nimeona nichukue fursa hii kuuliza huyu mwenzetu yuko wapi? je walifungiwa au vipi? Je kamdhulumu mtu humu? tushamtafuta kila kona haonekani vipi? Manakijiji mara ya mwisho wewe ulikuwa na mvutano naye ,je unaweza kutufahamisha yuko wapi MLALAHOI?
China alitimuliwa katika lile sanga la maziwa fake ya melanine... nakisikia alikuwa ameenda kuagiza kama container 2 hivi za 40ft zitue nanga pale Tanga, lakini dili likabumbuluka.... sasa hivi kaamua kuwafata waalgeria ili apate exclusivity za kusupply tende bongo nzima haswa nyakati za sikukuu.... hopefully atafanikisha this time around..
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
Hali si hali ni balaa tupu kama unavyo ona wana CCM wanasema ni JK pekee na kule Bunge linasema ni huyu jamaa pekee na security nk wanasema lazima jamaa awe yeye .Naangalia tu sasa
Lunyungu.
Kunafaa mzee kuzamia huko?
Na bibi wa Kiarabu je ntaweza pata?
ha ha ha!
Vipi siasa zao ni nzuri? maendeleo vipi?
__________________ Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!