Wakaka wa JF...

pauline

JF-Expert Member
Dec 26, 2010
650
140
Tutumieni PM...jamani....

yaani hamna kitu mwanamke anafurahi kama kusemeshwa na mwanaume njiani!...ndio maana tunavaa vizuri,vimini nk hii yote ni kuhakikisha tunakuwa 'NOTICED' na wakaka!!

Kwa kweli mkaka akikusemesha unajihisi sexy,wanted and complete kama mwanamke!...inatuongezea makonfidensi hadi rahaa!...

For the same reasons hapa JF tunatafuta avatar nzuuuri...kupata attention yenu!angalia avatar nyingi za wanawake ni zile za kuvutia!!
.....kumwambia mtu tu kny forum, avatar yake ni nzuri ,inatosha kumfanya ajihisi furaha ya kuwa amekuwa noticed ila ingependeza kama ungemtumia PM!!!!...this shows umekuwa really impressed,,,na hivyo kumfanya huyo dada ajihisi spesho zaidi...lols!

Kwa hio wakaka tutumieni PM please...najua mtaniuliza kwa nini tusianze sie kutuma lakini huu si utamaduni wa mwafrica!...ni shurti mwanaume akuanze atiii...kwanza tuna haya za kike....!LOLS

wadada ole wenu mniruke hapa kuwa hamtaki PM...hahaahahahaah

*note-sio lazima kila PM ilead mahusiano!!!

:rofl::rofl::target:
 
Subiri zinakapoanza kumiminika mpaka inbox yako itakosa nafasi.
 
kuuuumbe ! nimefurah sana kuniongezea mistar_lkn pia umenikumbusha jamaa yangu fulan ambaye alikuwa anawazimikia sana sana wamama wajawazito hasa ikianza kuvimba kwenye yale magaun yenu cjui yanaitwaje vile_wanawake mna mambo meng ambayo dunia itaisha wanaume hatuyajui
 
Pauline,
hee mtoto wa kike!!
vipi leo!!???
Leo naona una mafikra ya kila aina...
Good luck..
Kwani jamaa yako vipi?? Ni Bubu? haongei? hakusifu?
au unakaribisha infidelity....utakutana na watu wana maneno asali... kama pelemende..
 
he!hii kali!wadada wanapenda kusemeshwa njiani!avatar nzuri ili kudraw attention!wanapenda pm!basi wacha nijiite wiseman maana hizo sifa kwangu haziapply.
 
Umesema kweeeli P. Mi nimeipenda hiyo sasa sijui ndo avatar au ww mwenyewe mh. Ntazingatia maoni yako.
 
Kweli pauline umeamua, ni wazi kuwa uliyoyasema tunatayatafutia ufumbuzi kama kuwaongelesha,kuwa PM,kuwatongoza na hata kusifia Picha zenu ili mjisikie raha.
 
he!hii kali!wadada wanapenda kusemeshwa njiani!avatar nzuri ili kudraw attention!wanapenda pm!basi wacha nijiite wiseman maana hizo sifa kwangu haziapply.

kweli tuko tofauti,you are one of your own kind!...nachojua as a woman...wadada wanapenda sana kusemeshwa,and yes tunafanya jitihada sometimes kupata attention...haimaniishi bila kusemeshwa/compliments zao hatuwezi kuishi ila zinatufanya tufeel special,complete!
 
Pauline,
hee mtoto wa kike!!
vipi leo!!???
Leo naona una mafikra ya kila aina...
Good luck..
Kwani jamaa yako vipi?? Ni Bubu? haongei? hakusifu?
au unakaribisha infidelity....utakutana na watu wana maneno asali... kama pelemende..

