Leo ni lala salama ya ligi kuu Tanzania bara huku simba wakiingia uwanjani wakiwa wameshatangazwa mabigwa na Azam FC wakiwa washindi wa pili na Yanga wakiwa wana jikongoja nafasi ya tatu. Timu nyingi leo zina ingia uwanjani zikiwa zina linda heshima tu lakini kwa timu ya Villa Squad na African Lyon watakuwa wanapigania kukwepa kushuka daraja kwani moja ya timu hizo lazima ashuke daraja kuungana Polisi Dodoma na Moro United.
Simba na Yanga
JKT Oljoro na Polisi Dodoma
Ruvu Shooting na Villa Squad
Coastal Union Toto
African Lyon na JKT Ruvu
Azam FC na Kagera Sugar
Mtibwa Sugar na Moro United
Halafu.....Hivi top scorer wa VPL ni nani so far?,naomba unisaidie mtani maana TFF hawana utaratibu wa kutunza kumbukumbu kbisa na si ajabu wanaitegemea JF kwa mambo muhimu kama haya...
unataka kutoa zawadi za mfungaji bora? kwangu mimi ninazingatia timu inayoongoza..

Nadhani umenielewa vibaya mtani......
Nimeuliza kwa nia nzuri tu ya kutaka kujua the leading/top scorer wa VPL na si kwa ushabiki kama unavyodhani.....Kiukweli ni kwmba mpaka sasa sijui ni nani anaongoza kwa ufungaji katika VPL,nimekuuliza wewe kwa kujua kwamba unafuatilia sana na uko aware na kila linalotokea katika VPL na si vinginevyo mtani....Sory kama nimekukwaza...

Cheers!!!!....
Bala.
Pole mkuu mimi nilijua unauliza kwa ushabiki ukiimanisha unataka nitaje lilejina ambalo lilitolaza wana msimbazi mapema.....hahaha
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '

poowa nimeyapata Jamhuri kweli muhamasishaji timu kidogo inajikongoja
kiwelu anajuakuhamasisha kuna kipindi simba tulikuwa tumepoteana kabisa lakini baada maneno ya kiwelu na makamba tulibadilika hakuna timu iliyofutunga tena kijinga..

Follow Us Here