Dunia Adonis afariki dunia - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Sports & Entertainment Forum


Sports & Entertainment Forum Talk about Music, Sports, TV Shows, Movies, Entertainment & Much More


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 13th November 2007, 12:02 AM   #1
Dunia Adonis afariki dunia
Bubu Ataka Kusema Bubu Ataka Kusema is offline 13th November 2007, 12:02 AM

Posted Date::11/12/2007
Mchezaji wa zamani Yanga afariki dunia Arusha
Na Mwandishi Wetu
Mwananchi

KAIMU Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Arusha (ARFA), Dunia Adonis, amefariki dunia jana.

Habari zilizopatikana kutoka Arusha na kuthibitishwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zinasema kuwa Adonis ambaye alikuwa pia ni mjumbe wa shirikisho hilo, Mkoa wa Arusha alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya figo.

Akizungumza na Mwananchi, Katibu Mkuu wa TFF, Frederick Mwakalebela alisema Dunia anatayarija kuzikwa leo mkoani Arusha.

Alisema shirikisho lake limesikitishwa sana na kifo hicho cha mchezaji huyo wa zamani wa Yanga na kwamba linatoa ubani wa Shilingi 100,000 kwa wafiwa.

"Tumepoteza mtu muhimu sana katika maendeleo ya soka mkoa wa Arusha, Dunia alijituma, alijitolea kwa hali na mali kuhakikisha soka la mkoa wake linakuwa,"alisema Mwakalebela.

Aliongeza: "Pengo lake halitazibika kamwe na tutamkumbuka kwa mengi."

Kwa mujibu wa Mwakalebela, Dunia ambaye alikuwa pia kiongozi wa klabu ya AFC ya Arusha ameacha mke na watoto kadhaa.
__________________
~*~Life is Good~*~

 
Bubu Ataka Kusema's Avatar
Bubu Ataka Kusema
JF Premium Member
Points: 12,662,314, Level: 100 Points: 12,662,314, Level: 100 Points: 12,662,314, Level: 100
Activity: 69% Activity: 69% Activity: 69%
Join Date: Sun Feb 2007
Location: Mfaranyaki
Posts: 12,663
Thanks: 1,027
Thanked 1,188 Times in 690 Posts
Views: 427
Reply With Quote
  #2  
Old 13th November 2007, 12:08 AM
Mzalendohalisi Mzalendohalisi is offline
Mzalendohalisi has no status.
JF Premium Member
Points: 430,274, Level: 100 Points: 430,274, Level: 100 Points: 430,274, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Sun Jun 2007
Posts: 3,708
Thanks: 36
Thanked 12 Times in 12 Posts
Rep Power: 30
Mzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enoughMzalendohalisi will become famous soon enough
Default Re: Dunia Adonis afariki dunia

RIP Dunia Adonis!
__________________
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!
Reply With Quote
  #3  
Old 13th November 2007, 12:55 AM
Saharavoice Saharavoice is offline
Saharavoice has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 106,428, Level: 100 Points: 106,428, Level: 100 Points: 106,428, Level: 100
Activity: 7% Activity: 7% Activity: 7%
 
Join Date: Thu Aug 2007
Posts: 445
Thanks: 2
Thanked 19 Times in 11 Posts
Rep Power: 23
Saharavoice will become famous soon enoughSaharavoice will become famous soon enoughSaharavoice will become famous soon enoughSaharavoice will become famous soon enoughSaharavoice will become famous soon enoughSaharavoice will become famous soon enoughSaharavoice will become famous soon enoughSaharavoice will become famous soon enough
Default Re: Dunia Adonis afariki dunia

Too bad, He is my Friend in Arusha. Pumzika kwa amani.

Shukrani kwa information
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
adonis, afariki, dunia


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Chifu Fundikira Afariki Dunia Saidi Yakubu Celebrities Forum 45 14th August 2007 08:23 AM
MZANZIBARI Mwingine Afariki Dunia Uingereza Leo Samvulachole Habari na Hoja mchanganyiko 41 4th June 2007 11:50 PM
Mwanamuziki James Brown Afariki Dunia Shy Sports & Entertainment Forum 6 26th December 2006 01:54 PM
Dunia Salama shy Habari na Hoja mchanganyiko 1 12th October 2006 06:46 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 11:24 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com