| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 17108
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mimi nasikiliza 'she's got that vybe' by R.Kelly.... naupenda sana huu wimbo, ni wa zamani na unaendana sana na siku kama hii... kwa mtu anayetafuta lake!!
Kisura, samahani kwa kukuvamia huku pia, kuna ile thread ya 'victoria secrets' na maswala ya picha yaliyojitokeza... vipi sasa, mbona hiyo Avatar huweki jamani? SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09. Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09. |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
SteveD, wewe kweli ni mtukutu! Mbona umeshikia Bango sana Avatar yangu"? he he he! au ni ili jina bado linakupa maluweluwe?
R.Kelly is one my fav's too, especially with, "I wish" , "Dedicated", "Slow Wind" to name a few..........
__________________
A free race cannot be born of slave mothers Mama Afrika |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Sawa Kisura, naona harakati zangu na hiyo picha za ahadi zina zidi kugonga mwamba... hamna noma wala nini..
... kuhusu huo wimbo wa I Wish ulio utaja hapo juu nao naupenda sana.. lakini miye naona ungelileta maana kweli kama hizi wishes za watu zingelikuwa zinatimilika... maana wishes nyingine bana, wee acha tu, zinabakia kuwa hivyo... hata avatar hazi ambulii, sembuse... Hivi Kisura, huo wimbo umeusikia muda gani leo? miye huo wa Vybe nimeusikia asubuhi kabla ya breaking news kuhusu ndugu Balali kuwekwa hapa JF, lakini baada ya kuusikia tu, umenikaa kichwani si mchezo, labda nina kismati fulani hivi.. sijui na huwezi jua... maana yalijiri leo yanazidi kuwa mapana kwa kasi kubwa hapa JF na kwingineko... hata hivyo tatizo ni moja, mamabo haya yanakuwa mapana kutokana na response za wenginewo... we ngoja nivute subira... labda.. SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09. Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09. |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Lakini R.Kelly naye amezidi maskendo bwana....kila kukicha hili, lile... noma tupu..hadhi yake kimziki inakuwa tarnished na upuuzi katika maisha yake.... noma kweli..
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09. Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09. |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
"The Lady In My Life"-Michael Jackson
Kwa wale ma-hip-hopper mtakumbuka wimbo wa "Hey Lover" wa LL Cool J feat. Boyz II Men. Wali-sample lady in y life....
__________________
Miafrika Ndivyo Tulivyo!! You are talking loud but saying nothing! |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ngabu, ndiyo huo umeamka nao..daah, poa sana mazee... kama hutajali mimi kukuuliza, kuhusu wale wawili ulio gundua wana 'onana' unajisikia vipi ukisikia wimbo kama huo?...
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09. Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09. |
|
#8
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Wana picha zake akienda kortini leo au jana
__________________
Miafrika Ndivyo Tulivyo!! You are talking loud but saying nothing! |
|||||||||||||||
|
#9
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
He is talented when comes to music...ila tunaishia hapohapo!
__________________
A free race cannot be born of slave mothers Mama Afrika |
|||||||||||||||
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
But I really like this song...I plan to open the dance with it "whenever" I get married
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 08:56 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||