Mechi ya jana ilikuwa balaa tupu sikuamini macho yangu ktk kipindi cha pili dk za majeruhi pale ambapo tulipachikwa mabao mawili mpaka timu yetu ya kimarekani ikaanza kuchanganyikiwa.
Kwakweli sikuamini !! Kilichotokea.
Wakati nashangaa kapteni wa brazil akatoboa siri kuwa ushindi wao umetoka kwa Jesus,
Sikuwahi kuwaza kama Yesu unaweza kusaidia mpaka mpirani.
Hakika jina la Yesu linauweza mkubwa sana.
Sasa timu yetu ya kimarekani ijipange upya kurudisha heshima.
Re: Timu ya Brazil yamtumia Yesu kuifunga Marekani
inamaana hii come back ya brazil kwa usa ndio imetumika kuhubiri kiasi hiki? au inamaana hii ndio come back kubwa sana katika soccer mpaka watu wakaitumia kutolea mifano yote ya dini au? what about come back ya liverpool against ac milan ilikuwa nguvu ya nani? au kwa vile wa brazil walikuwa wana t shirt za "thank you jesus" ? sasa zile mechi zingine ambazo brazil huwa wanapoteza inamaana yesu anakuwa kawanyima ushindi au wanakuwa hawajaomba? in short the best team won thats all coz both teams prayed n after praying then u perform, u dont just sit back and wait for jesus to perform for u.team effort played a big part here.
__________________
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"
Acheni hayo mambo ya kuingiza dini na michezo. Kule Africa ya kusini US na Brazil walicheza mechi mbili. Mechi ya kwanza Brazili ilishinda na mambo ya dini hayakujitokeza kwa sababu Brazil alikuwa favorite kushinda. Kwanini basi mechi ya pili dini iingilie kati.
Kama Brazili ni wakatolini wazuri sana kwanini awaombi Mungu awasaidie kuondokana na umasikini na badala yake wanaomba Mungu kwenye Soccer?
asante sana
__________________
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"
Sure, YESU wa Walokole ni mtenda miujiza na ndo anastahili kufuatwa na watu wote.
Na Yesu mwingine ni YUPI?..taratiiib thread inaanza kuingiliwa..lol
__________________ Avatar's Msg: Enyi mafisadi na nyote mpendao kuvuna msipopanda, mmeshiba kwa jasho la wengine mpaka matumbo yanataka kuanguka, lakini mwisho wenu umeekwa kama trailer hapo juu.
Wakuu naomba mnieleimishe hivi kweli lile liikuwa bao au kuna kanuni ilisaidia pale kwa refa kutokubali lile bao?
kanuni iliotumika pale kutokuwa bao ni kwamba refa hajaona kama ni bao wala linesman hakuona kama ni bao.japokua replay zinaonesha ni goli zuri tu .
__________________
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"
Sasa timu yetu ya kimarekani ijipange upya kurudisha heshima.
Heshima ipi mkuu? Kwani Marekani ilikuwa na heshima yoyote ktk medani ya soccer? I thought walikuwa ''kichwa cha mwendawazimu'' kama ka nchi ketu tz. I stand to be corrected tho!
Sure,
YESU wa Walokole ni mtenda miujiza na ndo anastahili kufuatwa na watu wote.
Uzima wa milele wapatikana kwa kumpokea YESU kuwa BWANA na Mwokozi (Warumi 10:9-10, Yohana 3:16, Yohana 14:6).
Jamani Yesu ni wa watu wote si wa walokole peke yao wala dini ya walokole. Mimi namwamini Yesu na amenitendea makuu katika maisha yangu lakini sijiiti mlokole wala si sali kwenye hayo makanisa yanayojiita ya walokole. Uzuri hata waislamu wanayoijua dini yao vizuri wanajua kwamba Yesu bin Mariam ndiye atakayerudi kuhukumu ulimwengu wala sio Mohamed.
Tumtangulize Mungu mbele kwa kila tufanyalo tutafanikiwa.Sishangai kilichotokea kwa Wabrazili.