Mod's
Mnaonaje mkiweka kisehemu ambacho watu watakuwa wanaandika hizo Lyrics za nyimbo za kiswahili? Watu wanaozikumbuka wawe wanaandika na kuziweka. Wengine wao kama mie hapa huwa nina tatizo la kujua kinaimbwa nini. Hii iwe kwa lugha yoyote ile. Kuna wakati naelewa kivyangu. Nafikiri hizo nyimbo za hiyo site tungelizichukua na kuzimalizia zote na kuongeza nyingne.... Ntajitahidi na mie walau niweke maneno ya nyimbo mbili.
Ni kweli unajua hata miye saa nyignine naongeza maneno ya kwangu mwenyewe nakuwa hata sielewi kinaimbwa nini...
Hiyo ni good point kama mods wataweza kufanya kitu kama hicho you know....well said Sikonge "gawisa".
__________________ Nothing shall delay my miracles!...
Kelly,
Samahani hiyo anwani niliyokupa nimeanzia ndani. Ukianzia main page ndiyo unaona nyimbo zote na Watz walijitahidi kwani wameandika wengi sana.
Angalia huo ukurasa kwa kuanzia hapa:-
__________________ .... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)
Hiki ni kipande kinachonifurahisha cha Hiba. verse ya mbele mbele
Hiiba imekuwaje mpenzi, mbona humebadilikaaaa
Hiba ooh Hiba, imakuwaje hiba
Hiba ooh Hiba, nieleze leo
Badiliko la pendo lako lanitia wasiwasi
nini nimekuuzi, ooh Hiba
Ninapokuuliza, hutaki kusema nami hiba
ninapokuuliza wewe unanuna nuna
Ninapokuuliza hunisikii hata kidogo Hiba
Ninapokuuliza, wewe unanuna nuna

Unanisikitisha sana, unapokataa kula nami hiba
Hayo ndio mambo, we acha tu...
Swadaktaaaaa................ this is what i am talking about YE!.....
Hibaaa umekuwaje mupendzi nilikuwa najua hapo tuu....
__________________ Nothing shall delay my miracles!...
Kelly,
Samahani hiyo anwani niliyokupa nimeanzia ndani. Ukianzia main page ndiyo unaona nyimbo zote na Watz walijitahidi kwani wameandika wengi sana.
Angalia huo ukurasa kwa kuanzia hapa:-
Kelly wala sikumbuki nilianzia wapi kuijua. Ila nakumbuka kupata ujumbe tuwe tuanachangia kuweka maneno. Nafikiri kama sikosei ni miaka ya 90 wakati nikiwa member wa Tanzanet forum. Ila naona kwa sasa wana nyimbo nyingi sana. Huwa nikitaka kufika huko naandika wimbo wa Tx Moshi akiwa POLISI JAZZ wa "unalewa bila kipimo". Huu wimbo kwa kweli naupenda sana na hamna sehemu unaweza kusikiliza. Ukiandika kwenye google zinatokea kama site mbili, moja ni humu JF na ya pili ni hiyo.
Inabidi HONGERA zimfikiei Tizedboy na wote waliochangia. Kama ikiwezekana, basi JF waisaidie hii site na kuiwekea LINK moja kwa moja kutoka humu JF. Nafikiri hiyo tumuachie Tizedboy mwenyewe. Vinginevyo JF itaanza kuwa kama Microsoft, ikipita na kuuwa au kununua vikampuni vidogovidogo. Na hii siyo nzuri sana.
Mwanzo niliandika kwa kufikiri jamaa kaweka nyimbo chache tu. Ila nilipoingia MAINPAGE duu, nimekubali. Mod's yale maneno yangu ya kwanza ya kutengeneza sehemu ya Lyrics za Kiswahili, muachane nayo. Ila kibidi kuisaidia hiyo site basi itakuwa vizuri maana ni nzuri na jamaa kajitahidi ila ndiyo haijulikani.
__________________ .... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory)