Bank ya jamii ya watu wa Mwanza imeishia wapi kuanza kwake?

Spider

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,635
537
Habari wakuu,

Kuna uzi uliwahi kuwekwa humu kuulizia mchakato wa kuanza kwa bank ya waalimu, na watu walitoa maoni yao na mpaka leo haieleweki kama itaanza hivi karibuni.

Sasa, kuna hili la kuanzishwa kwa Mwanza Community Bank, matangazo yalitolewa (i.p.o) na watu wakanunua hisa, na nafasi za kazi zilitangazwa watu wakaomba.

Cha ajabu yapata miaka miwili sasa hakuna kinachoeleweka. Ofisi ilikuwa ziwepo ilipo mahakama ya biashara, njia ya kuelekea Kamanga ferry.
 
Back
Top Bottom