2012 U.E.F.A. CHAMPIONS LEAGUE WINNERS!!!!
The Chelsea players celebrate after the win
2012 U.E.F.A. CHAMPIONS LEAGUE WINNERS!!!!
The Chelsea players celebrate after the win
Last edited by Ab-Titchaz; 9th November 2009 at 07:34.
God inspired me,Do not seek any perfect trust of the people and do not depend on them for they will perish you.......'' Bahaeddin al Balkh (Maarif I/360)
Jamani mnavijisababu vyenu lakini anyway tutaona kadri msimu unavyoendelea.
Nyie mashabaki wa Man U pia mnazenu....sasa mumeambiwa na nani tutawazuia kuchangia?Tuko wengi lakini mlikua mumetu-overshadow na
thread zenu naswi ikabidi tuchunetu.Sasa tumeanza thread yetu mnasema
eti tuko wengi...mlikua hamjui?...acheni longolongo yenu (Manda na Roya Roy)
...hebu wish us the best na hao Roma basi...kwa roho safi.
Mi nawatakia ushindi hata kabla ya kuomba Mkuu Ab, but kwa tahadhari tu...msitufungie kila mnapofungwa!acheni longolongo yenu (Manda na Roya Roy)
...hebu wish us the best na hao Roma basi...kwa roho safi.
Pia msiingie mitini when things go down, si mnaona jinsi kule kwa Ganaz kulivyopooza?
BTW inabidi Invisible (na admin wengine) mnipe umod ile kubalansi mambo..LOL.
All the best kwa gemu ya leo (hopefully mtatutakia mema na sie kesho).
Frankly speaking Chelsea ikifungwa huwa nakosa raha kabisa. Simba inaweza kufungwa nikaendelea kuchekelea tu... Ila Chelsea basi tu!
Najaribu kufikiria wewe Roy ulivyo na 'ushetani' wako tena mwekundu ukabidhiwe rungu kama Mod na 'shetani' wenu abamizwe na wakamata mitutu... Sipati picha utakavyowa-ban kina Game Theory!
Dawa yenu chelsea ni Totenham pamoja na reading ndio kiboko yenu,kwenye hizo timu huwa hamongei kitu kabisa ila mnajifanya mmesahau au sio??
Simba inaweza kufungwa nikaendelea kuchekelea tu...
Hapo ruko sawa....some years back nilikua nakaribia kutoa machozi Wekundu wa Msimbazi wakifungwa! Unakumbuka ile fainali na Stella Abidjan? Nilikua sekondari na karedio kadogo.
Haina maneno we nipe umod....naahidi sitam-ban mtu yeyote Man ikifungwa na ganaz (japo haiwezekani ganaz kuwafunga Man), ofkoz mtu akileta za kuleta namsitishia access kwa wiki moja tu, no more!Najaribu kufikiria wewe Roy ulivyo na 'ushetani' wako tena mwekundu ukabidhiwe rungu kama Mod na 'shetani' wenu abamizwe na wakamata mitutu... Sipati picha utakavyowa-ban kina Game Theory!
Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek.
Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek.
Nd'o hii nilikua nasema hapo awali...wewe tutishe tu lakini hamna kitu.
Tunakula sahani moja hata kama hutaki...
BTW Invii consider Roya Roy's application maana najua atatembea humu ndani
na 'big stick' yake akiambatanishwa na Manda na Icadon(ile video yake ya
mwaka jana tukienda Urusi niliimaindi we acha tu...afu mkatufunga...damn!!!!)
P.S. What makes u think that Ganaz hawawawezi Man U?...Jamani uzalendo
mnao na hebu punguzeni....iiissssshhhhhh!
Dah...mbona haya mabadiliko ya kipindi cha pili...kama siamini vile... Dah!
Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek.
Duniani, hakuna kitu kigumu kama kuamini jambo ambalo umethibitisha na hukutegemea liwe hivyo... na kujikwaa haimaanishi kama ni mwisho wa safari.
