Show yako ya kijanja Star TV kila Jumamosi saa saba na marudio Jumatano saa tisa na nusu

myroom320

Member
Apr 17, 2013
40
16
Kuna topic kibao za mahusiano, ni kweli mahusino yamekuwa na changamoto nyingi sana katika maisha yetu. kila mtu analalamika na la kwake. Mwingine atakwambia simuamini msichana hata kidogo. Lakini mwingine atakwambia simuamini mwanaume hata siku moja. Mwingine atakwambia hakuna mapenzi ya kweli ni kudanganyana tu.

Je, ni kweli kwamba hakuna mapenzi ya kweli?

Usikose Jumatano hii ikiwa ni marudio saa tisa na nusu. Na kuifatilia kila Jumamosi saa saba mchana. Usiache kufollow instagram girltalktz uone wageni wangu ni kina nani na walisema nini. Na wewe unaruhusiwa kuchangia kwa lolote lile.

Kwa vipindi vilivyopita unaweza kuvipata youtube Girl talk na Aneth
 
Back
Top Bottom