Ndugu wana JF ambao ni wapenzi wa timu ya Yanga mnaombwa kujitokeza katika kusaidia kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya mchakato mzima wa kuanzisha tovuti ya klabu yetu ya Yanga..Wazo la kuanzisha Tovuti hii limeanzia kule kwenye blog ya Yanga Yanga ambapo baadhi ya wapenzi wenye nia njema walishauri ianzishwe Tovuti ambayo itakuwa ni chanzo kizuri cha habari ya klabu yetu kwa kushirikiana na blog yetu hiyo.....So ni matumaini ya walio wengi kwamba mtajitokeza na kutoa maoni yenu ya nini kifanyike katika kuianzisha Tovuti hiyo...Yanga Daima mbele,Nyuma mwiko
Re: DEVELOPMENT OF YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB WEBSITE
Wadau,
I would like to concur, in principal, with the proposed Yanga website
concept write-up and suggested contents. Congratulations Jordan for
the work well done. Jimmy, you're great-hearted. Now, we need to firm
up the proposal and we move forward at a greater speed. I have,
however, some suggestions with regard to the proposed contents. I
propose we also include the following:
1. Competitions: We have to show here options for which it will show
the competition(s) that The Club is participating in the particular year.
2. Affiliation: Here, we will show institutions/organizations for
which The Club is affiliated to. For instance, Yanga is a member to:
a. Ilala District Football Association (IDFA)
b. Dar es Salaam Region Football Association (DRFA)
c. Tanzania Football Federation (TFF)
3. Links: Here to provide links of the key parties such as:
a. TFF
b. CECAFA
c. CAF
d. FIFA
e. Club projects (various) when established
f. Other clubs e.g. Mtibwa FC, Azam, African Lions, etc(if we find it fit)
4. Small Bars for advertisements: This is to attract companies like
Zain, Tigo, Vodacom, Zantel, and others to advertise (with limited
period) on the website. The funds from these sponsors will, partly, be
spent to maintain and upgrade the website. Hii itasaidia website
kujiendesha yenyewe na kuondoa utegemezi wa mipango ya Club. So, this
will ensure continuous upgrading and sustainability of the Club website.
5. I propose the website domain be www.yangasc.com . So that it is
simple, clear, international and can suit to Club's ultimate objective
ya kujiendesha yenyewe as a private entity. Hata club zingine zenye
majina marefu kama Club yetu wametafuta domain fupi yenye kushikika
haraka. Kwa mfano, Manchester United ni Manchester United Official Web Site, etc Majina
mafupi kama Chelseafc.com, Arsenalfc.com hayasumbui. This is to
suggest, so lets discuss on this also.
So, I think other colleagues can comment and see if we can consolidate
it into the main write up. Na ili tuongeze speed, I suggest that
whenever we agree on any input, then Jordan should incorporate them
and have a newer version of the write-up. In the meanwhile, we can
think of dividing ourselves the tasks among us to start coordination
and work.
YANGA DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO
Source: yangasc : Young Africans Sports Club
...Ebana Balantanda, mie nilikuwa natafuta sana lile dude la Pepe Kalle linaitwa "Yanga Afrika" nadhani unajua jinsi linavyo flow....lakini halipatikani kwenye youtube, ukilipata liweke hapa hahahahaha nitafurahi sana chamaa! Obligado.
NADHANI MUHESHIMIWA HAKUELEWA THEME YA THREAD HII!AMEKAA KIBURUDANI ZAIDI.wakati watu wanaumiza vichwa kuifungua website ya yanga yeye anataka kibao cha pepe-kale
UKIKUA UTAACHA!
'!....Wakatafuta Namna Nzuuuuuuuuriiiiii.....WAKASHUG HULIKA....!'
Hivi hii tovuti yetu wana Yebo Yebo imefikia wapi?. Manake najua wazee wa Msimbazi watatuonea kijicho, Ha ha haaaaaaaa. Yebo Yebo lakini mmemjulisha Manji kuhusu wazo la Tovuti?.
Duuh! YM ana kazi ya kuwalisha wengi, mara kukarabati jengo, mara kumlipa kocha na wachezaji, mara kusajili, na sasa kuwalipa watakao develop na kuiendesha website! Hivi ameacha kupata kichaa siku hizi? Naona amevutavuta siku kidogo bila kwenda Nairobi. Au mwezi haujaandama?
Annuntio vobis gaudium magnum; habemus Papam: Eminentissimum ac Reverendissimum Dominum, Dominum Georgium Marium Sanctae Romanae Ecclesiae Cardinalem Bergoglio qui sibi nomen imposuit Franciscum
website ya timu yetu haiitaji miezi minne au sita. hili tunaweza kulifanya ndani ya wiki chache tu na kuwa na website nzuri. La maana ni kuwa na chanzo cha habari na kuanza kudigitize habari mbalimbali za klabu through the years. Jambo moja ni kuwa hiyo website isiwe mali ya klabu. Iwe ni ya mashabiki na wote wanaofanya shughuli zake wafanye kwa kujitolea. Nje ya hapo, basi timu yenyewe ifanye mambo haya na mashabiki wafanye mambo yao.
[email protected] Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
website ya timu yetu haiitaji miezi minne au sita. hili tunaweza kulifanya ndani ya wiki chache tu na kuwa na website nzuri. La maana ni kuwa na chanzo cha habari na kuanza kudigitize habari mbalimbali za klabu through the years. Jambo moja ni kuwa hiyo website isiwe mali ya klabu. Iwe ni ya mashabiki na wote wanaofanya shughuli zake wafanye kwa kujitolea. Nje ya hapo, basi timu yenyewe ifanye mambo haya na mashabiki wafanye mambo yao.
Jamani ehhh, na timu yangu ya zamani ikiwezekana msiisahau. Au watu wa Simba humu ndani ni Wahindi kikwelikweli? Kuna zile picha za historia ya Tanzania, kule kuna picha nyingi sana na zikusanywe zile na nyingine nyingi na ziwekwe pamoja. Yanga wawe na yao na Simba wawe na yao. Hizi timu ni part ya historia ya Tanzania.

