| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 18130
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hao nao wanamtafuta Mlalahoi kwenye ramani au vp?
__________________
Mkulima kala Mbegu...... |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
huyu bwana kuna mada moja nimeisoma kachangia hapa hivi karibuni
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Yaaani hata Paka wake kakasirika kwa nini tunamsema humu
![]() |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Samvulachole
Mlalahoi alikuwepo hapa jana sasa sijui unamtafuta wapi? Follow the link: Thanks. Mlalahoi JF Senior Expert Member Join Date: Thu Aug 2006 Location: London, UK Posts: 536 Rep Power: 23 Thanks: 44 Thanked 28 Times in 20 Posts Credits: 90 Hivi kuna mtu ameshabaini kuwa mara nyingi huyu jamaa SHY huwa anaanzisha mada zake za utata then anaingia mitini? http://www.jamboforums.com/showthrea...0457#post70457 |
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
haya shukran nilihisi kama hana beef na Shy basi atakuwa na beef na MKJJ ![]() |
|||||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Samvula, You are funny man!
the above really cracked me up..(not sure with Wayahudi though)SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09. Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09. Last edited by Steve Dii; 14th September 2007 at 04:42 AM.. Reason: making it clear.. |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Samvulachole,nipo ndugu yangu ila ukimya wangu ni kutokana na pilika za kuuwezesha mkono uende kinywani.Lakini mbona sijawahi kuwa na beef lolote na MKJJ?In most cases,niko nae on same side of the coin.Pasipo kumaanisha kuwa na-demand ushahidi,nitashukuru kama utanionyesha posts zilizoashiria kuwa kuna beef kati yetu.Kuhusu SHY sio beef bali ni kuelimishana tu,nothing personal.
|
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Jamani nimejaribu kutafuta post za mchambuzi kwa siku za usoni sizioni. Mchambuzi aliingia kwa kishingo hadi watu wakataka apewe usinior wa heshima. Alichangi kwa muda mfupi sana akaupata usinior. Sasa sioni tena mawazo yake na hoja zanke zenye nguvu. Je ilikuwa ni nguvu ya soda? au Mchambuzi umebadili jina? Tunakuhitaji uje ukate nondo.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 04:48 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||