| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Duh!! hapa ngoja nianze kuzikodolea macho sasa maana nilikuwa nimeshaingia fanfile na mininova kuzisaka lol...Ebanae for some reasons I liked The Bank Job.
__________________
Hating gets you no where, have a safe trip! |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
yap..jana niitazama hiyo BANK JOB ni nzuri lakini sikupenda jinsi ilivyokwisha
shemzigwa upo? |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
haha! Mwana shukrani sana kwa Matambara, Inaonekana hii ya SIGHT nzuri tena sasa hivi ni usiku basi ndio itakuwa inalipa kuangalia.
__________________
"Mwisho wa ubaya Aibu" |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
umegundua eeeh?
basi usikonde...napenda mnapokuja halafu mnatoa shukrani nothing more ukichoka siasa unaangalia sinema ukichoka sinema unadownaload miziki basii ahhhh |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Good staff....
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj |
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Thanks dude!!!
__________________
Hating gets you no where, have a safe trip! |
|||||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
The Vantage Point Mwana hamna kitu baraka ya kurudisha kila muda masaa nyuma, Ila sasa Wanted umenena maana trailer yake tu mwana ni noma ila wakati tunaendelea kusheherekea kimasomaso cha Watoto wa Old trafford unaweza pia kuangalia trailer ya Bankok Dangerous naona nayo itakuwa imesimama.
__________________
"Mwisho wa ubaya Aibu" |
|
#9
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
zshare kwangu inagoma kufunguka,sijui kunatatizo gani,au nitumie njia gani ili kuziona.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 08:48 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||