye nia njema walishauri ianzishwe Tovuti ambayo itakuwa ni chanzo kizuri cha habari ya klabu yetu kwa kushirikiana na blog yetu hiyo.....So ni matumaini ya walio wengi kwamba mtajitokeza na kutoa maoni yenu ya nini kifanyike katika kuianzisha Tovuti hiyo...Yanga Daima mbele,Nyuma mwiko
      "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,127
      Rep Power : 14289
      Likes Received
      4015
      Likes Given
      3273

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By Gang Chomba
      Kupaka rangi jengo lao tu ni utata wameshindwa...
      Je lufungua web wataweza?
      Tumeweza kushinda mechi 11 mfullulizo tutashindwa kufungua website...
      kufungua website siyo issue kivile labda quality ya website ndiyo issue..
      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '





    4. #42
      Gang Chomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th February 2008
      Location : hell
      Posts : 5,035
      Rep Power : 1723
      Likes Received
      971
      Likes Given
      0

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By Crashwise
      Tumeweza kushinda mechi 11 mfullulizo tutashindwa kufungua website...
      kufungua website siyo issue kivile labda quality ya website ndiyo issue..
      Sawa mmeshinda mechi kumi na moja well, lakini kuna mambo ya msingi mnatakiwa muyafanye ili muweze kung'ara zaidi.
      Kwanza mnatakiwa mpake rangi jengo lenu pale msimbazi. Pili mnatakiwa muweke vyoo jengo lenu, sio watu wanajisaidia vichochoroni na kwenye korido, pia mtafute sehemu ili mnunue na kuufanya uwanja wenu wa mazoezi na si kutanga tanga.
      Na pia muachane na mfumo wa kutembeza bakuli pindi mnapohitaji pesa, mnatakiwa mjijengee mirija ya fedha zitakazowasaidia kuwafanikishia mambo yenu ya msingi.

      Igeni mfano wa Yanga...ukiwa kagera ama pale usalama unaliona jengo lao linalong'aa huku madirisha yake yakiwa ya kisasa zaidi...yanga jana, leo,, daima
      HATA UKINICHUKIA...LA MOYONI NTAKWAMBIA.

    5. #43
      Kyakya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2009
      Location : TMK
      Posts : 382
      Rep Power : 589
      Likes Received
      16
      Likes Given
      5

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By YournameisMINE
      "...Abasi Gulamali raisi wa yanga....Yanga Afrika, Yanga Afrika mabingwa wa soka Afrika Mashariki na kati eeeeh heeee!!"

      Hiyo ni sehemu tu ya lile dude....kuna mjinga mmoja wakati wa high school ilikuwa Yanga ikishinda lazima bweni likeshe, yeye Pepe Kale mie Bileku Mpasi tunawatumbuiza na "Yanga Afrika"!! Hahahahaha....

      Kumbe Gulamali alikuwa Rais wa Yanga!!!! Ehe! Ama kweli umaskini m-baya.

    6. #44
      Kyakya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2009
      Location : TMK
      Posts : 382
      Rep Power : 589
      Likes Received
      16
      Likes Given
      5

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By Gang Chomba
      Sawa mmeshinda mechi kumi na moja well, lakini kuna mambo ya msingi mnatakiwa muyafanye ili muweze kung'ara zaidi.
      Kwanza mnatakiwa mpake rangi jengo lenu pale msimbazi. Pili mnatakiwa muweke vyoo jengo lenu, sio watu wanajisaidia vichochoroni na kwenye korido, pia mtafute sehemu ili mnunue na kuufanya uwanja wenu wa mazoezi na si kutanga tanga.
      Na pia muachane na mfumo wa kutembeza bakuli pindi mnapohitaji pesa, mnatakiwa mjijengee mirija ya fedha zitakazowasaidia kuwafanikishia mambo yenu ya msingi.

      Igeni mfano wa Yanga...ukiwa kagera ama pale usalama unaliona jengo lao linalong'aa huku madirisha yake yakiwa ya kisasa zaidi...yanga jana, leo,, daima

      Uwe na uwanja usiwe na uwanja kama mpira unaujua utashinda tu!

      Ndugu zetu mnatambia pesa ya Bwanaa... (Manji).

    7. #45
      George Jinasa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2010
      Posts : 339
      Rep Power : 508
      Likes Received
      29
      Likes Given
      5

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Tatizi la mpira Tanzania sio la Yanga tu bali ni timu zote ikiwemo simba. Muako na mpenzi wa mpira Tanzania umeshuka sana. Kutokana na kupanuka kwa mawasiliano watanzania wanaweza kuona mipira ya mataifa mengine yaliendelea kisoka. Tunaona mipira ya ligi ya Ulaya, lingi ya Uingereza, kombe la dunia nk. Tunagundua kwamba mpira wetu ni wa cha ndimu ukilinganisha na timu za Ulaya. Matokeo yake wengi tunakuwa mashabiki wa Machesta kuliko Yanga au simba. Wakati Yanga na Simba wanancheza leo mtu haendi uwanjani wala kuwacha redio au TV aangalie mechi hiyo. Badala yake utamkuta kwenye TV anaangalia ligi za Ulaya. Mtu kama huyu unategemea atachangia nini katika soka letu.

