| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1893
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Huyo mtoto Nargis ndiyo kakua hivyo?
Anayevuma kwenye bongo photoblogosphere Michuzi, kumbe babuji yumo.
__________________
Pundit is sitting out Christmas Last edited by Pundit; 9th December 2008 at 10:15 PM.. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwanza jiulize dar ina watu wangapi, pili ni wangapi waliopata nafasi ya kwenda kujitanua.
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
hapo kama umeruka ukuta nyumbani geti kali unaumbuka, lol.
__________________
Pundit is sitting out Christmas |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwa hiyo unasemaje? Unauliza wabongo wako wangapi na hapo wangapi walipata nafasi ?kwani nchi gani watu huenda kwenye tamasha hata 0.0005 ya idadi ya watu ktk hiyo nchi. Kuhusu swala la kujirusha bongo watu wanamuda mkononi asikwambie mtu,hata sehemu ziko kibado tu kadiri ya uwezo wa mtu. |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
dah picha namba nane na tisa naona mpigaji alikua anajitahidi kupata de angle of elevation kubwa kuliko....anatamani angekua viatu!duh
namba 22 mweee na reserve zangu comments ol in ol t seems wabongo tunazo kinyama! hizi ndo picha za kuwashow wawekezaji toka nje na wapenda toa misaada wajue hali halisi ya wachache wa nchi zetu africa! ujiji huko hiyo buki 10 ya kiingilio sijui wao kuipata na kuspend kwa week 2 ni ndoto!
__________________
Kila nafsi itaonja mauti and then tutajibu juu ya matendo yetu siku ile ikifika!!! |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nimefurahia sana picha nyingine kwenye hiyo site iliyokuwa linked.Kuna picha za madaraja na masanamu za kufurahisha sana.
Shukurani kwa kuleta uhondo huu.
__________________
Pundit is sitting out Christmas |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
mie mwenyewe nimei add kwenye favorites zangu kuwa najipatia news za bongo maana ninazo nyingi nyingi za hawa waandishi wetu wa bongo..kuona picha tu za li nji letu kwaleta faraja na hamu ya kurudi
__________________
Kila nafsi itaonja mauti and then tutajibu juu ya matendo yetu siku ile ikifika!!! |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Sidhani alimaaanisha nchi nzima, bali Dar es Salaam. Naafiki alichoeleza Darwin; percentage ya watu wanaokwenda outing kwa mwezi hapa Dar ni ndogo. Ukisema 0.0005% ni idadi ya wasioenda outing kwa mwezi huko mamtoni sitashangaa. Ufukara Tanzania umeongezeka sana.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 11:00 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||