Kindly: this thread is strictly for the quotations (and always acknowledge the author) that soothes and brightens our minds everyday and the first one that pampered me today is:
A celebrity is a person who works hard all his life to become well known, then wears dark glasses to avoid being recognized. By Fred Allen
You can put yours too till the end of the day
I will be passing here every now and then and add up some new quotes.
__________________ "Absence of evidence is not evidence of absence" - No win-win situation
Miafrika bwana kwa kuiga!, mie nilifikiri mnataka kuthamini michango ya wana JF na kuitambua tamathali za semi mbali mbali za wanachama humu ndani. Kumbe sivyo bali ku google na kuweka semi za watu mbalimbali!!!?
Watambue watawala wetu kuwa uongozi walio nao ni ridhaa ya wananchi na siyo haki yao toka mbinguni! Siku yaja ambao wananchi wataondoa ridhaa hiyo
Siku hiyo yaja, na yafanya hima kufika! Wanadhania kuwa wamebarikiwa, waangalie wasijekuwa wamelaaniwa! Kwani Mungu ni Mungu wa Haki, na hapokei Rushwa!!
Mwanakijiji akichangia Tanzania bila CCM inawezekana
Miafrika bwana kwa kuiga!, mie nilifikiri mnataka kuthamini michango ya wana JF na kuitambua tamathali za semi mbali mbali za wanachama humu ndani. Kumbe sivyo bali ku google na kuweka semi za watu mbalimbali!!!?
Haiongezi tija hii..
Kumbe JF is home to great thinkers na pia kuna wasioweza kufikiri kwa mapana. Wewe mwenyewe ni copy! Hujui hilo? Ina tija. Think again.
__________________ "Absence of evidence is not evidence of absence" - No win-win situation