      Zamani ilikuwa mpira wa Yanga na Simba watu wako uwanjani saa nne asubuhi. Wachezaji walikuwa wanacheza kwa moyo na kujituma. Leo timu inafungwa magori matatu wachezaji wanatoka wakitabasamu. Zmani ingekuwa kilio.

      Sasa mpira umekuwa na washabiki na wafadhili wasanii. Wanatumia mpira kujipatia sifa tu hali wao hawana upenzi wowote na mpira. Matokeo yake wanaweza kuwa chanzo cha migogoro.

      Uongozi wa mpira njaa tupu. Mtu anataka uongozi atafune hela za timu. Timu zenyewe zina fedha gani za maana? Tunatumia fedha chungu nzima kuajili makocha toka nje kisa ni wazungu.

      Wachezaji wakin'gaa kidogo katika soka kosa. Ataanza kunata na kudeka kama nini. Ataanza kuendekeza starehe na anasa aambazo haziendani na mazoezi. Matokeo yake anachuja hada miaka 23 hajatimiza. Enzi za akina Amasha, Makumbi Juma, Mziba, Omari Hussein, Athumani Chama, Hamisi Kinye, Yusufu Ismail Bana, Fred Minziro watu walikuwa wanacheza soka ya kujituma. Walidumu katika mpira kwa muda mrefu.

      Ushauri wangu

      1. Tuwahamasishe watu kupenda soka toka wakiwa watoto. Turudishe michezo ya soka ya shule za misingi na sekondari pamoja na kuwa na timu za watoto wadogo katika kila club.

    8. Miaka 50

    9. #46
      Sabi Sanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 298
      Rep Power : 736
      Likes Received
      4
      Likes Given
      2

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Naomba mtujulishe tumefikia wapi na suala la kuwa na TOVUTI ya YANGA?

    10. #47
      kipipili's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Posts : 1,279
      Rep Power : 755
      Likes Received
      59
      Likes Given
      12

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By Sabi Sanda
      Naomba mtujulishe tumefikia wapi na suala la kuwa na TOVUTI ya YANGA?
      kitendawili hicho, mpaka Manji apende
      "Annuntio vobis gaudium magnum... habemus papam!" - "I announce to you a great joy... we have a pope!"

    11. #48
      Balantanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2008
      Location : Kusadikika
      Posts : 8,985
      Rep Power : 7148
      Likes Received
      1743
      Likes Given
      1409

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By Sabi Sanda
      Naomba mtujulishe tumefikia wapi na suala la kuwa na TOVUTI ya YANGA?
      Mkuu,samahani sana kwa kuchelewa kulijibu swali lako,Website tayari imeanza(kitambo tu) na bado iko katika hatua za majaribio,angalia hapa chini:

      Welcome to the Frontpage
      "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

    12. #49
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,243
      Rep Power : 3563
      Likes Received
      3062
      Likes Given
      463

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Vipi Hii Site Dar Young Africans Ingekuwa vizuri kama watu wangeiupdate na kuifanya ya kisasa

    13. #50
      Balantanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2008
      Location : Kusadikika
      Posts : 8,985
      Rep Power : 7148
      Likes Received
      1743
      Likes Given
      1409

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By nngu007
      Vipi Hii Site Dar Young Africans Ingekuwa vizuri kama watu wangeiupdate na kuifanya ya kisasa
      Hiyo ni blog ya mashabiki wetu,inaendeshwa na mashabiki tu wenye mapenzi na Yanga,hii tunayoizungumzia ni Website ambayo itaendeshwa na klabu na itakuwa imejitosheleza kwa kila kitu kama ilivyo kwa klabu zilizo katika ligi za majuu....
      "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

    14. #51
      Masuke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2008
      Posts : 2,181
      Rep Power : 1010
      Likes Received
      383
      Likes Given
      81

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By Balantanda
      Hiyo ni blog ya mashabiki wetu,inaendeshwa na mashabiki tu wenye mapenzi na Yanga,hii tunayoizungumzia ni Website ambayo itaendeshwa na klabu na itakuwa imejitosheleza kwa kila kitu kama ilivyo kwa klabu zilizo katika ligi za majuu....
      Mkuu nimeingia kwenye website yenu, rangi inachosha macho, hamna utaratubu kwa kuibadilisha, halafu samahani imekaa kiccm sana.

