Msimu ndio umeisha na tumeshuhudia Barcelona,Manchester United,Porto,Inter,Bordeaux wamefanikiwa kuchukua ubingwa kwenye ligi zao na Barcelona wakafanikiwa kubeba Champions League.
Tayari baadhi ya timu zimeanza kujiandaa kwa msimu ujao tayari kuna timu zimenza kufanya mabadiliko ya makocha,hadi sasa timu zilizobalisha makocha ni
BAYERN MUNICH-LUIS VAN GAAL AJAX-MARTIN JOL CHELSEA-CARLO ANCELOTI JUVENTUS -CIRO FERARAhuyu alikuwa wa muda AC MILAN-LEONARDO
Bado kuna makocha hawana kibarua kama Marco Van Basten,Jurgen Klinsman,Sven Goran Erikson,Roberto Manchini
__________________
There is only one football club in Manchester-Ricardo Kaka
Haha, babu hii kali alafu timu yako wewe mdebwedo kwa Barca linapokuja swala la wao kuchukua wachezaji.
...ndio maana nikasema mimi ningekuwa Wenger, ningemvua u Captain, halafu namuweka kwenye transfer list kwa dau la £100m. Man City na Real Madrid pekee ndio wanaoweza kumnunua kwa dau hilo...ndoto yake ya kwenda Barca itakuwa imeishia hapo!
Arsene Wenger utamuona ananywea kwa dau dogo la £20m plus... hovyo kabisa!
Vipi, Man City weshakamilisha usajili wa Tevez? waarabu wameweka mezani £30m, plus £200,000 per week wage!
Mwaka huu SAF wenu ataweka kibindoni pesa nzuri wallahi, £80m za Ronaldo, £30m za Tevez, sijui Vidic naye atamuuza kwa ngapi!
Mwaka huu SAF wenu ataweka kibindoni pesa nzuri wallahi, £80m za Ronaldo, £30m za Tevez, sijui Vidic naye atamuuza kwa ngapi!
Mpwa Tevez yuko kwa mkopo pale Man Utd, pesa zake za usajili zitaenda kwa mmiliki wake Kia Joorabchian...upo hapo? Man wakimtaka walipe 25 £ kwa mmiliki...
__________________
To be able to do everything by knowing nothing is dangerous
...ndio maana nikasema mimi ningekuwa Wenger, ningemvua u Captain, halafu namuweka kwenye transfer list kwa dau la £100m. Man City na Real Madrid pekee ndio wanaoweza kumnunua kwa dau hilo...ndoto yake ya kwenda Barca itakuwa imeishia hapo!
Arsene Wenger utamuona ananywea kwa dau dogo la £20m plus... hovyo kabisa!
Vipi, Man City weshakamilisha usajili wa Tevez? waarabu wameweka mezani £30m, plus £200,000 per week wage!
Mwaka huu SAF wenu ataweka kibindoni pesa nzuri wallahi, £80m za Ronaldo, £30m za Tevez, sijui Vidic naye atamuuza kwa ngapi!
STG 100M nyingi sana kwa Fabregas kwa hela hiyo mtaishia kumtoa kwa mkopo tuu mtapewa 10M lol, Tevez naona ataondoka tuu maana Fergie ameshatangaza dau la 45M kwa ajili Villa, kumbuka Valencia wana madeni kibao.
Inter nao wanajitutumua kwa Zlatan Ibrahimovic wameweka price tag ya €90m naona Barca wamechomoa.
Man City na Madrid wanavuruga hizi transfer na mihela yao ya kifisadi lol.
**Tevez yuko OT kwa mkopo ingawa walilipa kiasi kidogo sijui tutakipata akiondoka.
Real Madrid's bid to buy Valencia striker David Villa has foundered and Bayern Munich's asking price for Franck Ribery is far too high, director general Jorge Valdano said on Tuesday.
"We have been in talks to buy Villa the past week but there has been no agreement,"
Huyu Carvalho aliletwa Chelsea na Mourinho sio?
Quote:
Inter Milan target Ricardo Carvalho believes his Chelsea career has come to an end and would love to play in Italy.
The 31-year-old defender, who was confirmed as a transfer target for the Serie A champions on Monday, also took a swipe at the Blues for neglecting him when he was injured last season.
Arbeloa naye anataka kuondoka kwenda === Madrid?
Pirlo amekanusha kwenda Chelsea
Villa amesema ameshamake up his mind kuhusu move yake, amemuachia agent kumalizia maswala mengine.