Mambo vipi mazee
Kuna picha hapa za bongo watu wanavyojirusha katika siku zote tatu kuanzia ijumaa Joe Thomas mpaka Jumapili Eve na fat Joe
Huwezi amini watu wanaposema bongo hali ngumu ya maisha Joe Thomas siku alipotua bongo
Joe Thomas akikamua
mikono juu
EVE akikamua.
Ilikuwa ni wikiend ya kujirusha tu Bongo . Kuanzia na kina Joe Thomas, Tanto Mentro & Devonte na Tanya Stephens , sherehe za miaka 3 za THT na mwisho kufunga kazi kwa Fat Joe na Eve . Bongo Kumekucha!!! bongo raha tele!!! ( Picha zote kwa hisani ya Abdallah Mrisho )
Fat Joe akikamua
Mwana FA
EvE akikamua
THT miaka 3
Wabongo wakipagawishwa na EvE Ni kujirusha tu kwenda mbele Nargis Mohamed (kulia) na shogae ...unamkumbuka Abby (mwenye kilevi mkononi) wa Big Brother alipokuwa na Mwisho Mwampamba?.. nae alidata kwa Joe Thomas Wabongo wakijirusha kwenda mbele Afande Sele akisalimiana na First Lady Mama Salma katika sherehe za THT miaka 3. THT miaka 3, wadau kutoka Vodacom, Mwamvita Makamba (kushoto) na Fina Mango nao walikuwepo Rais Jakaya Kikwete, Jumatatu alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 3 za kuanzishwa kwa taasisi ya Tanzania House Of Talents, zilizofanyika Karimjee gardens na kusema kuwa amefurahishwa sana na burudani aliyoipata. Ni kujirusha tu Bongo
mie mwenyewe nimei add kwenye favorites zangu kuwa najipatia news za bongo maana ninazo nyingi nyingi za hawa waandishi wetu wa bongo..kuona picha tu za li nji letu kwaleta faraja na hamu ya kurudi
tupe hizo nyingine
__________________
"Don't walk as if you rule the word, walk as you don't care who rules the word"That is called attitude.
dah picha namba nane na tisa naona mpigaji alikua anajitahidi kupata de angle of elevation kubwa kuliko....anatamani angekua viatu!duh
namba 22 mweee na reserve zangu comments
ol in ol t seems wabongo tunazo kinyama! hizi ndo picha za kuwashow wawekezaji toka nje na wapenda toa misaada wajue hali halisi ya wachache wa nchi zetu africa!
ujiji huko hiyo buki 10 ya kiingilio sijui wao kuipata na kuspend kwa week 2 ni ndoto!
Kitu ambacho nimenoti hapa ni kwamba Bongo ingawa nchi yetu ni maskini sana lakini wananchi wake ingawa wana matatizo kibao lakini pamoja na matatizo yote watanzania bado wako HAPPY hamna STRESS
Mkuu hapo GT ndio anakuambiaga kawa gobole.....i can agree with him......mcheki kwenye video hii [media]http://www.youtube.com/watch?v=rXVuSdcwNIw[/media] enzi zake kabla hajaanza kufakamia michemsho ya break point na beer..... 1:45,4:19.... katoka fresh
Last edited by Yo Yo; 10th December 2008 at 05:44 PM..
Mbona kimya kimya wadau? kumbe kuna uhondo namna hii huku hatushtuani..HDD yangu ilikuwa na baadhi ya milipuko ya weekend.
Mkuu hapo GT ndio anakuambiaga kawa gobole.....i can agree with him......mcheki kwenye video hii [media]http://www.youtube.com/watch?v=rXVuSdcwNIw[/media] enzi zake kabla hajaanza kufakamia michemsho ya break point na beer..... 1:45,4:19.... katoka fresh
Jamani nimeangalia web ile ya Nifahamishe...na nimeperuzi page mbali mbali kuna sehemu...amesema madaraja kumi marefu dunia...Kuna moja kasema linamwaga Maji tani 190 kwa dakika(Wrong)
Kuna jingine kasema lina KM 35,613 Wrong...Haiwezekana rudiasi ya dunia ni Km 18 elfu mzunguko...hii inamaana hilo Daraja lina zunguka dunia mara mbili...?
Tukiwa na web kama hizi harafu wanafunzi wakasoma na kujibu maswali au...kueleza mbele za watu kuwa ni hivyo basi tumekwisha....
Kwa uhakika zaidi unaweza kwenda kwenye linki hii List of longest suspension bridge spans - Wikipedia, the free encyclopedia
Regards
Buswelu
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology.
Jamani nimeangalia web ile ya Nifahamishe...na nimeperuzi page mbali mbali kuna sehemu...amesema madaraja kumi marefu dunia...Kuna moja kasema linamwaga Maji tani 190 kwa dakika(Wrong)
Kuna jingine kasema lina KM 35,613 Wrong...Haiwezekana rudiasi ya dunia ni Km 18 elfu mzunguko...hii inamaana hilo Daraja lina zunguka dunia mara mbili...?
Tukiwa na web kama hizi harafu wanafunzi wakasoma na kujibu maswali au...kueleza mbele za watu kuwa ni hivyo basi tumekwisha....
Kwa uhakika zaidi unaweza kwenda kwenye linki hii List of longest suspension bridge spans - Wikipedia, the free encyclopedia
Regards
Buswelu
Ndugu yangu buswelu utakuwa unakosea sana kama utakosoa watu bila ya kufanya utafiti au kuangalia vizuri
Kuhusu daraja linalomwaga maji tani 190 kwa dakika ni kweli na kwa ufahamu zaidi jinsi daraja hilo linavyomwaga maji soma kipande hiki
The fountains at the Banpo Bridge were installed on September ninth and have since become a major tourist attraction. It has nearly 10 thousand nozzles ( more exactly 9, 380 ) on either side of the bridge that shoots out 190 tons of water every minute. According to the Seoul mayor, Oh Se-Hoon, the fountain bridge would help acknowledge Seoul as an eco-friendly destination amassing more tourists. But unless the fountain is being used as a means of harnessing energy, the eco-friendliness of this fountain is skeptical.