The Blues for Life...
Sema usingizi ndo ushapaa sijui ntaupataje... Alamsiki!
Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek.
poleniiiii ehhh tatu???dah ka vile mlikua mmesimama!!!mbele walikazana...nyuma mkaachia hadi mkapigwa bao tatu.yalaaaah!!!!
Kila nafsi itaonja mauti and then tutajibu juu ya matendo yetu siku ile ikifika!!!
Usiku kucha unajua sijalala, nikiwa nafuatilia Historia inaandikwa. Sasa come to think of it nimeanza kuhisi kama Chelsea imetolewa kafara ili historia iandikike duniani kwa ukamilifu.
Natumaini kupingwa katika hili lakini ni jambo ambalo linahitaji fikra zenye busara na si ushabiki wa pupa kulipambanua...
Dah tatu sio mchezo yaani kuna tamu na Chungu!
Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek.
Poleni sana vijana wa darajani naona mmefungua thread kwa kipigo
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
Mngeenga kwa Mzee Fergie awape tricks za kuwamaliza hao vibonde wetu
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
Mngeenda kwa FERGIE awape mbinu za kuwatungua hao vibonde wetu
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
Tuna Modz wawili ambao ni The Blues sasa nimeangalia na kuona kwamba thread hii ina 'bugs' kibao. Hatuwezi ifunga kwa muda ili muiweke sawa. Najua kutokana na kazi nyingi baada ya siku tano saba hivi itawa imetengemaa.
Invisible do something husiana na hili. Inasababisha traffic iwe kubwa kwa kweli!!!
Change will not come if we wait for some other person or some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek.
YES WE CAN (It should have been blue?) Kama unamaanisha next EPL game kwetu.P.S. What makes u think that Ganaz hawawawezi Man U?...Jamani uzalendo mnao na hebu punguzeni....iiissssshhhhhh!
Thanx kwa kunisaidia kudai umod....BTW kama mkiona inafaa mpeni umod Manda ama Icadon ama ..nasisitiza ila kubalansi mambo:D!BTW Invii consider Roya Roy's application maana najua atatembea humu ndani na 'big stick' yake akiambatanishwa na Manda na Icadon(ile video yake ya mwaka jana tukienda Urusi niliimaindi we acha tu...afu mkatufunga...damn!!!!)
Kule kwa jaluo tuko pamoja mkuu...ile kitu ni ya kipekee.Usiku kucha unajua sijalala, nikiwa nafuatilia Historia inaandikwa. Sasa come to think of it nimeanza kuhisi kama Chelsea imetolewa kafara ili historia iandikike duniani kwa ukamilifu.
Natumaini kupingwa katika hili lakini ni jambo ambalo linahitaji fikra zenye busara na si ushabiki wa pupa kulipambanua...
Dah tatu sio mchezo yaani kuna tamu na Chungu!
Ndo maana nikadai na sie Man tupewa umod ili kubalansi mambo...ili tutoe mawazo yetu kwa uhuru kamili!Tuna Modz wawili ambao ni The Blues sasa nimeangalia na kuona kwamba thread hii ina 'bugs' kibao. Hatuwezi ifunga kwa muda ili muiweke sawa. Najua kutokana na kazi nyingi baada ya siku tano saba hivi itawa imetengemaa.
Invisible do something husiana na hili. Inasababisha traffic iwe kubwa kwa kweli!!!
Mwisho POLENI !
Nikikumbuka ya Stella Abijan basi huwa nakosa raha mkuu. Usikumbushe tu...
Tushapoa mkuu... Lakini hukuona kama timu tuliyocheza nayo ni tofauti na mliyoifunga (kwa kubahatisha)? Halafu tulicheza vizuri zaidi yao sema bahati haikuwa yetu. Uliangalia ball possession? Tulikuwa na 60% wao na 40%!
Follow Us Here