    15. #52
      Balantanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2008
      Location : Kusadikika
      Posts : 8,985
      Rep Power : 7148
      Likes Received
      1743
      Likes Given
      1409

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By masuke
      Mkuu nimeingia kwenye website yenu, rangi inachosha macho, hamna utaratubu kwa kuibadilisha, halafu samahani imekaa kiccm sana.
      Mkuu....

      Website bado ipo kwenye majaribio na mpaka tunaanza next season itakuwa imeshakuwa bomba.......

      Kuhusu rangi na kukaa ki CCM sana ni kwamba rangi rangi rasmi za timu yetu ya Yanga zinashabihiana na rangi za CCM,yaani kijani na njano so hakuna mbadala wa rangi nyingine.......Ni hizo hizo tu.....
      "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

    16. #53
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,860
      Rep Power : 7688
      Likes Received
      1467
      Likes Given
      0

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By Balantanda
      Waheshimiwa,

      Tuko wanne so far, na nadhani inabidi kazi ianze rasmi. Tayari tulianza discussion kidogo na Jimmy kuhusu hii kazi, na nadhani ni wakati sasa wa wajumbe wote kuanza kuchangia mawazo. Hapa chini naweka mawazo niliyonayo kuhusu hii kazi, na naomba na wengine mchangie kusudi kazi iendelee. tafadhali ipitieni na mtoe mawazo yenu, irekebishwe ili ije kuwa mwongozo wa hii kazi:
      Mimi ni shabiki wa ile timu yenye makao yake pale mtaa wa Swahili, yaani Pan African SC, ila kwa wazo ili nakuunga mkono.

      Pan African SC, will rise up again, as strong and well as they ever were... Will return to glory as a great Club of Africa...!
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)


    17. #54
      Balantanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2008
      Location : Kusadikika
      Posts : 8,985
      Rep Power : 7148
      Likes Received
      1743
      Likes Given
      1409

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Hayawi hayawi sasa yamekuwa....Tayari Tovuti ya klabu yetu imekamilika......
      Ni hii hapa chini...

      YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB
      "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

    18. #55
      Balantanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2008
      Location : Kusadikika
      Posts : 8,985
      Rep Power : 7148
      Likes Received
      1743
      Likes Given
      1409

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga



      YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB










      CLUB HEAD QUARTERS - JANGWANI DAR ES SALAAM

      This is where all administrative activities are taking place.













      CLUB HIGHLIGHT

      Young Africans is one of the oldest football teams in East Africa, The Club was established in the year 1935. The club won Tanzania Premier League 18 times, Tanzania Cup 4 times and CECAFA cup 4 times.






      You are here: Home





      YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB

      MICHUANO YA UHAI CUP 2011

      Thu - 10 Nov Written by Administrator


      ARTICLE HITS: 20 TIMES.
      Timu 15 zinazoshiriki michuano ya mwaka huu ya Kombe la Uhai zimepangwa katika makundi matatu ambapo mechi zitachezwa katika viwanja viwili; Uwanja wa Karume na Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Mbande.

      Mashindano hayo yanashirikisha timu zenye umri chini ya miaka 20 za klabu zote 14 za Ligi Kuu ya Vodacom wakati timu mwalikwa mwaka huu ni timu ya Taifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys).

      Mabingwa watetezi Ruvu Shooting Stars ndiyo wanaoongoza kundi A katika michuano hiyo inayodhaminiwa na Kampuni ya Said Salim Bakhresa kupitia bidhaa yake ya maji Uhai. Timu nyingine katika kundi hilo ni Oljoro JKT, Kagera Sugar, Azam na Mtibwa Sugar.

      Read more...




      Asamoah,Berko waenda mapunzikoni.

      Tue - 08 Nov Written by Administrator


      ARTICLE HITS: 23 TIMES
      Wachezaji wa kimataifa kutoka nchini Ghana, Kenneth Asamoah na Yaw Berko wameondoka jijini Dar es Salaam alfajiri ya leo kwenda nchini Ghana kwa ajili ya mapunziko ya muda mfupi. Wachezaji hao wameondoka baada ya Uongozi wa mabingwa wa soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati kutoa mapunziko ya wiki tatu kabla ya kuingia katika hatua nyingine ya mzunguko wa ligi kuu pamoja na michuano ya kimataifa inayoikabili Klabu ya Yanga ikiwemo mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika na michuano ya Kombe la Kagame. Akizungumza nawww.youngafricans.co.tz , Afisa Habari wa Klabu ya Yanga,
      Read more...