Nonda mbona unataka kunisuta tena my dear?
hata ukiwa na mume,bado ukisemeshwa njiani utajisikia furaha...
inakupa impression,bado uko attractive,young and beutiful!...mumeo anaweza akakufanya ufeel hivi ila na mtu mwngine pia akikusemesha inakufanya ufeel extra special kwamba sio mumeo pekee anayekuona hivyo!!!...bichwa linapanda....na kuna raha yake atii:target::painkiller:
 
Tatizo haliko kwetu,tunapenda sana kuwatumia PM na hata kuwasemesha,ila tunachohofia ni ukali wenu,mkituahidi kupunguza ukali basi mambo yatakuwa mswano na nitaanza na wewe.

mwanaume kujiamini paka!!!:teeth::A S-alert1::A S-alert1::A S-alert1:
 
kweli tuko tofauti,you are one of your own kind!...nachojua as a woman...wadada wanapenda sana kusemeshwa,and yes tunafanya jitihada sometimes kupata attention...haimaniishi bila kusemeshwa/compliments zao hatuwezi kuishi ila zinatufanya tufeel special,complete!

Tatizo letu sisi wanaume na hasa waafrika, nikianza kukusemesha na ukakubali kuingia kwenye mazungumzo ya muda mrefu, mwisho wake ntaanza kuvutiwa na wewe. Matokeo yake mwisho wa siku ntakuomba "tukabadilishane uzoefu".

Hata kama ukikataa mara ya kwanza ntaweka king'ang'anizi mpaka ukubali. ukiweka msimamo nadraw out interest nabwaga manyanga! Lakini mara nyingi huwa mazungumzo yana isha vizuri kwa kila mtu kupata uzoefu wa mwenzake! Je, uko tayari kwa hilo?
 
Ila wewe unayoyasema ni ya kweli anayekusuta shauri yake ila endelea kutupa ukweli wenu bwana.
Nonda mbona unataka kunisuta tena my dear?
hata ukiwa na mume,bado ukisemeshwa njiani utajisikia furaha...
inakupa impression,bado uko attractive,young and beutiful!...mumeo anaweza akakufanya ufeel hivi ila na mtu mwngine pia akikusemesha inakufanya ufeel extra special kwamba sio mumeo pekee anayekuona hivyo!!!...bichwa linapanda....na kuna raha yake atii:target::painkiller:
 
Ila wewe unayoyasema ni ya kweli anayekusuta shauri yake ila endelea kutupa ukweli wenu bwana.

Thanks Zipuwawa,usisite kumuambia mdada amependeza....na hapa JF ukimuona mdada kabadilisha avatar usisite kumuonyesha kwamba 'umemuona'...lols:hug::hug:
 
Preta avatar yake huwaga inanisisimua. Kila nikiona jina lake moyo unaruka na kuanza kudunda. Huyo nimewania sana kumtongoza!
 
Hoja yako ni kweli lakini dada zetu (si wote ) bado hamjui kutoa shukrani kwa kina kaka.

1. Kinacho boa kina kaka ni majibu yasiyo na maana. Najua wengu hawajui kujibu vizuri ili mkaka wa watu ajisikie kafanya kitu. Sisi tunaanzisha nyie wekeni mafuta mambo yataenda vizuri. Wenye tabia hii hasa ni wale ambao hawaja olewa .

2. Wengi hata ukiwasalimia wanajibu kimkato sana hadi unashindwa kumsifia.

3. Wengine ndoo wakali kama nyuki.

4. Ila kuna wachache , utapenda uwe unakutana nao. Iwe kwenye daladala mmekaa kiti kimoja utaenjoy, kwenye foleni nmb hapo ndoo patamu.

5. Kinadada jifunzeni kupendwa,smile, onyesha kuna mtu amepay attetion kwako etc.
 
Sitasita kamwe kama Kuwa PM,kuwapongeza, kuwasifia ila naweza pongeza mtu kumbe mwanaume maana humu usipokuwa makini unaweza MP mwanaume mwenzio ukimwambia mdada umependeza.
Thanks Zipuwawa,usisite kumuambia mdada amependeza....na hapa JF ukimuona mdada kabadilisha avatar usisite kumuonyesha kwamba 'umemuona'...lols:hug::hug:
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom