| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1108
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mkuu, kwani watu wa Bukoba na Mtwara ndiyo hawahitaji burudani ya watu maarufu kama Mbilia? Cha maana kama wanampa mshiko na anaridhika ndiyo jambo la maana. Jaman hata sisi huku vijijini tunahitaji burudani, eti!
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Na kuna ubaya gani akitumbuiza Police Officers mess? si ukumbi tu? unadhani mashabiki wake hawataenda?
__________________
CHANA NYWELE HATA KAMA UNA KIPARA Kaizer@jamiiforums.com |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kwa jinsi nilivyomwelewa mtoa mada ni kuwa huyu mwanadada/mwanamama kwa wakati huo alikuwa na soko kubwa kiasi kwamba kutumbuiza sehemu kama police mess yeyote kwa wakati huo isingetosheleza mahitaji ya wapenzi manake maeneo hayo huwa ni madogo na pia asingeweza kuingiza kipato kikubwa kutokana na idadi ya wahudhuriaji kuwa wachache kutokana na udogo wa kumbi hivyo ikawa inamlazimu kutumbuiza kwenye kumbi kubwa au kwenye viwanja kama ilivyotanabaishwa Uwanja wa Taifa hapo juu...
__________________
Nobody can do everything but everybody can do something. |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
Nakuona ulivo na wahka na shauku ya kugombana na keyboard, lakini swali ni .. Je una jipya?? |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Uwanja wa kaitaba - BUKOBA nao ni ukumbi mdogo kushindwa kubeba mashabiki LUKUKI????? Mtwara pia hakuna washabiki???????? Haya mambo ya kuwa STAR ndivyo yalivyo watu upanda na huwa kuna mwisho wake hata Yvone Chaka Chaka wa zamani sio wa LEO, just learn to live with it. Besides mwanamziki anayejichanganya hata kwenye ukumbi MDOGO kama huo kuna kitu anafaidi kuliko aliyeFULIA na KUCHILL MAHOME au vipi bwana Mbilia KAnyaga twende na karibu KIMBOKA...... |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Huyo mtoa mada ndio wale wanaopenda kuabudiwa pindi wakipata nyadhifa. Bora tumekujua. Anayetumbuizwa kempisk na bukoba ni wamoja, kaka
__________________
"The only problem with Africans is implementation and maintenance"- Kingi. |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Thanks Babuyao, inaelekea mtoa mada "BOB K" ndio wale wa kufagilia venyu frani za ki "check_BOB". Tukianza hivyo basi wafuatao nao watakuwa wamefulia; Beernie Man, Big Punisher, Shaggy, Eve, 50 Cents, Sean Paul etc ambao wametoka states kwenye majukwaa mabwa kuja kutoa shoo bongo, la hasha... hata huku bash ziko mswano!!! Tusipoangalia hata JK kuhutubia kule umang'atini tutasema na yeye kweshnehi che!! Mlioenda shoo ya Jana police mess - mambo yalikuwaje?? maana wengine tulizidisha mvinyo bongo zikalala
__________________
I am on the move... |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
labda sijaeleweka sina maana kuwa watu wa bukoba,mtwara hawastahili burudani tena kubwa kubwa ila huyu mwana mama mbilia bell namwonea huruma kwani ukweli sasa hivi kafulia!! sasa ningekuwa naye karibu ningemtaadhalisha kuwa kwa kuwa sasa hivi yuko tayari kwenda kupafomu hata bukene au kaliua mpanda cha muhimu pesa yake,akumbuke kuwa hata maprota atakaokutana nao sasa ni wa kiwango cha chini sasa isije kutokea kuwa akaenda sehemu halafu shoo ikabuma akaishia kukosa nauli hata ya kurudi dar kwani wengi hudhani kuwa kwa kuwa alikuwa na jina hata ukimpeleka huko tanganyika atawashitua watu tanzania ya leo sio ya mwaka tisini kwani leo news latest every where juzi watu wameangalia kombe la mabara kikijini ambako hata mimi sikutegemea hivyo watanzania wa leo wanajua kabisa kuwa mbila beli keshafulia long time yatamkuta siku moja namwona anakuwa mwepesi kuru di rudi nani akumbuki defao yaliyomkuta hata pesa ya gesti alivyotoka kule rukwa ilimshinda ni afadhali ukabaki na heshima yako kuliko kutaka kuonekan mbele za watu bado uko juu wakati umeshachoka jifiche watu waulize uko wapi.
mifano si tunayo hapa jijini dar!! chaos mwenye macho na aone na mwenye sikio na asikie kama alishidwa kuwekeza wakati anazo kwa ajili ya baadaye atapiga shoo mapaka na mkongojo!!! |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:50 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||