      UHAI CUP kuanza tarehe11/11/11 katika Uwanja wa Azam FC - Mbande

      Tue - 08 Nov Written by Administrator


      ARTICLE HITS: 9 TIMES
      Ligi ya vijana chini ya miaka 20 UHAI CUP inatazamiwa kuanza tarehe 11/11/11 katika Uwanja wa Azam FC - Mbande.
      Ligi hiyo itashirikisha jumla ya timu 14 ambazo timu zao za wakubwa zinashiriki ligi kuu Tanzania Bara, timu hizo ni:
      1.Young Africans B ,
      2.Simba SC B,
      3.Azam SC B,
      4.Mtibwa Sugar B,
      5.JKT Oljoro B,
      6.Villa Squad B,
      7.Moro United B,
      8.African Lyon B,
      9.Coastal Union B,
      10.JKT Ruvu B,
      Read more...




      YANGA KUIVAA POLISI DODOMA

      Sat - 05 Nov Written by Administrator


      Kikosi cha mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara leo kinatarajiwa kushuka dimbani kucheza na Police Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya VPL 2011/2012.
      Mchezo huo utakuwa ni kumalzia mzunguko wa kwanza kwa timu zote amabapo Yanga ina point 24 ikiwa na nafasi ya pili na Police Tanzania ni ya 13 ikiwa na point 9.

      Read more...




      MORE ARTICLES...


      Page 1 of 2



      OUR SPONSORS










      • FACEBOOK PAGE

      • TWITTER FEEDS




      from:yanga1935 - Twitter Search
      yanga1935: WABUNGE wanachama wa klabu ya Young Africans waliopo mjini Dodoma,wanakutana katika ukumbi wa BUNGE kujadili maendeleo ya klabu mchana huu.
      yanga1935: Check this video out -- YANGA vs SIMBA - VODACOM PREMIER LEAGUEhttp://t.co/Fgo918MJ via @youtube
      yanga1935: All the best Taifa Stars against Chad!
      yanga1935: I'm booking my next stay @DoubleTree by Hilton with a Facebook exclusive deal as sweet as their chocolate chip cookies!DoubleTree by Hilton | Facebook
      yanga1935: UHAI CUP 2011/2012 Young Africans SC (Black Stars U-20) Vs Moro United U-20 kick-off 14:00hrs @Azam FC Stadium - Mbande









      Today 218
      Yesterday 32
      This week 321
      Last week 0
      This month 321
      Last month 0
      All days 321

      We have: 3 guests online
      Your IP: 197.250.28.103
      Chrome 15.0.874.120, Windows
      Today: Nov 18, 2011
      Visitors Counter





      OTHER LINKS

      www.fifa.comwww.uefa.com
      www.concaf.com
      www.cafonline.com
      www.the-afc.com
      www.tff.or.tz








      Copyright © 2011 YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB - All Rights Reserved


      "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

    19. #56
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Maendeleo. Wamepanda chati bwana tika kufadhili kamati ya ufundi mpaka website ya club

    20. #57
      Mzee Wa Rubisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Location : Chini ya mgomba
      Posts : 1,276
      Rep Power : 688
      Likes Received
      205
      Likes Given
      264

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Viongozi wetu wamelala fofofo

    21. #58
      Ulimakafu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Itabanya Balasi
      Posts : 10,945
      Rep Power : 2603
      Likes Received
      690
      Likes Given
      1615

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By YournameisMINE
      ...Ebana Balantanda, mie nilikuwa natafuta sana lile dude la Pepe Kalle linaitwa "Yanga Afrika" nadhani unajua jinsi linavyo flow....lakini halipatikani kwenye youtube, ukilipata liweke hapa hahahahaha nitafurahi sana chamaa! Obligado.
      Kitu noma hicho mkuu.

    22. #59
      Dar_Millionaire's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th August 2008
      Posts : 169
      Rep Power : 584
      Likes Received
      24
      Likes Given
      160

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Je kuna anayefahamu asili ya Yanga kufananishwa (au kuitwa) kandambili?

      Ilikuwa kuwaje, na ilikuwa mwaka gani?

    23. #60
      Ulimakafu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Itabanya Balasi
      Posts : 10,945
      Rep Power : 2603
      Likes Received
      690
      Likes Given
      1615

      Default Re: Website ya Dar Young Africans-Yanga

      Quote By Dar_Millionaire
      Je kuna anayefahamu asili ya Yanga kufananishwa (au kuitwa) kandambili?

      Ilikuwa kuwaje, na ilikuwa mwaka gani?
      Soma historia iliyozaa Pan Africans.

    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    Similar Topics

    1. Website ya Dar Young AFricans FC
      By El Toro in forum Sports
      Replies: 3
      Last Post: 29th March 2011, 18:46
    2. Dar es Salaam Young Africans SC
      By kakuruvi in forum Entertainment
      Replies: 10
      Last Post: 21st May 2010, 11:24

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...