nimeona nichukue fursa hii kuuliza huyu mwenzetu yuko wapi? je walifungiwa au vipi? Je kamdhulumu mtu humu? tushamtafuta kila kona haonekani vipi? Manakijiji mara ya mwisho wewe ulikuwa na mvutano naye ,je unaweza kutufahamisha yuko wapi MLALAHOI?
Unajua wengine tumeshaanza wikendi...na kaa ujuavyo hii itakuwa ndefu kichizi yaani...
Nyani, kama brazameni hajatokeza by this friday itabidi mimi tu sasa nijitose kujaribu 'kuziba pengo' lake, walau kwa wkend moja kama nitaweza na kubakia 'huru' katika kutoa maoni... maana weekend zinatoweka zikiwa kavukavu mno... si unajua tena, tunahitaji mboga na huu ugali bana!! baadae (brazameni nakupa mpaka ijumaa,lasivyo...)
SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.

FD, nakuuliza kwa mara ya pili; ni nini au nani total BS?!
SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.
Poa Ngabu, nitajitahidi ijumaa hii kama brazameni hatakuwa ametokea... 'matter of fact, it could be exciting...!!