| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 3414
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
sikinde unataka ipi?
__________________
WHERE IS THE LOVE? |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
__________________
Nothing shall delay my miracles!... |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kelly,
Mwadila. Sijui umefikia wapi na Kisukuma. Haya, hebu angalia huu ukurasa sijui kama utakusaidia sana. Ila kuna nyimbo nyingi ingawa nyingine hazijamaliziwa. Kazi kwako. http://home.arcor.de/tizedboy/baki_t.htm
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory) |
|
#5
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
lol!...mwadila mayo ulimola!....nipo bado najifunza taratibu aisee. nipe anohter 2 weeks nitakuwa najua sentensi kabisa...maana cupcake anajitahidi sana kunipa darasa kanitafutia hadi sukuma swahili dictionary.
__________________
Nothing shall delay my miracles!... |
|||||||||||||||
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hapa sikinde ndio kwao, ila mcheki GQ ana mizigo ya nguvu kuanzia albamu ya sungi mpaka hukooo
Kuna vitu kama Duniani kuna mambo, sungi, hiba, mv mapenzi,hapendeki, penzi la fukara, mzimu, uzuri wa mtu etc
__________________
WHERE IS THE LOVE? |
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
YE miye album za old skool za kibongo ninazo kibao tuu ....ila nataka lyrics za hizo nyimbo.....
__________________
Nothing shall delay my miracles!... |
|||||||||||||||
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
nimekupata......
ukisikiliza maneno yana kupita nini?
__________________
WHERE IS THE LOVE? |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mod's
Mnaonaje mkiweka kisehemu ambacho watu watakuwa wanaandika hizo Lyrics za nyimbo za kiswahili? Watu wanaozikumbuka wawe wanaandika na kuziweka. Wengine wao kama mie hapa huwa nina tatizo la kujua kinaimbwa nini. Hii iwe kwa lugha yoyote ile. Kuna wakati naelewa kivyangu. Nafikiri hizo nyimbo za hiyo site tungelizichukua na kuzimalizia zote na kuongeza nyingne.... Ntajitahidi na mie walau niweke maneno ya nyimbo mbili.
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory) |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
lol!...ni kweli ndiyo maana nimeomba maana nimejaribu sana kusikiliza lakini maneno yananipita nikaingia google nikidhani nitapata nikaona olah ndiyo manaa nimekuja hapa kuomba labda kuna mtu atakuwa anajua zinapatikana wapi si unajua tena.....hahahahaha!...
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 09:13 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||