| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 638
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kwa wale wote ambao walikuwa wakibeza juhudi za Farouk Karim sasa watatia akili akiwepo huyo mwenyeki wa sasa wa ZFA... Mapungufu ya TFF na SMZ kuingilia mara kwa mara maamuzi ya ZFA ndio yamempa mdomo hiyo Katibu Mkuu wa TFF.
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
farouk kariim alibezwa kivipi ?
__________________
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
TFF nao wamezidi safari za Taifa stars wanaenda wao tu walau wachukue mtu mmoja kutoka ZFA ile ni timu ya Taifa sio bara hawajui hata kura na kipofu! halafu wakilalamika mnasema wanapenda migogoro
__________________
Mkulima kala Mbegu...... |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kariim ndio aliye anzisha jitihada za Zenj kujulikana na FIFA na CAF, akiwa katika hatua za mwisho mwisho wakamletea za kuleta na yeye akaweka madaluga chini...
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
SMZ yaipinga ZFA
2008-06-23 10:32:01 By Mwinyi Sadallah,Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema kuwa haikubaliani na tamko lililotolewa na Chama cha soka cha Zanzibar (ZFA) juu ya kujitenga na kuvunja ushirikiano na Shirikisho la mchezo huo Tanzania (TFF). Akizungumza juzi visiwani hapa, Naibu Waziri Kiongozi na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Ali Juma Shamhuna alisema kuwa SMZ haikuwatuma viongozi wa ZFA kutamka kauli hizo na kuongeza kuwa wao wanaitambua TFF na wataendelea kushirikiana nao katika mambo mbalimbali ya maendeleo ya soka hapa nchini. Waziri Shamhuna alisema kwamba uamuzi uliotolewa na ZFA kupitia Makamu wake wa Rais, Haji Ameir uliishitua serikali na kuongeza kuwa chama hicho hakina mamlaka ya kuvunja ushirikiano wa kimichezo baina ya Zanzibar na Tanzania Bara. ``Ushirikiano wa TFF na ZFA uko pale pale, na hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuuvunja,`` alisema Shamhuna. Alisema kwamba timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni timu ya watanzania na sio timu ya TFF au ZFA, na kwa msingi huo viongozi wa ZFA hawakupaswa kutoa tamko la kumtaka kocha msaidizi wa Stars Ali Bushiri pamoja na wachezaji wa timu hiyo wanaotoka Zanzibar kurejea nyumbani kwa madai ya kuwa kuwepo kwao katika timu hiyo hakuifanyi timu hiyo kuwa na sura ya Muungano. Alisema kwamba Serikali haitovumilia watu wanaotaka kuvuruga Muungano kwa kisingizio cha michezo na kwa kufanya hivyo wanakwenda kinyume na katiba ya nchi inayozungumzia kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliongeza kuwa kutokana na uzito wa maneno yaliyotolewa na kiongozi huyo wa ZFA, atakutana na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo wa Muungano, George Mkuchika ili kuzungumzia tofauti zilizojitokeza baina ya taasisi hizo zinazoongoza michezo Tanzania Bara na Visiwani baada ya vikao vya bajeti vinavyoendelea Dodoma na Zanzibar kumalizika. Alisema ni jambo la kushangaza shutuma za ZFA zinatolewa huku baadhi ya viongozi wake wakiwa wanashiriki katika mashindano ya Copa Coca Cola yanayoshirikisha vijana wenye umri chini ya miaka 17 ambayo yanalenga kuinua vipaji vya vijana. Alisema kwamba ZFA hivi sasa inapaswa kuwaeleza wanamichezo kuwa ina mikakati gani ya kuinua kiwango cha michezo Zanzibar hasa ikizangatiwa kuwa ni sehemu pekee inayoendelea kuendesha ligi yake katika muda wa mapumziko. SOURCE: Nipashe
__________________
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown |
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
halafu kwa nn Shamhuna na ZFA(viongozi) picha haziendi?
__________________
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown |
|||||||||||||||
|
#8
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Ndio maana kila waziri aingiae kwenye wizara hiyo lazima atapandikiza mtu wake.... hapo ZFA tena mwenye uwezo wa kutoa uwamuzi...
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj |
|||||||||||||||
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
halafu kwa nini wasitafute njia yakukaa nakujadili kwa kina njia bora ya kuendesha soka visiwani. maana mambo yakienda hivi ni aibu kwa taifa na kama mwakalibela alivyotukebehi.
__________________
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Baraza la michezo Zenj nalo litokane na katiba mama ya ZFA.. na kiwe ni chombo cha rufaa ya faida ya soka la Zenj badala ya kusimamia matakwa ya smz katika soka la visiwa hivyo.
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 11:11 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||