inatakiwa ziwemo pia habari za wachezaji wa zamani na kumbukumbu za mechi walizozicheza
Tatizo la timu zetu ni katiba. once katiba ikishaandikwa kuibadili kimbembe. kesi haziishi -- chanzo katiba. na haibadilishiki bila kuwa na kura za wajumbe kadhaa -- hapa ndipo nilipolenga -- rushwa,chuki,ubinafsi.miaka nenda tuko pale pale.
yanga jana, leo, daima...
Hiyo web ianzishwe faster bila kusahau kipengele cha History ambapo watu watapata kufahamu kuwa mwaka 1972 simba koko waligeuza basi chang'ombe na hawakufika Taifa kwa ajili ya pambano lao na Yanga.

Mzee wahistory uliiona historia tarehe 31-10-2009... Mtani usikisahau hiki kipande kwenye website ya yeboyebo.com "Historia inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa...Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?"
Mmesha mlipa Kodic Mishahara yake ya miezi 4, kama hamjamlipa muweke hiki kipande pia Yanga ya Mafisadi ya shindwa kumlipa Kocha mishahara ya miezi minne hapo itakuwa historia imetulia..
Halafu nasikia Phiri anataka Mechi ya kirafiki na Yanga kesho baada ya mechi yetu na Mtibwa teh teh teh
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

Dah!!,yaani bado una UTANI wa enzi za kijima mazee(bado una mawazo ya akina Mzimba na Dalali aisee).Cha msingi hapa ni kutoa tu pongezi kwa Yanga kwa hatua hii nzuri ya kuanzisha tovuti yake kwani kwa Dunia ya sasa tovuti ni njia rahisi sana ya kupashana habari(mfano JF) na pia Timu yaweza kuitumia tovuti hiyo kutangaza biashara za makampuni mbali mbali na kujiongezea kipato.Pia timu inaweza kuitumia tovuti hiyo kujitangaza(kuwatangaza wachezaji wake katika anga za kimataifa)...Binafsi ningefurahi zaidi endapo ungekuja na wazo la kuitaka Simba ianzishe tovuti yake kama ilivyo kwa Yanga ama Mtibwa Sugar....Pamoja mkuu

Sina ubishi kwenye swala la yanga kuanzisha website naliunga miguu na ninajua faida za website kwani hata ya simba iko kwenye mchakato...kwa mjibu wa masatu siyo website tu bali uwanja na kukalabati jengo letu..na yote haya tutayafanya bila kutengemea mafisadi kama livyofanya vyie
tuko pamoja

Kupaka rangi jengo lao tu ni utata wameshindwa...
Je lufungua web wataweza?
mi wajameen nimeshindwa kuelewa lengo ni nini web ya young ua kuanzisha band??? Pepe kale n marehemu gulamali naye hii haiwezi kusaidia c wakati wa kutazama za kale angalien watani wenu waleeeeeeee nini kifanyike ndo nadhan ndo lingekua jambo la msingi
duuh babu wazo n zuri sana lakin c unajua timu zetu za kibongo yote yatawezekana pale tu timu inapofanya vizuri kama SIMBA kwa sasa huku mhh ngumu umesikia lakin mtibwa leo kapigwa???
Follow Us Here