I'm just wondering. Maana Dumars anavyopiga mahesabu sijui itakuwaje na sijui line up itakuwaje.. na sijui we have a chance to land Thabeet here..
__________________ Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania"
hongera sana hasheem thabeet mungu akusaidie na akuze kipaji chako zaidi.
__________________
"Football is not as predictable or scientific as some people think and sometimes people are wrong on what they say".Arsene Wenger a.k.a "The proffesor"
Re: Breaking NEWS: Hasheem did it with the second Pick
Good news katika siku mbaya.... Wengine wanalia, wengine wanasherehekea. Ila ataikumbuka hii siku milele. HONGERA HASHEEM, umeachiwa kijiti na Michael Jackson...
__________________ .... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
Re: Breaking NEWS: Hasheem did it with the second Pick
Hongera Sana Thabit!!
SteveD.
__________________
Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.
Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.