hadi sasa hivi matokeo ni
zimbabwe 2 - kili 0. mia
hadi sasa hivi matokeo ni
zimbabwe 2 - kili 0. mia
tumefika hapa kwa sbb ya uenyeji!otherwise tungeshatolewa wa kwanza!
Supersport commentator"This kilimanjaro stars,and kilimanjaro is the highest mountain in Africa,but Zimbabwe is climbing it easily"
2mepewa penalt ya bure.
Mungu saidia tupate hata haka kapenati!
Tumepewa penati ya kubebwa
Kazimoto scored penalt.
Kili Staz 1- 2 Zimbabwe dk ya 88
Tumepata goli la penati - mwinyikazimoto (1-2)
"A Country which lacks its own culture is no more than a collection of people without the spirit which makes them a nation".(Freedom & Unit-JKN)
Hii Penalty tumepewa kabisa. But hongera Kazimoto kwa kuipiga vizuri
Mpira umekwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiii
kilimanajaro outttttttttttttt of the tmt
Tumepata kimoja! na muda bado kadakika kamoja, ndio tunaamka sasa tunakumbuka kushambulia
Jamani mkitoka uwanjani njooni travetine kuna mambo mazuri hapa starehe sioo uwanjani tu kuangalia mpira
yashababi ya allaua
joel ngozo anatoka na kuingi shokozo shuma kwa upande wa zimbabwe. Mia
Follow Us Here